Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
Bolton are the new 'Crazy Gang', says Robinson

Published 23:00 17/12/10 By Alan Nixon




Paul Robinson reckons Bolton Wanderers are the new Crazy Gang - a modern madcap version of the old Wimbldeon of Vinnie Jones fame.
Veteran left back Robinson has seen a lot in his time in the game and knows a good dressing room when he is in one, with the happy Wanderers right at the top of that table.
The secret of Owen Coyle's side's success has been their togetherness and Robinson thinks that is the super glue behind the scenes and on the pitch.
Wilmbedon defied the odds a decade or more ago with their larks and laddish behaviour and Bolton are doing the same. The way their ten men beat Blackburn Rovers last week told a story - as did their celebrations.

Robinson thought the way they went wild showed the mixture of cameraderie and comedy that is their special blend. He laughed: "There's a picture where I am in mid-air and it looks like I am about to flatten them.
"I might have hurt them if I had come down like that, so it was a deliberate miss."
Robbo was at the heart of the second celebration too when he and scorer Stuart Holden do a silly dance and fall over. He smiled and said: "That one is a dressing room secret - I can't say what that is about.
"But you will see that one again - and we come up with new ones all of the time. The banter is great. There is a great atmosphere among the lads, even the ones who are not playing or are injured."
Robinson is interrupted in full flow by mate Holden, putting on a mock accent and saying: "And I've been relegated with all of these clubs." He replies: "Yeah, talk to me when you have played 500 games..."
There are no big egos at Bolton and Robinson added: "It's a great mixture. We have people like Stuart, Robbie Blake, me and Sean Davis when he is around. Matty Taylor likes to think he is funny too.
"We have a few 'lads' about and even Chung Yong Lee gets involved now. We have got a great selection of characters."
Robinson and his merry mates could climb a place to fifth this weekend if they beat fellow high fliers Sunderland, managed by Steve Bruce - a boss he has clashed with but who wanted to buy him.
The pair were at each other's throats after Robinson crocked Damien Johnson in a Midlands derby between West Brom and Birmingham, but they have made up.
He said: "Steve Bruce pointed the finger at me as if it was intentional, but it wasn't. I didn't like the headlines, my kids had to read it and were hearing about it at school - and being told what their dad was labelled.
"I know why Steve said it, it was his player and he was trying to protect him. He had a right to. I think he was sorry about it after. But it's done and dusted now.
"In fact, Steve tried to sign me for Wigan a couple of times after that. He knows the type of player I am."
At that point Coyle heard Robinson's comments and butted in: "Tell Steve to give us a call, Robbo." The defender chuckled and quipped back: "And I thought I was getting another year."
 
Grant insists he's the man to keep Hammers from the drop

Published 23:00 17/12/10 By MirrorFootball




Defiant Avram Grant came out fighting last night and insisted he is the man to keep West Ham in the Premier League.
The Hammers manager also played down reports he has been given three matches to save his job.
"I am very optimistic about the future," he said.
"We have a big challenge here. The minute I think I cannot reach the challenge, I would think about whether to stay or go. But for now let me believe in the people I work with."


The decision on Grant's future will be made by co-owners David Gold and David Sullivan, and vice-chairman Karren Brady.
"These two owners are very nice people," Grant said. "What they say I believe." But when asked if he felt he had the full backing of everyone on the board, he replied: "I know that I am speaking with the owners and there is no problem with them. But I am not naive."
 
Busby will always be the boss, says record breaker Fergie

Published 23:00 17/12/10 By David Anderson




Sir Alex Ferguson will eclipse Sir Matt Busby's record as Manchester United's longest-serving manager tomorrow – but admitted his fellow Scot will always be the No.1 boss to him.
Fergie will clock up 8,811 days in charge before the *showdown with Chelsea at Stamford Bridge – one more than Busby managed during in two stints at Old *Trafford.
But Ferguson claims he will always feel that Busby was around for longer because of the rebuilding job he had to do in the *aftermath of the 1958 Munich air disaster.
"I think of Sir Matt Busby as being here forever," said Fergie. "His time here has been frozen into the memory bank.

"He started at the end of the war and went right through to winning the European Cup in 1968. The time span seems to be much longer than mine.
"Of course, there are emotional issues and he had to rebuild the team after Munich. There was so much emotion involved in all that.
"I didn't have that. That's the reason he seems to have been here forever."
Ferguson, 68, was grateful for Busby's advice when he succeeded Ron Atkinson in November 1986 and always knew Sir Matt was in the offices at Old *Trafford because he could smell his pipe smoke.
Ferguson learned from Busby the *importance of looking after the United family by giving former players a role at the club.
"The issue of ex-players at the club is something I've been addressing for a long time. I wanted to keep all our great names around the club in some capacity," added Fergie.
"I had Sir Bobby Charlton on the board and Sir Matt was here as well.
"People like that are able to understand the *dimensions of this club. That's necessary to *understand the role of manager. It was very helpful to me."
 
Arsenal and Liverpool among four Prem games off

Published 10:34 18/12/10 By MirrorFootball




Arsenal's 3pm kick-off against Stoke was cancelled just after noon because of a freak snowstorm in North London as the big freeze cancelled four Premir League games
Liverpool's match against Fulham today has was called off due to icy conditions around the ground, the Merseyside club announced.
Wigan's home match against Aston Villa at the DW Stadium and Birmingham's clash with Newcastle were both also postponed due to heavy overnight snow.
Temperatures were predicted to be -6 degrees at the scheduled 5.30pm kick-off time at Anfield, but conditions around the ground and on roads in the area forced an early postponement.

"Club officials met with the police this morning to assess the prevailing weather conditions," said a Liverpool spokesman.
"The safety of all fans attending the game is paramount and although the Anfield pitch is playable, the conditions around the stadium and further afield for people travelling to the match are such that the decision was taken, following police advice on safety grounds, to postpone the game.
"All existing tickets will remain valid for the re-arranged fixture and supporters will be advised of the new date as soon as possible."
The Latics earlier issued a statement confirming their game had been postponed, citing "freak snow" as the reason.
 
Why Abramovich is as much of a threat to Chelsea's title chances as Man United


By Mark Lawrenson
Published 08:30 18/12/10







Sir Alex Ferguson has a chance to rub Chelsea's face in it this weekend.
Manchester United will not get a better chance to kick another leg from under Carlo Ancelotti's hot-seat and further destabilise their big rivals.
When these two giants meet, there is a temptation to say it is a defining match of the season, or to conclude that the winner will get a huge psychological advantage and become unstoppable.
That is not true. There are only three points up for grabs, after all.

But there will be great significance in the game if United can inflict further damage on Chelsea in a period when they appear to be trying to self-destruct.
It is a case of the Red Devils being able to cause the Blues some more problems on and off the field, about how you can hurt the opposition.
Defeat would create more self-doubt within Chelsea who find themselves in a delicate position.
I don't think that the club's owner, Roman Abramovich, has helped the situation at Stamford Bridge.
I still don't get the Ray Wilkins sacking. Why do it? Why create the controversy and intrigue? Why rock the boat?
Why not just wait until the end of the season? What did he do wrong to merit being turfed out. No one knows what Abramovich was thinking.
We do know that it has undermined Carlo Ancelotti. Maybe it is just coincidence that Chelsea's form dipped and they went on a poor run of results after that decision, but it is certainly a strange coincidence.
Then we learn director of football Frank Arnesen is going and there is talk of new people coming in, all mid-season, when it should be all about continuity.
It all makes Chelsea a very, very vulnerable team at the moment and Sir Alex's men will be desperate to exploit and extend that feeling.
It is quite amazing that we are talking like this just six or seven months after Chelsea won the double and following a great start to the season.
Abramovich should remember that the last time he interfered, Manchester United went on a run of three titles in a row. Chelsea are nervous at the moment. The atmosphere at Stamford Bridge is never that good. They have a different type of supporter and mindset.
Yes, they have their diehards who have been going for years, but it is a bit corporate – you can certainly feel that on Champions League nights.
And this is for a team who played fantastically well last season.
So rubbing Chelsea's faces in this mini-crisis will certainly be on the agenda, but by no means will a win make United unstoppable even if they have just beaten another title rival, Arsenal.
It is going to be one of those seasons – five teams in contention, points being won and dropped against each other until the death. United themselves are top, but have not played brilliantly well.
They have a game in hand and will reckon a point would be a decent return from London.
But United know they are only two or three injuries away from having problems themselves and they will probably have a dip at some point.
These two, along with Arsenal, Manchester City and Spurs will be in the shake-up and the gap between them is smaller than we've seen in years.
While others invested, United and Chelsea didn't seriously strengthen in the summer.
Traditionally, from January to May, United manage to kick on. They have only played OK so far, so who is to say they won't start to look average in the later stages this time round?
United will look to suffocate Chelsea with their tactics on Sunday. Three central midfielders with legs, wide men withdrawn to stop Chelsea's full-backs and then play on the break. It is a no-brainer for Fergie.
Ancelotti is a top guy and he must be extremely frustrated at the moment. He answers every question thrown his way. He must feel a bit exposed and on his own right now.
After last year's double that is a strange situation to be in.
Back then, the club should have said to him: "What more do you need?"
He must think: "I don't really need this." He could probably walk into any other job.
Maybe Abramovich actually wants Gus Hiddink back?
 
Yanga yatapika koni za Azam


na Makuburi Ally


TIMU kongwe ya soka hapa nchini, Yanga jana ilishindwa kulamba koni za Azam FC ‘Wanalambalamba' baada ya kupelekwa puta na kukubali kichapo cha mabao 3-1 katika mechi ya kirafiki iliyopigwa uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam.
Yanga iliyocheza chini ya kiwango, langoni akisimama kipa Mserbia, Ivan Knezevic, ilikubali kipigo hicho katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo.
Azam iliyokuwa ikiongozwa na mshambuliaji wa Taifa Stars John Bocco ambaye alionyesha uwezo mkubwa katika mchezo huo ilianza mahesabu yake katika dakika 22, baada ya mshambuliaji huyo kuwalamba chenga mabeki wa Yanga na kupachika mpira wavuni.
Yanga waliowachezesha baadhi ya wachezaji ambao hawapangwi mara kwa mara kama Salum Telela, Abuu Ubwa, Chacha Marwa na Job Ibrahim walikaribisha mashambulizi langoni mwao mara kwa mara kutokana na kutokuwa makini.
Azam walifunga bao la pili dakika ya 38 lililofungwa kwa ufundi mkubwa na Patrick Mafisango, baada ya kuwahadaa mabeki na kuwapiga chenga kabla ya kufunga.
Wachezaji Bocco, Mafisango, Suleiman Kassim na Ssenyonjo Peter wa Azam FC walicheza soka safi katika mechi hiyo na kuwa kichocheo cha ushindi huo mnono.
Azam walifunga karamu ya mabao kwa kukandamiza la tatu katika dakika ya 45 lililowekwa wavuni na Bocco tena baada ya kuwalalia kipa Ivan Knezevic na beki Job Ibrahim na kuukwamisha mpira wavuni, bao lililodumu hadi mwamuzi wa mchezo huo Kenedy Mapunda alipopuliza filimbi ya mapumziko.
Kipindi cha pili Yanga ilibadilisha kikosi cha kwanza na kufanikiwa kufunga bao la kufutia machozi dakika ya 84 lililofungwa na Mzambia, Davies Mwape aliyeunganisha pasi safi ya Jerry Tegete.
Kocha wa Azam, Hall Stewart alisema mchezo huo umempa nafasi ya kutambua kikosi chake ambapo amekikubali kwa kuwa fiti na sasa ataelekeza masuala machache ambayo yataiweka timu hiyo katika hali nzuri zaidi.
 
CHADEMA yawapa 'tano' Kilimanjaro Star


na Samia Mussa


CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetoa pongezi kwa timu soka Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars' kwa kufanikiwa kutwaa kombe la Tusker Chalenji linaloandaliwa na Baraza la Vyama Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana na Ofisa Vijana wa CHADEMA, Ally Omary Chitanda, Kilimanjaro Stars wamefanya kitendo cha kishujaa kwa kuweza kupigana kufa na kupona kulitwaa kombe hilo, ambalo ilikuwa inalisaka kwa miaka 16 bila mafanikio.
Aidha, taarifa hiyo ilimpongeza Kocha Mkuu wa timu hiyo Mdenish Jan Poulsen na benchi zima la ufundi kwa kuliletea heshima Taifa.
Alisema, ushindi huo umewaunganisha Watanzania wote wapenda michezo, kusahau kwa muda tofauti zao za kiitikadi na matatizo yaliyopo ya ugumu wa maisha waliyonayo.
"Sisi CHADEMA tunawapongeza na kuwaomba waendelee kupambana kila mashindano, kuhakikisha kuwa tunaudhihirishia ulimwengu tunaweza, vilevile tunawapongeza wadau wote waliochangia ushindi huo kwa namna moja au nyingine wakiwemo waliojitokeza uwanjani kushangilia timu yetu mwanzo mwisho," alisema Chitanda na kuongeza:
"Pia tunatoa wito kwa watanzania kuendelea kuziunga mkono timu zetu kila zinapokuwa katika mashindano ili kuwapa moyo."
Aidha, Chitanda alitoa wito kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuwekeza kwenye timu hiyo na mashindano ya vijana pamoja na kuhamasisha uwepo wa viwanja vya michezo ili kujenga oganaizesheni mahiri ya muda mrefu ya soka.
"CHADEMA iko tayari kuendelea kushirikiana na TFF kuweka mazingira bora zaidi ya mafunzo na rasilimali kupitia sera mbadala," alisema Chitanda
 
Serikali kutenga fungu kwa ajili Taifa Cup


na Samia Mussa


SERIKALI imeahidi kutenga fungu kwa ajili ya mashindano ya Taifa Cup kwa mchezo wa netiboli yatakayofanyika mwaka 2011.
Akizungumza Kibaha mkoani Pwani wakati akifungua mashindano ya 17 ya Taifa Cup 2010, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, alisema, kutokana na changamoto zilizopo katika mashindano hayo, serikali haina budi kutenga fedha ili kufanikisha mashindano.
Alisema, fedha hizo zitasaidia changamoto mbalimbali zikiwamo za timu kushindwa kuhudhuria mashindano kwa sababu ya kukosa fedha, vifaa na malazi.
Dk. Mukangara alisema, amesikitishwa na timu ambazo hazikuweza kufika kwenye mashindano hayo kwa sababu ya ukata, hivyo aliahidi kuwa atahakikisha mikoa yote inashiriki hapo mwakani.
Aliwataka wadau mbalimbali kuwa na moyo wa kujitolea kama ilivyo kwa Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi, ambaye amekuwa mstari wa mbele kusaidia mambo mbalimbali katika kuinua mchezo huo.
Aidha, aliipongeza timu ya Taifa ‘Taifa Queens' ambayo ilifanikiwa kushika nafasi ya tatu kwa nchi za Afrika kwenye mashindano ya kimataifa yaliyomalizika hivi karibuni Singapore, na kuwa ni mwanzo wa kutambulika ulimwenguni kupitia mchezo huo.
"Tunashukuru timu yetu ya Taifa Queens kushika nafasi ya tatu kwa Afrika, kwa sababu tumeonekana katika ramani ya dunia kupitia netiboli," alisema Mukangara.
Wakati huhuo, Chama cha Netiboli Tanzania (CHANETA), kimeomba kupata ruzuku kutoka serikalini kwa ajili ya kusaidia timu ya taifa Taifa Queens.
 
BASATA laja na mapinduzi ya sanaa


na Chile Kasoga


BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA), liko mbioni kuja na mikakati mizito ya kukuza sekta ya sanaa nchini ikiwemo kujenga jumba kubwa la sanaa litakalokuwa na hosteli za wasanii kwa ajili ya wao kuishi wakati wakiandaa kazi zao mbalimbali za sanaa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa BASATA, Ghonche Materego, alisema kwamba, lengo la nyumba hiyo ya sanaa ni kuandaa eneo maalumu kwa ajili ya wasanii kuandalia kazi zao na kufanya maonyesho mbalimbali.
Mbali na jumba hilo la sanaa, Materego alisema kwamba, BASATA iko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha ukumbi mkubwa wa sanaa na burudani wenye uwezo wa kuingiza watu zaidi ya 1,000 wakiwa wamekaa, ambao unatarajiwa kufufua rasmi sanaa za maonyesho ya jukwaani, ambazo siku za hivi karibuni zimekuwa katika hatari ya kutoweka kutokana na kukosekana kwa eneo maalum la kuzionyesha na kuziuza.
"Ni matarajio ya Baraza kwamba, nyumba na ukumbi huu wa sanaa na burudani ulio katika hatua za mwisho vitakapokamilika, kutakuwa na uhai mkubwa wa sekta hii hapa nchini, kiasi cha kuanza kukita mizizi kwa Watanzania wengi hususan wale wasiyothamini sanaa za nyumbani," alisisitiza Materego.
Akizungumzia suala la haki na wizi wa kazi za wasanii, Materego alisema kwamba, pamoja na kuwepo mamlaka nyingine inayoliangaza, BASATA katika mpango mkakati wake inakusudia kuunda kitengo maalumu cha kulifuatilia, hasa kwenye sanaa za asili ili kuhakikisha linapungua na kuimarisha kipato cha wasanii.
Aidha, Materego alisema kwamba, muda umefika sasa wa kuwepo kwa sera ya sanaa inayojitegemea, badala ya ilivyo sasa, ambako sekta hiyo inayokua kwa kasi na kuwa tegemeo la vijana wengi.
"Baraza linakusudia kushawishi kupitia njia mbalilmbali, ili sera ya taifa ya sanaa iundwe na baadaye kuleta mageuzi makubwa katika tasnia hii. Hakuna sababu ya sekta ya sanaa kufichwa ndani ya sera ya utamaduni, kwani kwa sasa imekua sana na kuhitaji muongozo huru wenye kuhitaji uratibu wa kitaifa wa moja kwa moja," alisisitiza.
Alisema kwamba, pamoja na sekta ya sanaa kuongozwa na sera ya utamaduni ya mwaka 1997, bado sheria za Bunge na zile ndogondogo zinazosimamia sekta hii ni za 1984, hali inayohitaji kufanyiwa marekebisho makubwa.
Baraza la Sanaa la Taifa ni shirika la umma lililoundwa kwa sheria ya Bunge namba 23 ya mwaka 1984 na kazi zake kubwa ni kuratibu matukio ya sanaa nchini, kusimamia na kukuza sekta ya sanaa nchini kupitia kuhimiza ubunifu wa sanaa bora
 
BASATA laja na mapinduzi ya sanaa


na Chile Kasoga


BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA), liko mbioni kuja na mikakati mizito ya kukuza sekta ya sanaa nchini ikiwemo kujenga jumba kubwa la sanaa litakalokuwa na hosteli za wasanii kwa ajili ya wao kuishi wakati wakiandaa kazi zao mbalimbali za sanaa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa BASATA, Ghonche Materego, alisema kwamba, lengo la nyumba hiyo ya sanaa ni kuandaa eneo maalumu kwa ajili ya wasanii kuandalia kazi zao na kufanya maonyesho mbalimbali.
Mbali na jumba hilo la sanaa, Materego alisema kwamba, BASATA iko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha ukumbi mkubwa wa sanaa na burudani wenye uwezo wa kuingiza watu zaidi ya 1,000 wakiwa wamekaa, ambao unatarajiwa kufufua rasmi sanaa za maonyesho ya jukwaani, ambazo siku za hivi karibuni zimekuwa katika hatari ya kutoweka kutokana na kukosekana kwa eneo maalum la kuzionyesha na kuziuza.
“Ni matarajio ya Baraza kwamba, nyumba na ukumbi huu wa sanaa na burudani ulio katika hatua za mwisho vitakapokamilika, kutakuwa na uhai mkubwa wa sekta hii hapa nchini, kiasi cha kuanza kukita mizizi kwa Watanzania wengi hususan wale wasiyothamini sanaa za nyumbani,” alisisitiza Materego.
Akizungumzia suala la haki na wizi wa kazi za wasanii, Materego alisema kwamba, pamoja na kuwepo mamlaka nyingine inayoliangaza, BASATA katika mpango mkakati wake inakusudia kuunda kitengo maalumu cha kulifuatilia, hasa kwenye sanaa za asili ili kuhakikisha linapungua na kuimarisha kipato cha wasanii.
Aidha, Materego alisema kwamba, muda umefika sasa wa kuwepo kwa sera ya sanaa inayojitegemea, badala ya ilivyo sasa, ambako sekta hiyo inayokua kwa kasi na kuwa tegemeo la vijana wengi.
“Baraza linakusudia kushawishi kupitia njia mbalilmbali, ili sera ya taifa ya sanaa iundwe na baadaye kuleta mageuzi makubwa katika tasnia hii. Hakuna sababu ya sekta ya sanaa kufichwa ndani ya sera ya utamaduni, kwani kwa sasa imekua sana na kuhitaji muongozo huru wenye kuhitaji uratibu wa kitaifa wa moja kwa moja,” alisisitiza.
Alisema kwamba, pamoja na sekta ya sanaa kuongozwa na sera ya utamaduni ya mwaka 1997, bado sheria za Bunge na zile ndogondogo zinazosimamia sekta hii ni za 1984, hali inayohitaji kufanyiwa marekebisho makubwa.
Baraza la Sanaa la Taifa ni shirika la umma lililoundwa kwa sheria ya Bunge namba 23 ya mwaka 1984 na kazi zake kubwa ni kuratibu matukio ya sanaa nchini, kusimamia na kukuza sekta ya sanaa nchini kupitia kuhimiza ubunifu wa sanaa bora
 
Asamoah Gyan mchezaji bora BBC 2010


na Mwandishi wetu, LONDON, England


MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ghana ‘Black Stars' na Sunderland ya England, Asamoah Gyan, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa bara la Afrika na kutwaa tuzo ya ‘BBC African Footballer of the Year for 2010'.
Nyota huyo wa Black Stars, alipata zaidi ya nusu ya kura zote zilizopigwa na mashabiki wa soka kutoka ndani na nje ya bara la Afrika.
Katika kinyang'anyiro hicho Asamoah aliwabwaga wenzake wanne ambao ni nyota mwenzake wa Ghana, Andre 'Dede' Ayew, Yaya Toure na Didier Drogba wa Ivory Coast pamoja na Samuel Eto'o wa Cameroon.
"Nimefurahi kupita kiasi, siamini kuibuka na ushindi huu, ninapenda kuwashukuru wote walionipigia kura, wameonyesha wana imani kubwa kwangu wananifanya nijiamini zaidi na kuwapenda," alisema Gyan.
Alisema kuwa anafahamu ni kazi kubwa kuitwaa tuzo hiyo, kutokana na ukweli kwamba wachezaji wote walioingia tano bora wamefanya kazi nzuri kwa klabu zao na nchi zao kama ilivyo kwake yeye.
Gyan ametwaa tuzo hiyo baada ya kufanya mambo makubwa kwa kuipeleka Ghana katika robo fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2010 kama nchi pekee ya Kiafrika kufikia hapo katika kombe hilo la mwaka huu.
Kama sio bahati mbaya ya kukosa penalti katika dakika ya mwisho katika mechi ya robo fainali dhidi ya Uruguay, Gyan angeiandikia Ghana historia ya kuwa timu ya kwanza ya Afrika kufika nusu fainali.
Uhodari aliouonyesha katika fainali za Kombe la Dunia, ulimshawishi Kocha wa Sunderland, Steve Bruce, kumng'oa kutoka Rennes ya Ufaransa kwa kitita cha dola mil. 13, ikiwa ni rekodi ndani ya klabu hiyo.
 
Usaili vipaji vya dansi Afri Centre


na Makuburi Ally


USAILI wa shindano la kusaka chipukizi wenye vipaji katika muziki wa dansi ‘Music Dance Competition' unatarajiwa kufanyika kesho na keshokutwa kwenye ukumbi wa Afri Centre Ilala jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Makukwe Entertainment, Suleiman Mathew, alitoa wito kwa vijana wenye vipaji vya kuimba muziki wa dansi hapa nchini, kujitokeza kwa wingi katika usaili huo.
Mathew alisema, zawadi nono zitatolewa kwa washindi watakaofanikiwa kuibuka na taji hilo, ambako anatarajia kutangaza zawadi hivi karibuni.
Aidha Mathew alisema, majaji walioteuliwa katika kinyang'anyiro hicho wameahidi kutekeleza mipangilio ambayo itafanikisha ushindi kwa washiriki.
Fainali za shindano hilo zinatarajia kufanyika Machi 6 kwenye ukumbi wa Club Bilicanas jijini Dar es Salaam baada ya kufanyika katika maeneo mengine.
 
Mariam kidedea BSS


na Hellen Ngoromera


NDEREMO vifijo na shangwe vilitawala usiku wa kuamkia jana katika Ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam baada ya Mariam Mohamed (20) ‘Mamaa wa Kujishebedua' kuibuka mshindi katika shindano la kusaka vipaji vya kuimba nchini (BSS).
Mariam aliyekuwa akitikisa shindano hilo kutokana na umahiri wake katika kuimba muziki wa miondoko ya taarabu amejinyakulia kitita cha sh milioni 30 kutoka kwa Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe wa Kampuni ya TBL, baada ya kuwabwaga wenzake wanne.
Hao ni James Martin aliyeshika nafasi ya pili na kukabidhiwa hundi ya sh milioni 10 na Kampuni ya Airtel, Joseph Payne (3), aliyepewa hundi ya sh milioni 5 na Bella Kombo (4) na Waziri Salumu wa tano.
Mariam alishika nafasi ya pili pia na kujipatia fedha taslimu sh milioni 1.2 kutokana na kutunga wimbo unaopiga vita ukimwi. Aliyeshika nafasi ya kwanza katika hilo ni James Martin ambaye alipata sh milioni 1.5.
Baada ya kutangazwa kuwa mshindi, Mariam alijiangusha ukumbini hapo kwa kile kinachoonekana kuwa hakuamini kunyakua taji hilo katika msimu huu wa nne wa shindano hilo.
Nyota ya Mariam ilianza kung'ara tangu mwanzo wa shindano hilo kwani katika hatua zote tatu alizokuwa akiingia stejini kuwatumbuiza mashabiki aliwavuta vilivyo na kujikuta akiwatoa katika viti vyao kwenda kumtuza.
Pamoja na ushindi huo wa Mariam, mashabiki waliokuwa katika ukumbi huo walikuwa wakipagawa zaidi na vionjo vya Joseph Payne (Mzungu wa BSS) ambaye alikuwa akiyatamka kwa ufasaha maneno ya nyimbo za Kiswahili alizokuwa akiimba kama vile ‘Vailet' na ‘Ya Nini Malumbano'.
Akizungumza baada ya kunyakua ushindi huo, Mariam ambaye ana mtoto wa miaka mitatu aliyemtaja kwa jina la Shamsa, alielezea kufurahishwa na ushindi huo na kuwashukuru Watanzania waliompigia kura.
Alisema matarajio yake ni kuendeleza kipaji chake kwa kujikita zaidi katika muziki wa taarabu ambao ndio anaupenda zaidi.
Shindano hilo lilipambwa na wasanii mbalimbali akiwemo Lawrenze Malima, ‘Marlaw', Said Chege wa TMK Wanaume, Almas Mwassiti. Ali Kiba, Diamond na wengine.
 
Abuu Semhando afariki
• NI PIGO JINGINE MUZIKI WA DANSI

na Juma Kasesa


MPIGA drums mahiri na Meneja wa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta' Abuu Semhando, ‘Baba Diana' au ‘Mzee wa Tangi Bovu' amefariki usiku wa kuamkia jana baada ya kugongwa na gari maeneo ya Mbezi Tangi Bovu jijini Dar es Salaam.
Akithibisha kifo cha mwanamuziki huyo mkongwe jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Kampuni ya African Stars Entertainment, (ASET), Asha Baraka, alisema Semhando alifikwa na umauti usiku wa manane akitokea katika onyesho la bendi hiyo maeneo ya Mbezi Africana kabla ya kugongwa na gari na kufariki papo hapo.
Alisema, Semhando akiwa anaendesha pikipiki yake huku wanamuziki wengine wa bendi hiyo wakiwa katika basi, kwa nyuma aligongwa na gari ambalo halikujulikana na kuangukia katikati ya barabara kabla ya kutokea gari lingine ambalo lilimpanda kichwani na kumsababishia mauti.
Akimuelezea kwa undani mwanamuziki huyo, Asha alisema, Semhando ni mwanamuziki ambaye amechangia kwa kiasi kikubwa mafanikio ya bendi hiyo kwa asilimia kubwa kutokana na kukaa kwa muda mrefu ambapo alijiunga na ASET mwaka 1998 akitokea Diamond Sound.
Alisema, marehemu alizaliwa 1953 Kijiji cha Kibanda, Muheza mkoani Tanga na alianza shughuli za muziki mwanzoni mwa miaka 1970 akiwa na bendi ya Tanga International na baadaye kwenda kuasisi bendi ya Matimila na baadaye Orchestra Tomatoma, Safari Sound Orchestra na baadaye Vijana Jazz ambapo alikuwa katibu wa bendi hiyo na kuwa muasisi wa ‘Vijana Day'; halikadhalika alikuwa muasisi wa bendi ya Tanza Muzika.
Aidha, Asha alisema, mwanamuziki huyo alipata umaarufu katikati ya miaka ya 1970 alipojiunga na bendi ya Vijana Jazz ‘Sagha Rhumba' na kufanikiwa kurekodi nyimbo za ‘Bujumbura', ‘Tambiko la Pambamoto' na ‘Ilikuwa Lifti', ‘Mary Maria'.
Alisema mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa leo alfajiri kwenda kijijini kwao Kibanda Muheza kwa mazishi, ambapo wadau wa muziki wa dansi na mashabiki wa bendi hiyo ambao watakuwa tayari kusafiri wataondokea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo watapata fursa ya kutoa heshima za mwisho.
Wakimzungumzia Semhando, baadhi ya wanamuziki ambao aliwahi kufanya nao kazi, John Kitime alisema, atamkumbuka mwanamuziki huyo kwa ucheshi wake kwa kuwa alimpokea mjini na kumtafutia malazi jijini mwaka 1989 wakati anajiunga na Vijana Jazz akitokea Tuncut Almas ya Iringa.
Naye Adolf Mbinga ambaye alifanya kazi na Semhando mwanzoni mwa albamu ya kwanza ya Twanga Pepeta ya ‘Kisa cha Mpemba' alisema, tasnia ya muziki wa dansi imepoteza jemedari ambaye alikuwa hayumbi katika misimamo yake, jambo lililoiletea mafanikio Vijana Jazz akiwa Katibu na ASET akishika wadhifa kama huo.
 

Buriani Abuu Semhando

Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 19th December 2010 @ 08:08

TASNIA ya muziki nchini imepata pigo lingine baada ya kuondokewa na mwanamuziki mkongwe mpiga drums wa bendi ya muziki wa dansi nchini, Abou Semhando aliyefariki dunia saa tisa usiku wa kuamkia jana kwa ajali.

Kifo cha Semhando kimetokea siku tano tu baada ya gwiji lingine la muziki nchini, Ramadhani Ongala ‘Dk Remmy' kufariki dunia baada ya kuugua kisukari ambapo Semhando alikuwa mmoja wa waliokuwa wakitangulia mbele ya msafara wa maziko ya Remmy na pikipiki yake.

Kwa mujibu wa rafiki wa marehemu ambaye naye ni mwanamuziki wa siku nyingi John Kitime, Semhando alifikwa na mauti baada ya pikipiki yake aliyokuwa akiendesha kugongwa na gari aina ya benzi alipokuwa akitoka kazini kupiga muziki maeneo ya Africana Dar es Salaam ambapo alipiga drums wimbo wa pili kutoka mwisho katika onesho hilo na kuelekea nyumbani na ndipo alipogongwa akafa papo hapo.

Semhando, ambaye mashabiki wake walizoea kumwita Baba Diana, alikuwa mmoja wa waasisi na viongozi waandamizi wa Twanga Pepeta. Mbali na Twanga Pepeta, Semhando aliwahi pia kupigia bendi za Sola TV, Vijana Jazz na Super Matimila.

Aidha kwa mujibu wa Kitime, Semhando jana ilikuwa amuoze binti yake wa kwanza na kwamba alikuwa ameuandikia uongozi wa bendi umpe likizo ya mwezi kwani alitaka asiwepo katika jukwaa kwa kipindi na hiyo ni mara yake ya kwanza kuandika barua ya kuomba likizo.

Mwili wa Semhando unatarajiwa kusafirishwa leo kwenda kijijini kwao Kibanda, Muheza, Tanga kwa maziko.

Kabla ya hapo utaswaliwa swala ya alfajiri katika msikiti wa Muhimbili na ndipo safari ya kuelekea Kibanda itakapoanza.
 
Yanga cha mtoto kwa Azam

Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 19th December 2010 @ 07:58

YANGA jana ililala kwa mabao 3-1 dhidi ya Azam katika mechi ya kirafiki na kutambulisha wachezaji wake wapya iliyofanyika kwenye Uwanja wa Uahuru Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa Azam, John Bocco ‘Adebayor' ndiye aliyeanza kuzifumania nyavu za Yanga katika dakika 22 baada ya kumpiga chenga kipa wa Yanga, Ivan Knezevic kabla ya kuujaza mpira wavuni kirahisi.

Ni katika kipindi hicho cha kwanza, Yanga ikiyokuwa ikicheza bila Shadrack Nsajigwa, Stephano Mwasika, Jerryson Tegete, Abdi Kassim ‘Babi' na kipa Yaw Berko, ilionekana kuelemewa hasa sehemu ya kiungo huku wachezaji wake wakiwa ‘hawaelewani' na kipa.

Patrick Mafisango aliipatia Azam bao la pili katika dakika ya 37 baada ya kupokea pasi ya Bocco kabla ya kuwachambua mabeki wanne wa Yanga na kufunga huku kipa akiwa ameshapotea golini.

Bocco aliifungia Azama bao la tatu zikiwa zimesalia sekunde chache kabla ya mapumziko, alifunga bao hilo baada ya kuwazidi maarifa mabeki wa Yanga kabla ya kuujaza mpira wavuni.

Kipindi cha pili, kilianza kwa kasi baada ya Yanga kubadilisha timu nzima kutokana na kipindi cha kwanza kuwachezesha wachezaji wengi wa timu B na ambao hawachezi mechi za mashindano na hapo ndipo Berko, Nsajigwa, Mwasika, Nadir Haroub, Isaac Boakye, Ernest Boakye, Babi, Omega Seme, Tegete na wachezaji wapya Juma Seif na Davis Mwape walionekana umuhimu wao.

Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Mwape katika dakika ya 84 baada ya kupenyezeana pasi na Tegete ndani ya 18.

Kwa ujumla mechi ya jana timu zilikuwa zikishambuliana kwa zamu ambapo Azam ilifika langoni mwa Yanga mara kwa mara katika kipindi cha kwanza, huku Yanga ikifanya hivyo katika kipindi cha pili.

Timu hizo zinajiandaa na mzunguko wa pili wa ligi unaotarajiwa kuanza Januari 15, katika msimamo wa mwisho kabla ligi haijasimama Yanga iko nafasi ya pili ikiwa na pointi 25 na Azam ni ya tatu ikiwa na pointi 20, nafasi ya kwanza inashikiliwa na Simba yenye pointi 27.
 
Tevez stripped of City captaincy

Published 23:00 18/12/10 By Simon Mullock




Carlos Tevez has been stripped of the Manchester City captaincy – putting him on a collision course with Roberto Mancini.
Boss Mancini felt he had no option but to take the skipper's armband away from the Argentine (left) following Sunday Mirror Sport's revelation last week that he had demanded a *transfer. Mancini explained his *decision to Tevez when the pair met on Friday afternoon.
He also reiterated the club's stance that Tevez will not be allowed to leave with three-and-a-half years left on his contract.
Tevez's advisers had warned City that taking the captaincy away from him would only strengthen his resolve to quit.


The striker avoided *criticising Mancini and City owner Sheikh Mansour in a statement that claimed his relationship with chief *executive Garry Cook and football administration officer Brian Marwood was beyond repair.
City hit back by claiming Tevez's unrest has been *engineered by agent Kia *Joorabchian because of the club's unwillingness to grant a new contract – something Joorabchian has denied.
Kolo Toure is expected to return as captain after losing the job to Tevez at the start of the season.





 

Mashindano ya gofu ya Heineken kuanza leo

Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 18th December 2010 @ 13:23

MASHINDANO ya gofu ya Heineken Challenge yamepangwa kuanza kutimua vumbi leo kwenye viwanja vya Klabu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo, Dar es Salaam.

Mashindano hayo ya aina yake yamepangwa kuwa ya viwanja 36 na yatashirikisha wachezaji wa kulipwa pamoja na ridhaa.

Nahodha wa gofu klabuni hapo Samuel Hagu, alisema Dar es Salaam jana, kuwa wachezaji 12 wa kulipwa na 50 wa ridhaa wamethibitisha kuchuana kwenye mashindano hayo.

Hagu alisema mashindano hayo ya siku mbili yamepangwa kumalizika kesho ambapo washindi wataondoka na zawadi nono.

"Mashindano yanadhaminiwa na kampuni ya Heineken na wameandaa zawadi nono kwa washindi," alisema.

Hagu aliongeza kuwa kutakuwa na zawadi za makundi tofauti kwenye mashindano hayo akiwepo mshindi wa jumla wa nett na wa pili.

Pia kutakuwa na zawadi mbili za washindi wa daraja A, daraja B, washindi wawili kwa upande wa wanawake, vijana wadogo na wachezaji waandamizi.

Alisema mbali na zawadi kwa washindi wa nett pia kutakuwa na zawadi kwa washindi wa gross kwa upande wa wanaume na wanawake.

Hagu alisema wachezaji waliothibitisha wanatoka Klabu ya Gymkhana Dar es Salaam, Morogoro na wenyeji Lugalo.
 
Zabaleta: Tevez will stay to make history

Published 23:00 18/12/10 By Simon Mullock




Pablo Zabaleta expects Carlos Tevez to stay at Manchester City to make history.
The Argentine defender told Sunday Mirror Sport that he was stunned by our revelation last week that Tevez had hit City with a transfer request – even though he is one of the striker's closest friends.
Zabaleta is ready to help Roberto Mancini convince his captain to change his mind.
And he believes the battle for Tevez's heart and mind can be won by reminding him of why he crossed the great Manchester divide to join City in the first place.


"I was given two days off after the game against West Ham so I was spending some time in Spain when I heard that Carlos had asked to leave," said Zabaleta.
"I was sent a text by a friend in England, and at first I didn't believe it because I had no idea that this was in Carlos' mind.
"There has been no change in him, no sign that he is unhappy. Nobody knew.
"We will see what happens in January but my own opinion is that Carlos will stay. I just can't see him leaving Manchester City because there is so much to achieve for him here.
"When he came here he told me he wanted to make history for the club.
"My one wish is that Carlos stays in Manchester. I say this not just because he is my friend, but because he is important to City's development.
"I believe that Carlos has been good for City and City have been good for Carlos.
"Maybe he wasn't loved enough at United, but he is loved here and I think that has helped him become an even better player."
And with Mancini set to ask Tevez to lead City's attack against Everton tomorrow night, Zabaleta added: *"No-one should question Carlos' *attitude.
"His pride will not allow him to give less than 100% in everything he does.
All the players feel the same – that Carlos is one of us – and I think the fans love him as a player and as a man. He is their hero.
"I know Carlos very well and he always seems happy to be at City and happy with the way the team is progressing.
"Of course we have to accept Carlos' opinion. He knows what he wants for himself and for his family, but I hope that the club can find an answer to the questions he has."
Zabaleta has also made himself a hero with the fans, with a commitment to the cause that exposes as a myth the claim that players only join City for the money.
The 25-year-old has been employed in a variety of positions by Manicni and his versatility has attracted interest from AC Milan.
Zabaleta, though, practices what he preaches.
He said: "I am ready to play in any position the manager wants me because I am a professional.
"I always give the best I can for the team and hope that is enough.
"We have so many top players here that you do whatever it takes to stay in the team.
"If the manager came to me and said ‘Pablo, we have a problem and I want you to play as goalkeeper', then I would prepare the best that I could.
"That's what you accept when you sign a contract for a club – to do what is asked of you for the good of the team.
"I have heard stories that other clubs like me, but my head is focused on doing my best for Manchester City."
 

Phiri asaini mkataba mpya Simba

Imeandikwa na Waandish Wetu; Tarehe: 18th December 2010 @ 13:23

KLABU ya soka ya Simba ya Dar es Salaam imesaini mkataba wa miaka miwili na kocha wake Mzambia, Patrick Phiri.

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Rage alisema jana kuwa, walisaini mkataba huo juzi, ingawa hakutaka kueleza kwa undani zaidi.

Pia Rage alisema, wameandika barua kwenda Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wakiomba shirikisho hilo liongeze kiwango cha fedha inachotoa kwa klabu katika ligi ili zimudu gharama mbalimbali zikiwemo usafiri.

Alisema wamekubaliana na wenzao wa Yanga kuiomba TFF iongeze fedha hizo katika mzunguko wa pili wa ligi kwa kuwa fedha wanazolipwa sasa ni kidogo.

Wakati huo huo timu ya soka ya Yanga ya Dar es Salaam leo inashuka Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kuvaana na Azam katika mchezo wa kirafiki ambao itautumia pia kumtambulisha mshambuliaji wake mpya, Davies Mwape.

Kwa mujibu wa Mratibu wa mchezo huo, Bonga Teacher kila timu imeahidi kutumia wachezaji wake mahiri na kwamba maandalizi yanaenda vizuri.

"Yanga tayari wameeleza watamtambulisha nyota wake mpya Mwape pamoja na Juma Seif.

"Ni nafasi nzuri kwa mashabiki wa Yanga kuiona timu yao baada ya kutoiona kwa muda mrefu kutokana na Uwanja wa Uhuru kufungwa," alisema Bonga.

Yanga inayoshika nafasi ya pili katika Ligi Kuu Tanzania Bara, imeongeza wachezaji wawili kwenye dirisha dogo la usajili ambao ni Juma Seif aliyetoka JKT na Mwape aliyetoka Konkola Blades ya Zambia.

Kwa mujibu wa Mratibu huyo kiingilio viti maalumu itakuwa Sh 15,000, jukwaa kuu Sh 10,000, jukwaa la kijani Sh 5,000 na mzunguko Sh 3,000.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…