Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Yaani sijui wanahisije madai yao hawataki kushareMna wanavyoojaaga wivu
Kama nyenyere
Sijawahi ielewa hiyo kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani sijui wanahisije madai yao hawataki kushareMna wanavyoojaaga wivu
Kama nyenyere
Sijawahi ielewa hiyo kitu
NeverMchepuko nacho cheo, ila kinafichwa sana
Kataa ndoa hadi sheria kandamizi ya mahusiano ya ndoa ifanyiwe reform.Sema kitu
Ukipenda ndiyo utajua hujuiMna wanavyoojaaga wivu
Kama nyenyere
Sijawahi ielewa hiyo kitu
Mchepuko ni nyumba ndogo.Hivi mchepuko ni nani au nini maaana ya mchepuko
Sema suuuKataa ndoa hadi sheria kandamizi ya mahusiano ya ndoa ifanyiwe reform.
Michepuko na idumu ingawa mimi sichepuki🤣🤣
Ila si mnapenda kudanganywa, ukweli hamuutaki. Sasa na hii 30+ utaamini mtu yungali single?Never
Hakika, lazima siku ya michepuko iingie kwenye katiba mpyaShout out kwa michepuko yote Tanzania inayojua wajibu wao na kuplay low ili mama mjengo asistuke
🤣🤣🤣Hakika, lazima siku ya michepuko iingie kwenye katiba mpya
HakikaKataa ndoa hadi sheria kandamizi ya mahusiano ya ndoa ifanyiwe reform.
Michepuko na idumu ingawa mimi sichepuki🤣🤣
Yeah,namaanisha ndoa......siwez kuwa mchepuko Kwa mume wa mtu....Nami ndo nadhiri mejiwekea cuteSasa unaweza jihisi wewe ni main kumbe ndo mchepuko😀😀😀unless umeolewa
Hongera babeYeah,namaanisha ndoa......siwez kuwa mchepuko Kwa mume wa mtu....Nami ndo nadhiri mejiwekea cute
Mkuu agiza supu na mayai ntalipa😊Sema suuu
I mean it bro....mi alikuja na mahari alitoa nikagundua anamke na watoto ....nilirudisha mahari mkuu.Nami ndo msimamo wangu....kufa bila ndoa si shida ila kujibanza Kwa mtu kwangu ni shidaIla si mnapenda kudanganywa, ukweli hamuutaki. Sasa na hii 30+ utaamini mtu yungali single?
Upole unahitajika eneo hili.Eti babe by ndo naingia getini.... keshooo eee
I love uu
I love u my foot unaempenda ni huyo unayemuogopa......
Utumwa🤣🤣🤣🙌Eti babe bye ndo naingia getini.... keshooo eee
I love uu
I love u my foot unaempenda ni huyo unayemuogopa......