Michepuko msitufanye Benki ya Dunia



Michepuko kumbe wanakutanaga na mengi aisee?! [emoji3][emoji3]

Wanaume ndiko wanakojifunzia ku practice styles mbalimbali za kihuni !

Ndio maana malaya wengi huwa watu wa hasira nyingi , uchungu na matusi mdomoni kama yote [emoji108][emoji108]

Kumbe sababu ya kufanywa vibaya !
 
Kuna yale majaamaa yanayotoa pesa kwa uchungu ....na kulalamika..hapo hawakubali lazima walipize ...mziki sawa na pesa hadi wanajuta kwann waliomba hela.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sasa ndio nini? Umkomeshe mtu kisa kaomba hela kama haiwezekani si unamuacha ende
 
Hongo ya miezi 6 hiyo yy anataka siku 2 tu
 
Kiranga komo[emoji38][emoji38][emoji38]
 
watoto wa kike siku hizi wana njaa ya hatari,unaweza piga mtaa mzima kama una vijisenti , angeomba mtaji wa laki 3 wa mama ntilie ningemwelewa, u
 
Mungu akusaidie sana!
Nimeona kuna waliokuwa na michepuko bila kupenda ila yaliwakuta majanga Kwenye ndoa plus kunyimwa tendo kwa muda mrefu na mke akajikuta hana namna ,akawa na mchepuko bila kupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya wanawake wanajisahau Sana wakiolewa Sana lkn kunawengine wamepta bahat mbaya kuolewa na wanaume zipuzao hazifungi hta wapewe nn hawaridhiki alafu Cha ajabu na hela hawana Wana kazi ya kulialia tu[emoji23][emoji23]
 
Haonwaoaji...sie wagegedaji hilo halipo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] watu wako tofaut jmn

Mwenzako kalipa kodi ya nyumba mil 4 pr yr wewe laki 3 tu umeuchuna hata kujibu sms hutaki

DeepPond njoo umpe neno baharia mwenzako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilichogundua wanaume wenye michepuko ndo wanaongoza kwa kuwa na stress[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]kuliko wasiooa kabisa
Mkuu utafiti wako umeufanyia Ukraine au Russia?
No research,no speakin.
 
Mafurushi, mlitumwa? Si viranga vyenu. Na mkufe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…