Ila ukweli wa mambo huyo mama wala siyo mzuri kivile.
Hizo sifa lukuki za uzuri anazomwagiwa ni kwa vile ni mke wa rais wa Marekani na alianza kusifiwa sana baada ya mumewe kuchaguliwa kuwa rais.
Wakati mumewe alipokuwa Seneta hakumwagiwa hizo sifa za uzuri.
Kila nikimwangalia siuoni uzuri wake. Hana sura nzuri...hata shepu ni ya kawaida sana.
She is also kinda flat chested.....in a nutshell...she's no beauty queen. Her looks are very pedestrian. She wouldn't even turn my head if I didn't know who she was.