Michepuko inaokoa😂😂

Michepuko inaokoa😂😂

Nyie mko mbali.....mnakopeshana mpaka laki 5?
Mimi hiyo ten tu hatokaa aone simu yangu kwake tena!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha, mkuu huo usiuite mchepuko ita pozeo... maana unakopa!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa Mkuu. Ila mimi sijui nikoje,demu akiniomba hata buku ndo nishamkosa. Ila asipoomba najikutaga nafunguka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitongaaa..... safi lakini - mjini mipango, K si lazima ununue hata za bure zipo nyingi tu mbona... ingawa bure ina gharama wakati mwingine kuwa makini.
 
Huo mchepuko siyo wa nchi hii
Kuna mchepuko huo niliuona ni mama wa rafiki yangu yaani hadi yule mama anafariki ndio nikajua kuwa alikuwa mchepuko yaani alikuwa anasomesha watoto wa nyumba kuu nikizani anasomesha watoto wa mchepuko kumbe yeye ndio mchepuko
 
Back
Top Bottom