Michelle wetu kunani jaman!

Michelle wetu kunani jaman!

Bora ingekua hivyo Dearest angalau ningejua sababu!Yani kanitupa tu ghafla!

Amesema ulimwambia anakufuata fuata akaona akupe space......be good to my Uporoto!mi like him lots!!
 
Jamani,Lizzy alisema hivyo?msamehe Uporoto,she is such an angel.....tema mate nimchape yaishe....l.o.l
Yaani huwezi amini tuliconnect vizuri lakini sikutaka kuitwa stalker nikakaa pembeni.

Jamani mbona mi hata kusahau nilishasahau!Pole na samahani bwana...hata sikumaanisha!
Nilikujibu samahani hutaniona tena na ukanipa thanks meaning you were ok with that.
 
Yaani huwezi amini tuliconnect vizuri lakini sikutaka kuitwa stalker nikakaa pembeni.

Nilikujibu samahani hutaniona tena na ukanipa thanks meaning you were ok with that.

mmmmmhhhh Uporoto,mwenzio alipitiwa,msamehe basi?
nikupe chai yetu ile na yeye kasema atakutoa weekend!!!:laugh::laugh:
 
Sikua siriaz kwahiyo nikajua umechukulia utani kama mimi!Hata hivyo nimejirudi so.....!?
 
Duh,niliona ume post via mobile nikahisi uko Dubai au Amsterdam unasubiri kubadili ndege kuelekea kule........am missing AD jamani!!!
Hahahaha sis mhhhh bado bado jamani yaani nifanye hivyo hata nisikwambie
 
mmmmmhhhh Uporoto,mwenzio alipitiwa,msamehe basi?
nikupe chai yetu ile na yeye kasema atakutoa weekend!!!:laugh::laugh:
Michelle your tea will have to wait lol! i wont miss a date with lizzy for the world lol!
 
Duh,niliona ume post via mobile nikahisi uko Dubai au Amsterdam unasubiri kubadili ndege kuelekea kule........am missing AD jamani!!!
Halafu sis natafuta hii kitu kwanza
ring.jpg
 
Michelle your tea will have to wait lol! i wont miss a date with lizzy for the world lol!

ha ha ha ha ha ha ha,ndo unaambiwa usiache mbachao kwa msala upitao,kwani ungepita kwangu ukanywa chai nguvu zitakuishia?
haya,kwa kuwa nakujali na furaha yako ni yangu,nakuruhusu!!:laugh::laugh:
 
Back
Top Bottom