Michelle wetu kunani jaman!

Michelle wetu kunani jaman!

Muache,amemtafuta mno Lizzy sasa leo kampata hapatoshi,wewe nitakupa wa kukupa kampan iliyo salama na isiyodhuru ulipofika:laugh::laugh:
Naona uporoto01 hadi kwenye kupiga penati na kwenyewe anakaba
 
Yule mtu humuwezi,yaani ni kama CIA fulani,anaweza toweka katika mazingira ya kutatanisha,kanikaribisha home then katimua.....
unanishauri vipi? nakata tamaa nduguyo! wewe unamuelewa?najua kuna men talk,sijui waga anasema anaenda wapi?:twitch::twitch:
Hahahah mbona kama vile unakata tamaa, mimi mwenye tokea ulivyokuwa haupo hapa naona naye ilimuathiri kidogo akawa anakuja lakini hakai kama kawaida yake
 
Hahahah mbona kama vile unakata tamaa, mimi mwenye tokea ulivyokuwa haupo hapa naona naye ilimuathiri kidogo akawa anakuja lakini hakai kama kawaida yake

Nikiwa sipo ndo anapata uhuru wa kufanya atakalo,mi waga nakaba haswa,so akitoka anakuwa kama kachanganyikiwa.....kuna bibi anampa ubize,ila ntamuweka sawa tu,mtoto wa kitanga+mngoni mimi!!! L.O.L:laugh::laugh:
 
Hahahah mbona kama vile unakata tamaa, mimi mwenye tokea ulivyokuwa haupo hapa naona naye ilimuathiri kidogo akawa anakuja lakini hakai kama kawaida yake

Na nimekata tamaa kweli,nampa siku tatu kama asipojirekebisha nampiga BAN!!:laugh::laugh:
 
Thanks my dearest bro;

she will come,you ought to be strong
and yes,keep holding on and
never settle for less when it comes to LOVE coz you deserve just the BEST!!!!
images.jpg
 
Inauma ila ndo siwezi mlazimisha.....ila am happy for you two,enjoy your date!!!:laugh::laugh:
Jamani you are making me sad now,as long as lizzy is there i don't mind you coming with us,pleeease.
 
Lizzy una akili sana,sikuliwaza hilo,nafikiri kwa kuwa alikuwa na usongo na wewe,nyie muende tu,mimi nitakuwa nang'aa macho na yeyote hapa JF,hadi hiyo Valentine iishe!!:laugh::laugh:

Jamani utakua unambania na Fynest!Tukienda wote kila mtu anafaidi!
 
Karibu Michelle, thread ndefu inakukaribisha, so surely ur presence or lack of it was felt,

Am glad u r back wakwetu

Eng Nsia
 
Nikiwa sipo ndo anapata uhuru wa kufanya atakalo,mi waga nakaba haswa,so akitoka anakuwa kama kachanganyikiwa.....kuna bibi anampa ubize,ila ntamuweka sawa tu,mtoto wa kitanga+mngoni mimi!!! L.O.L:laugh::laugh:
:laugh::laugh::laugh: Kama ulivyosema huwa anaibuka ghafla from nowhere akiona haya maneno nafikiri anaweza akaweka kambi kabisa hapa
 
Karibu Michelle, thread ndefu inakukaribisha, so surely ur presence or lack of it was felt,

Am glad u r back wakwetu

Eng Nsia

Thank you my sisy!
Jana nimemsikia mtu kwenye TV kuhusu mgao nikasema dada yangu kamshirikisha mawazo yake nini?
Stay well Eng. and wasalimu familia!!
 
:laugh::laugh::laugh: Kama ulivyosema huwa anaibuka ghafla from nowhere akiona haya maneno nafikiri anaweza akaweka kambi kabisa hapa

Hana uoga yule,nilishamuonyesha nampenda sana so he knows he can always come back!!
 
Back
Top Bottom