Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

Mkuu unawapenda sana Obama na Mkewe ee?
Maana unaongoza kwa kujaza picha zao humu.
 
Jamanii hii couple ni kibokoooo...natumai hata baada ya miaka 40..hawatatengana kama Ali Gore na Tipper..long live Barack Obama familiy..
 
Yaaaaaaaaani A/T unanikuna mno unapotupa habari za hii familia. Ninaiombea Mungu sana, wazeeshane kwa maisha yao yote. Kwa kweli wazazi tupendane na watoto wetu will follow suit. That is Agape Love.
 
JK ana wake kumi na mbili wanaofahamika..Watoto lukuki!
 
kazi kwenu anangalie isije wale wa jirani yako nao wake
Conquest-watoto kibao mama wengi like king mswati wa bongo
 
Yaaaaaaaaani A/T unanikuna mno unapotupa habari za hii familia. Ninaiombea Mungu sana, wazeeshane kwa maisha yao yote. Kwa kweli wazazi tupendane na watoto wetu will follow suit. That is Agape Love.

....Well spoken mkuu!
 
Our Detroit fella you need help with your obsession with the first lady.
 
Back
Top Bottom