luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,986
Ni GM sio ?Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.
Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.
Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.
View attachment 1557232
View attachment 1557234
View attachment 1557237
View attachment 1557239
View attachment 1557240
View attachment 1557242
View attachment 1557243
View attachment 1557244
View attachment 1557246
View attachment 1557247
View attachment 1557248
View attachment 1557249
View attachment 1557250
View attachment 1557251
Ile minazi yangu mifupi inapatikana?Green is gold
Karibuni SUA tuwahudumie
Basi sawa. Nitajitahidi kujisalimisha ndani ya mwaka huu kwenye hivyo vitalu vyenu.Boss minazi mifupi imekuwa na changamoto kadhaa. Bado tunazitatua, ikiwa tayari nitakucheck
Lakini naweza kukuunganisha kwa mdau fulani yeye alikuwa nayo
Mi najua Parsley ni majani majani ya kiungo. Ukienda kwa waotesha mauaNahitaji miche ya Matunda yafuatayo:
1) Dandelion
2) Burdock
3)Sarsaperillar
4) Pavana
5) Teosinte
6) Kuska
7) Peaches
8) Watercress
9) Parsley
10)Soursop
Kwenye list yako kuna spices,herbs, maua na matunda.Lakini kwa bahati mbaya aina zote hizo hatuna mkuuNahitaji miche ya Matunda yafuatayo:
1) Dandelion
2) Burdock
3)Sarsaperillar
4) Pavana
5) Teosinte
6) Kuska
7) Peaches
8) Watercress
9) Parsley
10)Soursop
Kwa case ya hizo spices kuna kitengo cha mboga mboga na matunda.Hapo utapataNahitaji miche ya Matunda yafuatayo:
1) Dandelion
2) Burdock
3)Sarsaperillar
4) Pavana
5) Teosinte
6) Kuska
7) Peaches
8) Watercress
9) Parsley
10)Soursop
mbeya mjin naweza kupanda minaz??•Minazi inastawi vizuri katika maeneo yenye mvua nyingi au mabonde yenye unyevu mwingi.
•Kiangazi kisichozidi miezi 3
•Udongo wa tifutifu au kichanga
•Joto angalau 25-30C
•Pia inahitaji mwangaza wa jua wa kutosha. Hivyo basi, minazi hustawi zaidi kwenye mikoa ya ukanda wa Pwani na Mikoa ya kusini. Tofauti na maeneo hayo basi huwezi kupata matokeo mazuri.
Nilinunua miche toka kwenu mwaka 2017 inaandamwa sana na magonjwa ni lazima kuipiga dawa tatizo ni nini?Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda.
Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa.
Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu inafika mkoa uliopo.Kwa maswali na maelezo zaidi 0719527062/0757056472.Karibu tukuhudumie.
View attachment 1557232
View attachment 1557234
View attachment 1557237
View attachment 1557239
View attachment 1557240
View attachment 1557242
View attachment 1557243
View attachment 1557244
View attachment 1557246
View attachment 1557247
View attachment 1557248
View attachment 1557249
View attachment 1557250
View attachment 1557251
Nashukuru kwa kunijibu.Kwa case ya hizo spices kuna kitengo cha mboga mboga na matunda.Hapo utapata