Michelle Obama Crushes "Single Ladies" and Stevie Wonder During Carpool Karaoke

Kwa kweli ila yule mwanae mkubwa vipi? Ni hatari kwa uzuri.atasumbua sana huko siku za mbele mi nipo.
 
Kwa kweli ila yule mwanae mkubwa vipi? Ni hatari kwa uzuri.atasumbua sana huko siku za mbele mi nipo.

Hata wale mabinti wala siyo ma beauty queens kivile.

Wako kawaida mno.

Hizo sifa wanazomwagiwa ni ushobokaji tu wa watu kwa vile ni watoto wa rais wa Marekani.

Wangekuwa ni watoto wa sijui rais wa Papua New Guinea huko wala usingeona huu ushobokaji uliopo.

Eti Michelle mzuri....ana uzuri gani yule mama jamani? Tena hapo usikute anasaidiwa tu na ma makeup la sivyo angetisha.

Hamna lolote....ni ushobokaji tu kisa ni mke wa rais wa taifa kubwa. Zaidi ya hapo hakuna lolote lile.
 
ila kiukweli Michelle ana sura ya kushindia. sema anabrain na yupo cool, hivyo ni muhimu kuliko sura nzuri.
 
Ni kweli lakini,ni wa kawaida,sio mbayaa wala sio mzuuuri kama media za USA zinavyotaka kuwaaminisha watu,yaani mtazamo wako ni kama wangu.
 
Ni kweli lakini,ni wa kawaida,sio mbayaa wala sio mzuuuri kama media za USA zinavyotaka kuwaaminisha watu,yaani mtazamo wako ni kama wangu.

Lakini siyo tu media za Marekani ndizo zinazotaka kuaminisha watu.

Hata humu watu kutwa kucha kummwagia sifa eti mzuri....ana uzuri gani huyo mama jamani?

Ni wa kawaida mno.

Anaonekana 'mzuri' kwa vile tu ni mke wa rais wa Marekani.

Angekuwa mke wa rais wa Malawi au Uganda wala asingemiminiwa hizo sifa.
 

Yea ni trans gender mkuu
 
kabisa
 

Ha ha haah...kinda true story my big bruh. I can't agree more with you man. We are on da same wavelength bro. Cheers man !!!
 
I love this lady and the whole family.
 
Uko sahihi mkuu, kwa makapuku wakisikia mtoto wa mzito fulani akili zinahama kutoka kwenye kukosoa hadi kusifia. Hata uswazi mambo yako yakiwa vizuri utaona watu wanavyoshoboka! Nafikiri ni sababu ya umaskini, ulimbukeni na kutojiamini. Kwa marekani ambapo kukuta watu wanaoishi maisha ghali kumzidi rais wanachukuliana kawaida sana ndio maana unaweza kuona Obama akienda kucheza pool table au kula mgahawani ila huwezi kukuta rais wa kiafrika au watoto wao wakifanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…