Michelle wetu kunani jaman!

Thank you my sisy!
Jana nimemsikia mtu kwenye TV kuhusu mgao nikasema dada yangu kamshirikisha mawazo yake nini?
Stay well Eng. and wasalimu familia!!

Hahahahah...mgao huu umeshika pabaya sana my d, ila sasa hivi kuna mvua zinazoendelea kunyesha na tunataraji japo kidatu haina reservoir bali itapata kidogo kwenye catchment(sp) hapo Moro,

kama unijuavyo mdau na mimi nina barua ndeeefu kumwomba mh makamba (jan ) kuadvice kidogo kwenye power utility sector...nategemea kidogo kutoa basic engineering instructions if allowed
 

January ni msikivu na hivi anajua tuna muangalia baada ya kumpongeza sana,ataelewa,tafadhali mpe mapema iwezekanavyo,hali ni mbaya!!
Nafurahi una wajibika kwa maslahi yetu vizuri,am proud of you!!
 
Wote bila wewe?Mmoja atakua third wheel..hatutaenjoy!
Mwambie liz she sounds sad lazima twende nae. Lizzy,Michelle, TF i have to sign off my drinking buddies are calling off the hook,wishing you all a happy w/end its been nice talking to you all.
 
Mwambie liz she sounds sad lazima twende nae. Lizzy,Michelle, TF i have to sign off my drinking buddies are calling off the hook,wishing you all a happy w/end its been nice talking to you all.

Have fun my dear!
thank you for your time with us!
we had a great time!!!
Enjoy your weekend!!
 
Hahaha!Sasa wakishakunyanganya pesa we siunabaki kapa?!

anakuja yeye kama yeye mdogo mdogo,anajua huangalii hela na vile umemualika wewe ndo basi tena,kazi kwako!!
 
mi mzima...
nilikuachia kidogo ukumbi na babu!
huku alhamdulillah mwenye enzi azidi kutubariki!

Ile zawadi nitumie basi nile na watoto VALENTINE? please please...l.o.l:laugh::laugh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…