Babu kweli wamfahamu mjukuu wako
Yaani hizo baraka zimenigusa kama nitakavyo
Ila hapo pa akienda kwa mwanamke mwingine baioloji yake igeuke,naomba akiwa anarudi kwangu irudi,manake Babu sasa itakuwaje?
AMEN!!!
Hahahahaha.....Yaani ikigeuka kuwa ya manamke na yako inageuka kuwa ya kiume...unammimbisha ghafla akome na tabia yake mbaya. Akiwa na kimimba inarudi tena ya kiume mpaka wakati wa kujifungua......
Sasa unacheka nini?.....Usicheke tafazali manake na wewe kwa kucheka sikuwezi.
Exactly! nilipewa BAN Samora!bunge kule ndiko nakowajibika,so ni lazima nifuatilie!
Welcome back Michelle, kama hujui wengine tunapitia humu kusoma mabandiko yako! kuwa mwangalifu kidogo, usijeunguza vidole vyako - na hizi BAN zinaturusha roho bure mashabikli wako!
Michelle wasikuzuge hawa kwenye maandamano alikuja Kaizer tu na bango lake wengine wote sijawaona ikabidi tuahirishe.
Anybody can become angry - that is easy, but to be angry with the right person and to the right degree and at the right time and for the right purpose, and in the right way - that is not within everybody's power and is not easy.
WELCOME MICHELLE
Thank you AIZAK, i wish people knew that,the problem that we face in this kind of forum,is some people thinking they are always right,they should not be criticized,because they are so patriotic......there is nothing like that,patriotism is not shown on your keyboard and by not listening to what others have to say!!!
Kwasababu ya kutofautiana siku moja ndo ukaona lile jukwaa siliwezi,siku nyingine napochangia na kuungwa mkono mbona husemagi,you are simply an old fool and coward!huna la kuniambia....
Mi si mchungaji,na huwa natumia Biblia mara nyingi tu,kutokana na upofu wa macho unaokuanza au usahaulifu hukumbuki.....binadamu lazima uwe na misimamo,siwezi kupelekwa pelekwa tu kifikra na kimtazamo....
Welcome back michelle maana tulipwayaje? tulitaka tuandamane watu hawakutokea karibu sana
Orite...michelle......cool down....
Ondoa stress maisha yaende...welcome back....
michelle,
you are courageous and open minded.
I like that.
welcome back!
Thank you St.RR, will do just that!
Life has to go on with lots of joy and courage!!!
Tuko pamoja!
Welcome back Michelle..........:clap2::clap2:
Thanks Keren........i missed you!:laugh::laugh:
I missed you dear...happy you are back! :laugh: