Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
TP Mazembe yaiwinda Simba
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 28th December 2010 @ 09:36 Imesomwa na watu: 315; Jumla ya maoni: 0



Kikosi cha timu ya TP Mazembe Englebert ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ambayo bingwa mtetezi wa ligi ya mabingwa barani Afrika.





KATIKA kile kinachoonekana kutaka kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo, wapinzani wanaotarajiwa kukutana na Simba kwenye michuano hiyo, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeimarisha kikosi chake kwa kusajili wachezaji wa kimataifa wa Zambia wa wawili.

Simba ina nafasi kubwa ya kukutana na mabingwa hao watetezi wa Ligi ya Mabingwa endapo itaitoa Elan de Mitsoudje ya Comoro katika raundi ya awali.

Mkurugenzi wa habari wa Mazembe, Eddy Kabelu alithibitisha hayo mjini Lubumbashi juzi kwamba timu hiyo imekamilisha mkataba wa mwaka mmoja na kipa wa Zambia, Kalilou Kakonje ambaye amemaliza mkataba wake na klabu ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini, AmaZulu Agosti.

Klabu hiyo pia imemsajili kiungo aliyekuwa akiwaniwa na Mamelodi Sundowns, Rainford Kalaba na kufanya kikosi hicho kuwa na wachezaji sita kutoka Zambia akiwepo Given Singuluma, Hichani Himonde, Sunzu Stopila na beki Emmanuel Mbola.

Mazembe walipoteza mechi ya fainali ya Kombe la Dunia, Abu Dhabi kwa mabao 3-0 dhidi ya Inter Milan, lakini sasa mmiliki wa klabu hiyo na gavana wa jimbo la Katanga, Moise Katumbi anasema anataka kushinda michuano ijayo inayoandaliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).

"Tulifanya Afrika nzima kujisikia fahari," alisema Katumbi. "Hatukucheza kwa sababu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, bali Afrika kwa ujumla.

Na napenda kupeperusha bendera ya Afrika juu, sitaki kuzungumzia kuhusu mwamuzi wa fainali lakini kila mmoja aliona alivyosimamia mchezo.

"Natamani ningewahamasisha Fifa kuangalia baadhi ya waamuzi wao, inakatisha mno tamaa kwa namna mwamuzi alivyochezesha, lakini hiyo ni historia.

"Tutajifunza kutokana na uzoefu huo na tunatumaini tutakuwa jasiri zaidi ya mwaka huu.Dunia haiwezi tena kudharau soka ya Afrika.

"Ukiangalia soka kimataifa hasa Ulaya ambako ipo juu, utagundua kila timu kubwa Hispania, England, Italia, Ujerumani na Ufaransa inaongozwa na mchezaji wa Afrika.

Nafikiri kama wakichagua kikosi cha kucheza na kila bara, Afrika inaweza kushinda michuano.

"Muangalie Didier Drogba, Samuel Eto'o, Michael Essien, Asamoah Gyan, Kevin Prince-Boateng, Stephen Pienaar, Yaya Toure, kwa uchache ningependa kuona michuano kama hiyo ikitokea kwa kuandaliwa na Fifa ili tuone nani ataibuka shujaa.

Lakini TP Mazembe tutaendelea kupeperusha bendera ya Afrika. Ujio wa Kakonje kutoka Lusaka na kutua Lubumbashi kunaonekana kama njia ya kumtaka kipa Robert Kidiaba kuimarika zaidi.

Kipa huyo mfupi alikuwa tegemeo timu ilipofika fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia. Kakonje anaelewa ujio wake kwenye nafasi hiyo utamtaka kuongeza jitihada zaidi ingawa tayari amefanya mazoezi na miamba hao kwa miezi mitano kabla ya kusaini mkataba rasmi.

Kipa huyo namba mbili wa Chipolopolo atajiunga na TP Mazembe Januari 4 kuanza maandalizi ya msimu.

Mazembe wataanza kutetea taji lao dhidi ya mshindi kati ya mabingwa wa Comoro, Mitsoudje au miamba wa Tanzania, Simba.
 
Taifa Stars yaanza kambi

Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 27th December 2010 @ 23:55

WACHEZAJI wote 23 walioitwa kwenye kikosi cha timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars waliripoti kambini Dar es Salaam jana.

Stars iko kwenye maandalizi ya michuano maalumu ya mto Nile inayotarajiwa kuanza Januari 5 mjini Cairo, Misri.

Akizungumza Dar es Salaam jana, Kocha msaidizi wa Stars, Silvestre Marsh alisema wachezaji wake wote walifika na wanatarajiwa kuanza mazoezi rasmi leo kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

"Wachezaji wangu wote wapo leo (jana) tumekusanyika pamoja na kuelezana mawili matatu lakini kesho (leo) ndio tutaanza mazoezi rasmi," alisema.

Kuhusu wachezaji wanaotoka Simba na Yanga ambao viongozi wao walisema hawataki wajiunge Stars kwa vile michuano hiyo inavuruga programu zao, Marsh alisema:

"Mimi hayo siyajui lakini wachezaji wangu wote wapo, ninao hata hao wa Simba na Yanga, sasa labda kama wanasubiri waingie kambini kwanza halafu ndio taratibu za kuwazuia zifuate," alisema.

Naye Kaimu katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Sunday Kayuni alisema hana taarifa kama Simba na Yanga hawataki wachezaji wao wajiunge kambi ya Stars.

"Mimi niliwaandikia barua viongozi wote kuwajulisha kuwa tunawahitaji wachezaji, sasa kama wao hawataki wanatakiwa waandike barua pia, na si kuzungumza kwenye vyombo vya habari, mimi huwa sifanyii kazi taarifa za kusikia," alisema.

Wachezaji wanaocheza soka ya kulipwa walioitwa kwenye timu hiyo tayari walishafika jijini tangu juzi ambao ni Henry Joseph anayecheza Kongsvinger ya Norway, Saidi Maulidi ‘SMG' anayecheza Bravos Do Maquis ya Angola, Nizar Khalfani anayecheza Van Couver Whitecaps ya Canada, Athumani Machuppa anayecheza Vasalund IF ya Sweden na Idrissa Rajabu anayecheza Sofapaka ya Kenya.

Kikosi kamili cha wachezaji wanaounda timu hiyo ni Makipa: Juma Kaseja (Simba), Shaaban Kado (Mtibwa) na Said Mohamed(Majimaji).

Walinzi ni Shadrack Nsajigwa, Stephano Mwasika , Nadur Haroub ‘Canavaro'(Yanga), Aggrey Morris, (Azam), Kelvin Yondani, Jumma Nyosso, (Simba).

Viungo: Idrissa Rajabu (Sofapaka, Kenya), Nurdin Bakari, Abdi Kassim ‘Babi', (Yanga), Shaaban Nditti (Mtibwa), Henry Joseph, (Norway), Jabir Aziz.

Washambuliaji ni Salum Machaku (Mtibwa), Mrisho Ngassa (Azam), Nizar Khalfan, (Canada), Godfrey Taita (Kagera Sugar), Athuman Machuppa, (Sweden), Jerry Tegete, (Yanga) Said Maulid (Angola) na Ali Ahmed Shiboli (Simba).

Stars inatarajiwa kwenda Misri Januari 2, mbali na Tanzania, nchi nyingine zinazoshiriki katika michuano hiyo inayoshirikisha nchi zilizo ukanda wa ziwa Victoria na mto Nile ni Kenya, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Eritrea, Ethiopia, Sudan na wenyeji Misri.

Lengo la michuano hiyo ni kuhamasisha kutunza vyanzo vya maji kwa ajili ya vizazi vijavyo. Kwa mujibu wa ratiba, Stars itaanza kufungua dimba la michuano hiyo dhidi ya wenyeji Misri Januari 5 saa moja jioni, kabla ya mechi hiyo Kenya itacheza na Sudan saa kumi jioni.

Stars itacheza mechi nyingine dhidi ya Sudan Januari 11 kabla ya kumenyana na Kenya Januari 14 na kisha itamaliza na Uganda Januari 17.
 
Polisi Moro yapania kupanda daraja

Imeandikwa na John Nditi, Morogoro; Tarehe: 27th December 2010 @ 23:50


TIMU ya Soka ya Polisi Morogoro inayojiandaa kushiriki ligi Daraja la Kwanza ngazi ya Taifa hatua ya tisa bora, imesema imejipanga kikamilifu kwa ajili ya kuhakikisha inapata nafasi ya kucheza ligi kuu msimu ujao kutokana na kufanikiwa kusajili wachezaji watano chipukuzi na mahiri katika soka.

Kocha Mkuu wa timu hiyo, John Tamba, alisema hayo juzi wakati akizungumza na Mwandishi wa Habari hizi kabla ya kuanza kwa mazoezi ya timu hiyo katika uwanja wa Jamhuri wa Mjini hapa.

Alisema kuwa baada ya kufanikiwa kuingia katika hatua ya tisa bora, Uongozi wa Timu hiyo inayomilikiwa na Jeshi la Polisi, ulitoa idhini ya kuwezesha kuongeza wachezaji watano katika usajili wa dirisha dogo ambao wameungana na wezao kufanya mazoezi ya pamoja.

Kwa mujibu wa Kocha Mkuu huyo aliwataja wachezaji waliosajiliwa kupitia dirisha dogo ni mabeki wawili ambao ni Mohamed Hamza ' Ochieng' kutoka timu ya Bukinafaso iliyoshiriki ligi hiyo ngazi ya makundi na mwingine ni Kelvin Kang'oa , ambaye ni mchezaji huru.

Hata hivyo aliwataja wachezaji wengine wanaokiimarisha kikosi hicho ni mchezaji wa kiungo Hamis Msafiri ambaye ni mchezaji huru, Iddy Suleiman kutoka timu ya Polisi Tabora na kipa mahiri Yahaya Hamad kutoka timu ya Bukinafaso.

"Tumeongeza wachezaji vijana na wenye vipaji nina imani Polisi Morogoro itafanya vyema katika ligi daraja la kwanza hatua ya tisa bora hatuihofii timu yoyote ile," alisema.

Aidha, amewaomba watu mbalimbali sambamba na mashabiki wa soka Mkoa wa Morogoro kuiunga mkono timu hiyo kwa hali na mali kuisaidia kifedha kwa ajili ya kufanikisha ushindi wa kucheza ligi kuu msimu ujao.

Ligi daraja la kwanza hatua ya tisa bora imepangwa kuanza kutimua vumbi Januari 15, lakini kituo cha mashindano hayo bado hakijajulikana baada ya Shirikisho la Soka Tanzania ( TFF) kutoa sharti la Mkoa unaohitaji kuwa mwenyeji wa mashindano hayo kuwa na amana ya kitita cha sh milioni 20.
 
LIGI soka ngazi ya Taifa wilaya ya Arusha sasa imeingia katika hatua ya nane bora na timu hizo zimepangwa katika makundi mawili.

Ligi hiyo inatarajia kuanza kutimua vumbi mjini Arusha leo kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid ambapo kutakuwa na michezo miwili kila siku.

Katibu wa Chama cha Soka Wilaya ya Arusha (ADFA), Robert Munisi alitaja timu za kundi A ni Polisi, Mana Baptist, Banana na United Boys.

Timu timu zilizo katika kundi B ni Flamingo, Golden Kids, Bishop Durning na Jamhuri na kudi hilo michezo yake itachezwa kesho.


Fainali ligi ya wilaya Arusha kuanza leo

Imeandikwa na John Mhala, Arusha; Tarehe: 27th December 2010 @ 23:30
Munisi alisema fungua dimba ya hatua hiyo itakuwa kati ya timu ya Polisi na Mana Baptist na mchezo wa pili utakuwa kati ya United Boys na Banana.

Munisi alisema katika hatua hiyo timu mbili za juu za kila kundi zitaingia katika hatua ya fainali kwani mshindi wa kwanza wa kundi A atapambana na mshindi wa pili wa kundi B na mshindi wa kwanza kundi B atapambana na mshindi wa pili kundi A na watakaofungwa katika michezo hiyo watapamba kutafuta mshindi wa tatu huku washindi wakicheza fainali.
 
Carlo takes blame for Blues form




Updated Dec 28, 2010 4:49 AM ET
Carlo Ancelotti accepted responsibility for Chelsea's dramatic slump after the 3-1 drubbing by Arsenal heaped further pressure on the Italian.
The champions have slipped from top of the Premier League to fourth place after going six matches without victory in the competition.


Ancelotti's position is now under intense scrutiny, but the Chelsea manager insisted he does not fear for his job.
"I don't know (how long owner Roman Abramovich will remain patient). Obviously he won't be happy at this moment," he said.
"I will take my responsibility, but this is a question you have to ask him, not me.
"I'm not afraid about my job. Everyone said I did a fantastic job last year. Now people are asking me about my job.
"We have to do better, obviously. It's not usual that Chelsea can't win for six games."
Arsenal climbed to second in the table after goals from Alex Song, Cesc Fabregas and Theo Walcott ended their five-match losing streak against their title rivals.
Branislav Ivanovic pulled a goal back for Chelsea, but it was a poor display from the champions and Ancelotti admitted his team must "wake up".
"I'm worried, obviously, because that's six games we've not been able to win," he said.

Sun., Dec. 26
Fulham 1-3 West Ham | Recap
Everton PP Birmingham
Man United 2-0 Sunderland | Recap
Newcastle 1-3 Man City | Recap
Blackburn 0-2 Stoke City | Recap
Bolton 2-0 West Brom | Recap
Wolverhampton 1-2 Wigan | Recap
Blackpool PP Liverpool
Aston Villa 1-2 Tottenham | Recap
Mon., Dec. 27
Arsenal 3-1 Chelsea | Recap BPL Scores | Table | Fixtures

"I didn't see the team playing the way we want and we had difficulty playing our football."
"We're obviously not so confident playing in this moment. I didn't expect this defeat. I was surprised by this performance.
"I saw very good training sessions this week, so I was surprised by this performance.
"We are sleeping now. This is the reality of this team. We are sleeping.
"If you play against a good team like Arsenal, you lose if you don't wake up."
Ancelotti received support from Arsenal manager Arsene Wenger.
"I personally rate Ancelotti very highly and I can't believe that (his job would be under threat)," said Wenger.
It was a crucial victory for Arsenal, whose ability to compete against their main title rivals Chelsea and Manchester United has been doubted.
Wenger claimed the result has flooded his side with self-belief, and after leaking 13 goals in their last five meetings with the Blues, the Frenchman insisted they have developed some steel.
"This win has a double impact. Mathematically, it keeps us in touch with the leaders of the league," said Wenger.
"And psychologically, it was important. We were questioned about our capability of winning big games.
"I'm happy with the desire in the team. We kept good discipline in the team for 90 minutes and put in a real team performance.
"Two years ago with the same players, we were maybe battered by Chelsea. Last year we felt we were getting closer.
"This year, at United and Chelsea, we were more frustrated because we were more in the game and there was no real difference.
"Maybe we played a bit with the handbrake. It was a slow learning process that we got out of our system tonight.
"Cesc Fabregas said we were maybe scared to win. There was a strong word, but maybe there was something in it.
"We didn't see that tonight. It was a locked game at the start, but the first goal gave a huge advantage.
"We are not bullied any more, that is for sure.
"It's always very difficult to say because every game is different, but I feel we have matured over the last two years."
 
Arsenal blasts Chelsea at Emirates







Updated Dec 27, 2010 9:12 PM ET
Three goals in nine minutes either side of half-time gave Arsenal a 3-1 home win over rivals Chelsea in the Premier League on Monday. The Gunners moved back into second place in the table after finally beating Chelsea for the first time since November 2008 as the Blues' poor run continued.
Arsenal had lost each of their previous five matches against Chelsea, but Alex Song put them ahead before half-time, with quickfire strikes from captain Cesc Fabregas and Theo Walcott giving Arsene Wenger's side a three-goal cushion.

Sun., Dec. 26
Fulham 1-3 West Ham | Recap
Everton PP Birmingham
Man United 2-0 Sunderland | Recap
Newcastle 1-3 Man City | Recap
Blackburn 0-2 Stoke City | Recap
Bolton 2-0 West Brom | Recap
Wolverhampton 1-2 Wigan | Recap
Blackpool PP Liverpool
Aston Villa 1-2 Tottenham | Recap
Mon., Dec. 27
Arsenal 3-1 Chelsea | Recap BPL Scores | Table | Fixtures

Chelsea reduced the deficit through Branislav Ivanovic, but there was no way back for Carlo Ancelotti's men, who have now taken just six points from their last eight league games - the club's worst run since 1998.
Arsenal, beaten at Manchester United in their previous game, were positive during the opening exchanges at the Emirates Stadium on Monday night.
Robin van Persie almost collected Song's chip into the box, but the ball bounced just ahead of the Dutch striker.
There was a warning with Chelsea's first meaningful attack as Didier Drogba - with 13 goals in as many games against the Gunners - shrugged off his marker to drag a 20-yard shot wide.
John Terry pulled back Van Persie as the Gunners looked to break on the half-way line, but a stern talking-to from referee Mark Clattenburg was all the Chelsea skipper received.
The home side continued to press, and had a penalty appeal waved away when Florent Malouda looked to have made some contact with Van Persie at the edge of the box.
Nasri's 25-yard free-kick was on target, but held by Petr Cech.
Walcott latched on to a long ball over the Chelsea defence, but just as he aimed to cut back into the area, his touch was poor and Terry recovered to clear.
On 29 minutes, former Gunner Ashley Cole went into the referee's book for tripping Walcott as his England colleague turned him on the right touchline.
Van Persie was then put through into the left by Nasri after some clever one-touch passing, the Dutchman snatched at his angled shot, which flew high and wide.

FOX SPORTS POLL


  • What's wrong at Stamford Bridge?
    • Injuries have taken their toll
    • Squad needs some new players
    • Team no longer playing for Ancelotti
    • Just a bad run ... things will be fine
    • Just can't put my finger on it

Salomon Kalou was perhaps fortunate to receive only a yellow card after jumping in, studs up on Gael Clichy.
Arsenal increased the tempo as half-time approached.
Walcott scampered into the right side of the Chelsea penalty area and was blocked by Cech at the near post before the goalkeeper turned over Nasri's chip which was looping into the top-left corner.
The Gunners finally made the breakthrough after 44 minutes.
Jack Wilshere and Song exchanged passes on the edge of the area, with the Cameroon midfielder carrying the ball into the box.
Paulo Ferreira slid in and tripped Fabregas, but Song had the presence of mind not to wait for a whistle and swept a low left-footed shot across goal and into the bottom right corner.
Chelsea made a change at the start of the second half as the creative Brazilian Ramires replaced John Obi Mikel.
Arsenal, though, had a two-goal cushion after 51 minutes.
Van Persie held the ball up 30 yards out, and, as he was closed down, Michael Essien's challenge inadvertently pushed the ball straight to Walcott clean through on goal.
The England winger dashed to the edge of the box, where he drew Cech before sliding the ball along to Fabregas and the Arsenal skipper made no mistake from 15 yards.
Chelsea had little chance to recover, as Walcott smashed in goal number three just 90 seconds later.
Walcott robbed Malouda and fed Fabregas, who repaid the favour by sending the Arsenal winger away down the right for him to slot a low shot into the bottom left corner.
Ancelotti had to do something, and sent on Gael Kakuta, replacing Malouda.
Chelsea snatched a lifeline after 57 minutes when Drogba's free-kick floated through to the six-yard box, where it was nodded in by Ivanovic.

The home of the best LIVE soccer and rugby awaits at FoxSoccer.tv -- don't miss a second of the action.

Given Arsenal's recent record of failing to hold on to winning positions, the visitors rallied.
Chelsea made a final change when Ferreira was replaced by Jose Bosingwa.
Arsenal just about weathered the storm as the contest entered the final 20 minutes.
Nasri should then have done better when Kakuta's tame back-pass presented him with the ball 10 yards from goal, but Cech was out quickly to block.
With 18 minutes left, Walcott was replaced by defensive midfielder Abou Diaby who made his first appearance since mid-October, before Marouane Chamakh came on for Van Persie.
Diaby's close-range effort was blocked by Frank Lampard and Kakuta's bundled effort was ruled out for offside as the Gunners closed out for a long-overdue victory against their championship rivals and moved within two points of leaders Manchester United, albeit having played a game more.
Chelsea stay fourth, four points behind their capital rivals.
 



Team
GP
W
D
L
GF
GA
+/-
Pts
Home
Away

1


Manchester United
17
10
7
0
38
16
22
37
9-1-0
1-6-0

2


Manchester City
19
10
5
4
28
16
12
35
4-3-2
6-2-2

3


Arsenal
17
10
2
5
34
19
15
32
5-0-3
5-2-2

4


Chelsea
17
9
4
4
31
12
19
31
6-1-1
3-3-3

5


Tottenham Hotspur
18
8
6
4
27
23
4
30
4-4-1
4-2-3

6


Bolton Wanderers
19
7
8
4
32
25
7
29
5-4-1
2-4-3

7


Sunderland
19
6
9
4
21
20
1
27
5-4-0
1-5-4

8


Stoke City
18
7
3
8
23
22
1
24
4-2-3
3-1-5

9


Newcastle
18
6
4
8
28
29
-1
22
3-3-4
3-1-4

10


Liverpool
17
6
4
7
21
22
-1
22
5-2-1
1-2-6

11


Blackpool
16
6
4
6
24
29
-5
22
2-2-2
4-2-4

12


West Brom
18
6
4
8
24
31
-7
22
4-2-2
2-2-6

13


Blackburn Rovers
19
6
4
9
23
30
-7
22
4-3-3
2-1-6

14


Everton
18
4
9
5
20
21
-1
21
2-4-3
2-5-2

15


Aston Villa
18
5
5
8
20
30
-10
20
4-4-2
1-1-6

16


Wigan Athletic
18
4
7
7
15
29
-14
19
2-4-3
2-3-4

17


Birmingham
17
3
9
5
17
20
-3
18
3-4-1
0-5-4

18


Fulham
18
2
10
6
17
23
-6
16
2-5-3
0-5-3

19


West Ham
19
3
7
9
19
32
-13
16
2-3-4
1-4-5

20


Wolverhampton
18
4
3
11
19
32
-13
15
4-2-4
0-1-7


Soccer Stats Glossary

Places 1-3:
Direct entry to Champions League Group Stage.


Place 4:
Direct entry to Champions League, Playoff Round.


Place 5:
Direct entry to Europa League, Playoff Round.


Place 6:
Direct entry to Europa League, Third Round of Qualifying.


Place 7:
Possible entry into Europa League depending on results of FA Cup competition. *


Places 18-20:
Relegation to English Championship




Premier League Standings
3 points for a win, 1 point for a draw, no points for a loss.
If two or more teams have equal points the following tiebreakers shall be employed: Goal Difference, Goals scored, Play-off at neutral venue (champion or relegation places only).
Premier League Tiebreakers
* If the Domestic Cup winner has also qualified for the Champions League,
 
Wachezaji Yanga kutolewa 'kafara'


Na Elizabeth Mayemba

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umepanga kuwaadhibu baadhi ya wachezaji wake wanaodaiwa kuwa ni vinara wa mgomo wa mazoezi yaliyofanyika Ijumaa katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.Wachezaji hao licha ya kugoma
mazoezi, pia walitishia wangegoma kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya AFC Leopard iliyochezwa juzi kwenye Uhuru, Dar es Salaam.

Licha ya kugoma kufanya mazoezi, wachezaji hao pia walitishia kugomea mechi dhidi ya AFC Leopard iliyofanyika juzi katika uwanja huo, ambayo hata walicheza na kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

Habari za uhakika zilizopatikana Dar es Salaam jana, kutoka ndani ya klabu hiyo zilieleza kuwa uongozi wa Yanga, umepanga kutafuta kiini cha mgomo huo na endapo watabainika wachezaji walioanzisha chokochoko hizo watatolewa 'kafara'.

"Haikuwa picha nzuri hata kidogo, viongozi karibu wote walisikitishwa na mgomo huo na wamesema wapo wachezaji ambao siku zote ni mstari wa mbele katika kuanzisha minong'ono ya chini chini na baadaye yanatokea kama haya yaliyotokea," kilidai chanzo hicho.

Habari hizo zilidai kwamba malalamiko ya wachezaji hao yalikuwa ni sahihi, ila walichotakiwa kufanya ni kukaa na viongozi ili kujua hatima ya malipo yao, lakini badala yake wakagoma kufanya mazoezi.

Hata hivyo wachezaji walidaiwa kugoma baada ya kukasirishwa na mambo yanayofanywa na viongozi hao wa Yanga, kila walipokuwa wakitaka kulipwa fedha zao za usajili wa msimu huu.

Baada ya mgomo huo viongozi hao wa Yanga, wanadaiwa kukasirishwa na hatua hiyo na ndiyo maana jana jioni, walifanya kikao cha dharura na moja ya ajenda ilikuwa ni kuujadili mgomo huo.

Jana Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo ilipanga kukutana saa 11 jioni kwa lengo la kujadili ushiriki wa timu katika michuano ya Kombe la Mapinduzi, Shirikisho (CAF) na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara, pamoja na mbalimbali.




2 Maoni:


Anonymous said... Viongozzi acheni vitisho, walipeni wachezaji muone kama yote hayo yatatokea!
December 27, 2010 10:48 PM
Anonymous said... Viongozi mnataka msipowalipa watu mishahara yao wakae tu kimya?
Acheni mabo ya zamani!
Mkiwapa adhabu nitahama Yanga.

December 28, 2010 1:11 AM
 
AFC yaichapa Polisi 2-0, Uhai Cup


Na Mohamed Akida

TIMU ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya AFC Arusha jana iliinza vyema michuano ya Uhai Cup, baada ya kuifunga timu ya vijana ya Polisi Tanzania mabao 2-0, katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume.Michuano
hiyo ambayo inashirikisha timu za vijana za klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, ambayo inafanyika kwa mara ya tatu msimu huu.

Katika mchezo huo timu zote ziliuanza mchezo huo kwa kasi, huku zikishambuliana mara kwa mara na kushuhudia washambuliaji wa pande zote mbili wakipoteza nafasi nyingi za wazi, hivyo kufanya timu hizo kwenda mapunziko bila kufungana.

Kipindi cha pili, Polisi Tanzania walikianza kwa kulishambulia lango la AFC, lakini mshambuliaji wake Keneth Abed alikosa bao la wazi dakika ya 59.

Baada ya kusakosa hizo, AFC ilitulia na kupanga mashambulizi kwa makini, ambapo dakika ya 71 ilijipatia bao la kuongoza lililofungwa na Jamali Fadhili kwa shuti kali akiunganisha krosi ya Zakayo Joseph.

Bao hilo liliiongezea kasi ya mchezo, AFC na kuanza kulishambulia mfululizo lango la Polisi na dakika ya 80, Jeseph Msafiri aliifungia bao la pili timu yake baada ya kuwalamba chenga walinzi wa Polisi.

Michuano hiyo ilitarajiwa kuendelea tena jana jioni kwa timu ya Ruvu Shooting kupambana na Mabingwa watetezi Azam FC kwenye uwanja huo wa Karume
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…