Miche ya pilipipili na Nyanyachungu

Miche ya pilipipili na Nyanyachungu

masandare

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
671
Reaction score
574
Nahitaji miche ya pilipili na nyanyachungu ili niweze kuanza kilimo
Kwa mwenye taarifa zitakazo maliza shida yangu anisaidie
 
Habari yako Masandare!! unawezatoa maelezo kidogo juu ya hayo mahitaji yako.. mfano: jamii ya pilipili husika (i.e mbuzi, kichaa, Jalapeno, Habanero, Scorpion n.k). Pia kiasi cha miche na unatarajia kuzipanda lini??
 
Back
Top Bottom