Michelle wetu kunani jaman!

Michelle wetu kunani jaman!

Jamani barn ya michelle inaisha lini aluu nammiss
 
Jamani mimi mgeni nilikuwa najipitia njia lakini kwenye hii thread nimejifunza. Nilipokuwa nafuatilia huu mjadala ni kama majaji wakekaa ku review kesi. Ningekuwa mimi ndiye natoa hukumu sioni kama huyo dada alikosa kustahili adhabu hiyo. nimefuatilia hizo post zake, labda kama kuna ambazo zilifutwa.

Hata hivyo naona alikuwa mkali kweli kweli
 
Ameiomba mwenyewe kama alivyoomba Maria Roza wakati ule, na Afrodenzi kwa sasa.

Babu sikujua unajua kushuhudia usiyoyajua?haya,uzee ndo huo!mjukuu is back!:laugh::laugh:
 
Jamani mbona kule kwenye siasa walichambana na rev na wengine kwa matusi na wao wamebanika?????

mi sijui kuchambana ni nini!kama kutofautiana na mtu ni kuchambana,basi nafikiri kiswahili sikijui!
 
Nilijua angepata BAN majibu yake ya jana yalikuwa makali. Ni kama alikuwa amevaa gloves. Nilikoswa sumbwi lake moja, kwa kuwa Rev ni mjanja wa kukwepa. Maisha yataendelea nadhani ile ID yake nyingine nimeiona sehemu ....yupo!

Sina ID mbili Rev!
 
Jana hali ya hewa ilikuwa imechafuka jukwaa KUU na Michelle naona alishindwa kuzuia hisia zake.

Tutakukosa dada!!

Nilikukosa pia kaka Realman,i hope anniversary ilikwenda vizuri!
 
Kwa mtindo huu ndo maana najikalia jukwaa la bondeni :sick::sick::sick:

ha ha ha ha ha ha ha Maria Roza,nimezoea mapambano,nimetoka mbali kuanzia chuo kikuu na uongozi hadi nilipo,siogopi chochote,BAN haininyimi kula wala kuishi,ila katika vitu napenda nikuzungumza nachofikiri,and nobody,nothing not even a BAN can change that!
Huu woga ndo unafanya wengi wasubiri viti maalum au nafasi za kupewa,lazima tujifunze kupambana,huko huko tunajifunza,tunapata experience na tunajua namna ya kuzidi kupambana!:laugh::laugh:
 
Akirudi mumshauri awe anabaki hapahapa MMU, kule jukwaa la siasa hapawezi, jana alitumia hasira kuliko hoja.

Ni vizuri abakie hapa kutupa injili(licha ya kwamba sijawahi muona akinakili kifungu cha Biblia kama Miss Judith); ila wakati fulani hata hapa huwa anawaka kwa hasira(ndani ya key board), si mchezo hasa ukienda tofauti na misimamo yake!

Kwasababu ya kutofautiana siku moja ndo ukaona lile jukwaa siliwezi,siku nyingine napochangia na kuungwa mkono mbona husemagi,you are simply an old fool and coward!huna la kuniambia....

Mi si mchungaji,na huwa natumia Biblia mara nyingi tu,kutokana na upofu wa macho unaokuanza au usahaulifu hukumbuki.....binadamu lazima uwe na misimamo,siwezi kupelekwa pelekwa tu kifikra na kimtazamo....
 
Back
Top Bottom