Michepuko iheshimiwe

Michepuko iheshimiwe

Tofauti za ndani ya nyumba ni jambo la kawaida. Kama mawe yanacollide yenyewe kwa yenyewe sembuse sisi wanadamu.
Suluhu inapatikana kwa kubaki njia kuu, ukichepuka unazidi kubomoa na sio kujenga tena.
Ni mtazamo Mix😎
 
Babe usijali sana comments zangu kwa uzi huu
Will respect ur wife na kuhakikisha hustukiwi na furaha inakuwepo. Just be a man kwangu.
Dating a married man is sexy...... saa ingine ni addiction.
Zile haraka haraka za kuibia ni tamu sana.
Posts kama hizi huambatana na jina la mtumiwa🤣
 
Babe usijali sana comments zangu kwa uzi huu
Will respect ur wife na kuhakikisha hustukiwi na furaha inakuwepo. Just be a man kwangu.
Dating a married man is sexy...... saa ingine ni addiction.
Zile haraka haraka za kuibia ni tamu sana.
Khaaa
 
Unataka nivunje ndoa ya mtu then niharibu furaha yake .....nooo. am here to make him better na si kuharibu
Unataja hata wajihi tu. Unasema wee mbebez mwenye sharubu za kuvutia magari ninakuzimia na kadhalika.....

Tunaishi kwa codes humu ujue
 
Back
Top Bottom