INAUZWA Miche ya migomba ya kupandikiza inauzwa

INAUZWA Miche ya migomba ya kupandikiza inauzwa

Cosam

Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
5
Reaction score
1
Miche ya migomba aina ya Kisukari, Bukoba, Mzuzu, Mkono wa Tembo, nk., inapatikana Goba, karibu na Shule ya Sekondari ya St. Joseph Millenieum.
Kwa maulizo piga namba ifuatayo: +255 754 367650.


Karibuni sana.
 
Ndio iyo kwenye picha hapo? Karibu n kisima cha maji mkuu
 
Hiyo ya kupandikizwa inatofauti gan na hii tuliyoizoea naomba majibu mkuu, ili tufanye biashara
 
Back
Top Bottom