INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Unamshauri mtu miti gani ya kupanda na kwa mpangilio gani katika kiwanja chake ambacho bado hajaanza ujenzi?
Miche ambayo itafaa mizizi yake haiendi mbali,Miche ambayo hainyonyi maji mengi ardhini.
Miche ya matunda na kivuli ni bora zaidi
 

Attachments

  • Screenshot_20260818_110526_Google.jpg
    Screenshot_20260818_110526_Google.jpg
    410.9 KB · Views: 7
Miti hiyo ni ipi? Unayo na unauza bei gani?
Miche ya kivuli tuna aina moja tu kwasasa,Haradali mche sh 2000
Miche ya matunda ipo aina nyingi sana zaidi ya 30 unaweza kupitia huu Uzi nimekuwa niki attach picha mbalimbali na Bei.
Au unaweza kunitajia aina ya mche then nikakutajia Bei

Lakini pia kwa case ya eneo lako usipande mti wa mfenesi,zambarau,mkaratusi
 
Mikoa yenye hali ya hewa kama Mwanza,Shinyanga mnashauri kupanda Miche gani ya matunda boss?
Papai
Miembe
Pera
Miche Jamii ya citrus
Starfuit n.k

Papai aina zote ni sh 3500
Miembe aina sh 2000
Pera aina zote 2000
Citrus sh 2000
Starfuit 2000
😊 Karibu Boss
 
Tuna migomba aina 13
Mzuzu
Mshale
Malindi
Kisukari
Mkono wa tembo
Fhia
Williams
Bukoba
Uganda green
Bokoboko
Mtwike
Kitarasa
Mzungu mwekundu

Bei ya Kila mche ni sh 3500
Karibuni wakuu
 
Back
Top Bottom