Michepuko wako unawapataga wapi?

Michepuko wako unawapataga wapi?

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Kuna story nyingi sana kwenye mahusiano, mtu akishaishi kidogo tu na mpenzi wake basi kashamchoka anataka kumtema na kupata mwingine.

Wengine wanachokana baada ya siku, wiki, miezi, miaka nk na kuanza harakati za kupata mchepuko mpya,
Wengi wana uhakika wa michepuko ndo mana kupigana chini kumekuwa kwingi sana, tupe chimbo lako la kupata michepuko mipya kwasababu isingekuwa unalo basi kupigana chini kusingekuwa kwa kasi kiasi hiki mimi chimbo langu ni TikTok pale pana pisi kali za kila aina ni wewe umejipangaje
 
Back
Top Bottom