masandare JF-Expert Member Joined Mar 9, 2014 Posts 671 Reaction score 574 Aug 28, 2014 #1 Nahitaji miche ya pilipili na nyanyachungu ili niweze kuanza kilimo Kwa mwenye taarifa zitakazo maliza shida yangu anisaidie
Nahitaji miche ya pilipili na nyanyachungu ili niweze kuanza kilimo Kwa mwenye taarifa zitakazo maliza shida yangu anisaidie
B bartholome Member Joined Oct 24, 2010 Posts 10 Reaction score 4 Aug 31, 2014 #2 Habari yako Masandare!! unawezatoa maelezo kidogo juu ya hayo mahitaji yako.. mfano: jamii ya pilipili husika (i.e mbuzi, kichaa, Jalapeno, Habanero, Scorpion n.k). Pia kiasi cha miche na unatarajia kuzipanda lini??
Habari yako Masandare!! unawezatoa maelezo kidogo juu ya hayo mahitaji yako.. mfano: jamii ya pilipili husika (i.e mbuzi, kichaa, Jalapeno, Habanero, Scorpion n.k). Pia kiasi cha miche na unatarajia kuzipanda lini??