Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!



Leaving so soon? The President boards Air Force One Friday morning to visit the Gulf Coast
 


President Obama played some Saturday morning basketball at the University of Chicago Laboratory School.


 


Bo takes his first walk in Chicago




President Obama walks in his neighborhood with Sasha on Saturday




The president and his family take a walk in his South Side neighborhood. Obama's niece Leslie Robinson (wearing a blue shirt), Michelle Obama, and her mother Mirian Robinson, and the president's daughter Malia


 
Ila huyo binti Malia atakuja kuwa nkali kinoma aiseee
 
Kwa kweli hii familia inanigusa sana. Hata ukibahatika kuoa binti wao una uhakika wa ndoa kudumu kama na wewe umetulia. Wako well bonded hivyo nao watategemea family zao zijazo ziwe well bonded. Unapooa mke au kuolewa na mume ambaye wana malezi na upendo wa familia kwa asilimia kubwa na familia zenu zita follow suit! Bravo Michelle, behind any successful family there is a strond and dedicated wife behind! Si kwamba na wanaume hawahusiki bali naona kuwa akina mama wanakuwa katika diver's seat kwa masuala ya malezi kwa mume na watoto, kufanya mazingira kiujumla yawe conducive for living and development, which I believe the first lady, Michelle has played! Again keep it up mom!
 
Afadhali umesema weye RayB...ningesema mie wangesema nampendelea....


kwa kweli kabinti kameshapevuka kabisa nadhani ndani ya miaka miwili ijayo atakuwa ni msichana wa maana, nadhani anaweza kufata nyayo za baba au condolezza rice kurudi hapo mjengoni
 





As the Obamas walked strolled down the street of their Chicago home, Mrs. Obama donned a pair of gray slacks with a t-shirt and cardigan




As the Obamas returned to the White House, the first lady appeared to welcome summer with this batik-print blouse and bright blue shoes
 




 


Sasha Obama rocking a zebra print bag as she leaves the White House




Malia Obama leaving the White House

Hakyanani huyu mtoto atakuja kuwa moto wa kuotea mbali...natafuta kazi SS, hakyanani wallahii!..!
 
Duh, Malia amepevuka sijui wanakula nini huko WH, and she has the height wa wa wa...i wish I was Bo...just to hang around them ahahhahahah
 

Obama ataua mtu hapa maana kanafaa kwa matumizi ya binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…