Michezo magazetini leo...

Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
TFF: No new players for Yanga


By DAILY NEWS Reporter, 31st December 2010 @ 12:32, Total Comments: 0, Hits: 135

GIANTS Young Africans are beginning to pay heavy price for breaching contracts with their former player Ally Msigwa.

They have been restricted from recruiting new players by the Tanzania Football Federation (TFF), unless they pay Msigwa 7.2m/- being a compensation for 36 monthly salaries.

TFF's Legal, Ethics and players Committee Chairman Alex Mgongolwa said yesterday that the committee meeting that sat in Dar es Salaam on Thursday found Yanga guilty after hearing from both sides.

"The committee was satisfied by the evidence produced by Msigwa, which showed that he had legal contract with Yanga basing on his first contract that was registered at TFF.

The reviewed contract that Yanga presented as evidence was actually not registered by TFF," said Mgongolwa.

Msigwa demanded to be paid his due monthly salary in accordance with his contract, which amount to 7.2m/-.

However, Mgongolwa clarified that Msigwa's case was different to that he lodged to Soccer Players Union of Tanzania, SPUTANZA.

Recently, Msigwa along with three other former Yanga players lodged an appeal to SPUTANZA pressing Yanga to pay 250m/-, as compensation to them following a breach of contract.

Others players are Steven Malashi, Wisdom Ndhlovu and John Njoroge. In his demand note to TFF, the Union Secretary General Said George expressed his disgust, saying they received complaints from the players, who are claiming for damage costs arising from breach of contract he described as of ‘huge magnitude' conducted by Yanga.

He said the players were contracted to play for the club up to the end seasons of 2010-2012. George said Malashi, whose contract was meant to run up 2012/13 season prays to be compensated a total of 37,500,000/- , while Malawian defender Ndhlovu who extended his contract with the club up to 2012 season is demanding 82,000,000/-.

He said Msigwa, whose contract was to end in 2012/13 season demands to be compensated some 89,700,000/- , and some 44,000,000/- had to be paid to Kenyan defender Njoroge whose contract with the club was to run until the end of the 2010/11 season.

"The breach of contract done by Yanga leadership to the players is a slap in the face to all forms and norms of professionalism in Tanzania soccer circles.

"It is a fact that the players were dumped by the club leadership who knew very well the regulations guiding the off loading of undesirable players.

They knew very well that according to set up norms by TFF they were already time barred but they still went ahead and cut off the players from the list," said George.

He added: "It should be noted that by not registering the four players contracted with the TFF offices does not mean that the contract were null and void, rather, that goes to show how Yanga leadership were into something fishy all the while.

George said that the Union wishes to remind TFF that the rights of players have been trampled right, left and centre.

"For many many years this is one case that its outcome will determine whether all of us stake holders are geared up to the much vouched professionalism in soccer or we are just there to preach something which we are not ready to practice," he said.

He told TFF that the players need to finalise this episode so that they start their new lives. He urged the federation to take necessary steps in order to finish the issue in an amicable manner.
 
TFF: No new players for Yanga


By DAILY NEWS Reporter, 31st December 2010 @ 12:32, Total Comments: 0, Hits: 135

GIANTS Young Africans are beginning to pay heavy price for breaching contracts with their former player Ally Msigwa.

They have been restricted from recruiting new players by the Tanzania Football Federation (TFF), unless they pay Msigwa 7.2m/- being a compensation for 36 monthly salaries.

TFF’s Legal, Ethics and players Committee Chairman Alex Mgongolwa said yesterday that the committee meeting that sat in Dar es Salaam on Thursday found Yanga guilty after hearing from both sides.

“The committee was satisfied by the evidence produced by Msigwa, which showed that he had legal contract with Yanga basing on his first contract that was registered at TFF.

The reviewed contract that Yanga presented as evidence was actually not registered by TFF,” said Mgongolwa.

Msigwa demanded to be paid his due monthly salary in accordance with his contract, which amount to 7.2m/-.

However, Mgongolwa clarified that Msigwa’s case was different to that he lodged to Soccer Players Union of Tanzania, SPUTANZA.

Recently, Msigwa along with three other former Yanga players lodged an appeal to SPUTANZA pressing Yanga to pay 250m/-, as compensation to them following a breach of contract.

Others players are Steven Malashi, Wisdom Ndhlovu and John Njoroge. In his demand note to TFF, the Union Secretary General Said George expressed his disgust, saying they received complaints from the players, who are claiming for damage costs arising from breach of contract he described as of ‘huge magnitude’ conducted by Yanga.

He said the players were contracted to play for the club up to the end seasons of 2010-2012. George said Malashi, whose contract was meant to run up 2012/13 season prays to be compensated a total of 37,500,000/- , while Malawian defender Ndhlovu who extended his contract with the club up to 2012 season is demanding 82,000,000/-.

He said Msigwa, whose contract was to end in 2012/13 season demands to be compensated some 89,700,000/- , and some 44,000,000/- had to be paid to Kenyan defender Njoroge whose contract with the club was to run until the end of the 2010/11 season.

“The breach of contract done by Yanga leadership to the players is a slap in the face to all forms and norms of professionalism in Tanzania soccer circles.

“It is a fact that the players were dumped by the club leadership who knew very well the regulations guiding the off loading of undesirable players.

They knew very well that according to set up norms by TFF they were already time barred but they still went ahead and cut off the players from the list,” said George.

He added: “It should be noted that by not registering the four players contracted with the TFF offices does not mean that the contract were null and void, rather, that goes to show how Yanga leadership were into something fishy all the while.

George said that the Union wishes to remind TFF that the rights of players have been trampled right, left and centre.

“For many many years this is one case that its outcome will determine whether all of us stake holders are geared up to the much vouched professionalism in soccer or we are just there to preach something which we are not ready to practice,” he said.

He told TFF that the players need to finalise this episode so that they start their new lives. He urged the federation to take necessary steps in order to finish the issue in an amicable manner.
 

Kombe la Uhai: Simba yaifunga Yanga


Imeandikwa na Evance Ng'ingo; Tarehe: 31st December 2010 @ 23:20


12_10_77b5e1.jpg

Beki wa timu ya Yanga, Said Issa (kulia) akimzuia Mshambuliaji wa timu ya Simba, Kelvin Charles wakati wa mashindano ya vijana chini ya miaka 20 ya Kombe la Uhai katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Karume, Dar es Salaam jana. Simba ilishinda kwa magoli 3-1.
Image%20Beki%20wa%20timu%20ya%20Yanga,%20Said%20Issa%20%28kulia%29%20akimzuia%20Mshambuliaji%20wa%20timu%20ya%20Simba,%20Kelvin%20Charles%20wakati%20wa%20mashindano%20ya%20vijana%20chini%20ya%20miaka%2020%20ya%20Kombe%20la%20Uhai%20katika%20mchezo%20uliofanyika%20kwenye%20uwanja%20wa%20Karume,%20Dar%20es%20Salaam%20jana.%20Simba%20ilishinda%20kwa%20magoli%203-1.
Image%20Beki%20wa%20timu%20ya%20Yanga,%20Said%20Issa%20%28kulia%29%20akimzuia%20Mshambuliaji%20wa%20timu%20ya%20Simba,%20Kelvin%20Charles%20wakati%20wa%20mashindano%20ya%20vijana%20chini%20ya%20miaka%2020%20ya%20Kombe%20la%20Uhai%20katika%20mchezo%20uliofanyika%20kwenye%20uwanja%20wa%20Karume,%20Dar%20es%20Salaam%20jana.%20Simba%20ilishinda%20kwa%20magoli%203-1.







TIMU ya vijana ya Simba jana ilidhihirisha umwamba baada ya kuiadhibu timu ya vijana ya Yanga kwa mabao 3-1 katika mchezo wa ligi ya kombe la Uhai linaloendelea kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.

Simba kupitia mchezaji wake aliyekuwa kivutio zaidi katika mchezo huo wa jana Ramadhan Yahya iliandika bao la kwanza dakika ya 17 kufuatia shuti kali lililopigwa na mchezaji huyo na kumwacha kipa wa Yanga, Kumwa Amanzi akiwa chini.

Dakika ya 42 mchezaji Kelvin Charles aliwatoka mabeki wa Yanga na kuachia shuti kali lililompita kipa Amanzi na kuandika bao la pili.

Mchezaji wa Yanga, Mohamed Maruzuku aliipatia timu yake bao la kufuta machozi dakika ya 46 ambapo naye alipiga shuti akiwa mita chache usawa wa goli la Simba.

Yahya tena alidhihirisha uwezo wake katika mchezo huo wa jana kwa kupachika nyavuni goli la tatu dakika ya 78 baada ya kuachia shuti kali ambalo lilitemwa na kipa wa Yanga Amanzi na mpira kuelekea wavuni.

Mchezo wa jana tofauti na michezo mingine ulihudhuriwa na mamia ya watazamaji ambapo baadhi ya wapenzi wa Yanga walitoa maneno ya kulaumu mchezo uliokuwa ukioneshwa na wachezaji wao.

Kocha wa timu hiyo ya Simba, Abdallah Kibaden aliliambia gazeti hili kuwa wachezaji wake wamedhihirisha kuwa wanaandaliwa vema na pia wameweza kutetea heshima na jina la klabu ya Simba.

Naye Ofisa habari wa Yanga alipozongwa na wapenzi wa klabu hiyo waliokuwa wakilalamika kuwa wachezaji wao hawakuandaliwa vizuri kimazoezi, alisema kuwa uongozi wa Yanga uliwapatia wachezaji hao Sh milioni 1.5 kwa ajili ya kujiandaa na michuano hiyo kwa hiyo kufungwa ni matokeo tu ya mchezo.

"Haya ni matokeo kama mengine tu kufungwa leo isiwe ni nongwa kwa kuwa kwa sasa tunajipanga zaidi kuhakikisha kuwa tunawakilisha vema kote Zanzibar na hapa Dar es Saalam," alisema Sendeu.
 
Simba thrash Yanga in youth Cup

By DAILY NEWS Reporter, 31st December 2010 @ 11:00, Total Comments: 0, Hits: 123

SIMBA closed the year in an emphatic fashion after they thrashed their archrivals Young African 3-1 in the Under-20 Premier League youth teams' competition dubbed ‘Uhai Cup' at the Karume Memorial Stadium in Dar es Salaam on Friday.

A brace from Ramadhan Yahya, sandwiched by a Kelvin Chale strike, sealed an impressive victory for the Msimbazi Street youngsters against their sworn rivals who had a consolation goal scored by Mohamed Maruzuku.

The mammoth victory not only ensured a perfect end to the 2010 by Abdallah Kibadeni's youthful side but also won them local derby bragging rights over their old nemesis. Simba were in control of the proceedings, displaying some sexy football and deservedly led by two goals at the break.

The opening goal arrived after 17 minutes through man-of-the-match, Yahya. He smashed a power-packed shot from inside the area that beat Yanga custodian Kumwa Amanzi into the back of the net.

Chale, a promising striker with senior team experience, doubled Simba's advantage with a solo effort three minutes before the breather. He dribbled past several defenders before firing past helpless Amanzi.

The first half was predominantly Simba's, but Yanga returned for the restart reinvigorated and they quickly managed to pull one back thanks to Maruzuku's wonderful composed finish just a minute from the restart.

The goal only served as a waking call for Simba who soon turned Yanga tides, with their midfielders dictating the proceedings with a series of brilliant passes. After a spell of possession, Simba succeeded to put the game beyond their opponent's reach when Yahya netted the third in the 78th minute.

It was his third goal in two matches after scoring in a 3-1 win against Toto African on Tuesday.

Yanga, however, refused to surrender and tried to force their way back into the game, but the only time they went closer was on 88 minutes when Hussein's drive hit the woodwork.

There was little time and the seconds quickly ticked away, giving way for the final whistle and Simba succeeded to register their second victory in a row, after Tuesday's 3-1 demolition of Toto African.

It was jubilation for the hundreds of Simba fans, who turned up to watch the thrilling encounter. The result gave them comfort, following a 1-0 defeat their senior team had suffered to their archrivals in a Premier League match back in October.

On the other hand, it was a bitter pill to swallow, as Yanga fans, who alongside Simba supporters, packed the Karume Stadium. They were left frustrated after watching their future team comprehensively outperformed by their sworn rivals.

They vividly expressed their hunger towards the club's leaders alleging they had not prepared the team to compete strongly at the youth championship.

The accusation was brushed aside on the spot by Yanga spokesperson Louis Sendeu who defended the management, revealing that about 1.5m/- had been granted to facilitate the team's preparations for the two-week tourney.

For Kibaden, the victory restored Simba's pride. And the Msimbazi street legend attributed it to good trainings his youngsters have been receiving as well as perfect preparations.
 
Jay Dee moves into endorsements

By DAILY NEWS Reporter, 30th December 2010 @ 11:00, Total Comments: 0, Hits: 93

SONG bird Lady Jay Dee becomes the first artiste in the country to move into a corporate endorsement.

She officially launched ‘Lady Jay Dee Pure Drinking Water' on Thursday, which is the product of Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL).

Jay Dee said the new deal would help her further her career in music. Jay Dee Manager, who also happened to be her husband Gadner Habash, said that the METL proprietor Mohammed Dewji, who is also the Singida Urban Member of Parliament, had in several occasions discussed with Jay Dee on the idea of corporate endorsement and the agreement has been reached.

"Today we are proud to announce a new chapter in the local music industry which marks a milestone in our endeavours to improve the standards of our local musicians," said Habash.

Jay Dee expressed her happiness to become the first local artiste to earn corporate endorsement, saying her mission was now to go international.

"I figured the METL endorsement would gain me some respect in the music industry. For one thing, they make products that are industry standard, for another, it's a sign that the public appreciates and value my artistic work," she said.

She also plans to become the first artiste to form a top notch restaurant in Dar es Salaam and launch her Machozi Company Limited. Unveiling her 2011 year plans in Dar es Salaam Thursday, Jay Dee said that she is also going to launch her fifth solo album come New Year.

Jay Dee, who is an ambassador of anti-fistula campaign, also said that she is going to hold one per week effective next year as opposed to the usual five shows. This, she said will enable her enough time improve her artistic work.

In another development Jay Dee has sign up contract with Rock Star Music Company. This was confirmed by Rock Star East African representative Christina Mosha, who said the song bird now joins the likes of Ali Kiba to go international.

Mosha said under the contract, Jay Dee will be availed with a series of opportunities to perform both at local and international level at the same platform with world's top musicians.
 
Tamim retains ZFA presidency




By The guardian reporter



1st January 2011


s



Tamim%285%29.jpg

Ali Ferej Tamim


p { margin-bottom: 0.08in; }
Ali Ferej Tamim is back on the saddle as Zanzibar Football Association's president after scooping hefty 32 votes out of the 54 in the general election held at the Gombani Stadium here yesterday.
Tamim beat his closest challenger Suleiman Mahmoud Jabir who managed 20 votes as Munir Zakaria salvaged paltry two votes in the tense polls.
ZFA's electoral chairman Ali Suleiman Ali 'Shihata' announced Amani Ibrahim Makungu as the vice-chairman on Unguja zone while Haji Ameir nose-dived with 22 votes.
Makungu scooped 32 votes. Pemba zone's vice-chairman aspirant Suleiman Amour made an eleventh-hour pullout to leave Ali Mohamed Ali as the only candidate for the post. Voters had to decide on yes or no and he subsequently won by 44 votes as eight ones were spoiled.
Earlier on the day, Unguja's vice-president aspirant Ali Khatib Dai was disqualified on the grounds of his failure to submit the national Form Four school certificate.
In a bizarre twist of events, Makungu, who won the vice-presidency post, left the election room while declaring to step down should the incumbent president Tamim win the election.
"It's absurd to win vice-presidency and then work in cooperation with incompetent president," declared Makungu.
Makungu termed the leadership combination as a vehicle with beautiful body but dilapidated or junky engine.
However, Tamim in his post election address pleaded for Makungu to erase his promise and join hands in taking the new-look ZFA.
Zacharia, who lost the presidential race, said the major problem of soccer development in the Isles is vested with the voters and not the Government.
Zacharia blamed the ZFA delegates as responsible for slow development of soccer in Zanzibar as they don't need changes.
The election was preceded by a speech from the minister for Information, Sports and Culture, Abdillahi Hassan Jihad, who urged voters to elect leaders who would implement development goals.
"The bottom line is for you to elect competent leaders and the Government would chip in assistance to boost soccer development in Zanzibar," said the minister.
The ZFA election has been dominated by bribery allegations among the aspirants but no one was caught red handed at the end.
Tamim, who has been in power for the past 22 years, begins another four-year term.
Barely one year ago, Tamim had declared not to contest for the post but made a bizarre U-turn mid last year.



SOURCE: THE GUARDIAN
 
Stars to fly in batches




By The guardian reporter



1st January 2011




Kayunii%287%29.jpg

The acting secretary general of the Tanzania Football Federation, Sunday Kayuni.


p { margin-bottom: 0.08in; }
Taifa Stars players and officials are expected to board separate flights to Cairo ahead of the inaugural Nile Basin championship next week.
The first batch comprising nine players is expected to leave tomorrow, so says the acting secretary general of the Tanzania Football Federation, Sunday Kayuni.
Among those who board the first flight include two FIFA-badged referees Oden Mbaga and John Kanyenye.
The team's head coach Jan Poulsen would join the team in Cairo straight from Copenhagen where he has been enjoying annual holiday.
The other batch comprising 32 players and officials would leave on Monday. The separate flights have been caused by the organisers who sent tickets with separate flight dates.
Meanwhile, stand-in coach of the team Silvestre Marsh said players of the team were expected to take practice sessions under floodlights to acclimatize with the tournament atmosphere.
The first session of the training was supposed to be held yesterday at the National Stadium.
Simba player Rashid Gumbo, who was called to fill the gap left by Henry Joseph, has joined the team and will travel to Cairo.



SOURCE: THE GUARDIAN
 
Kipingu awasifu waamuzi wa michuano ya Uhai
Friday, 31 December 2010 20:10

Sosthenes Nyoni

MWENYEKITI wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Kanali Iddi Kipingu amesifu uwezo unaoonyeshwa na waamuzi wanaochezesha michuano ya Kombe la Uhai inayoendelea kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.

Amewaeleza waamuzi hao kuwa hazina kubwa kwa taifa kwa siku za usoni.

Michuano hiyo hiyo ambayo ilianza Jumatatu inachezeshwa na waamuzi wenye umri chini ya miaka 14 wanaolelewa na katika kituo cha Twalipo kinachomilikiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ).

Akizungumza na Mwananchi, Kanali Kipingu alisema kuwa licha ya kuwa vijana hao kuwa na umri chini ya miaka 14 wameonyesha uwezo mkubwa wa kuchezesha michuano hiyo jambo linalozifanya hata timu zinazoshiriki kutokuwa na manung'uniko.

"Nikuambie , hii ni hazina kubwa kwa taifa vijana hawa wanaonyesha hata kweli wamefunzwa maana wanafuata sheria 17 za soka, labda niwapongeze wenzetu wa kambi ya Twalipo kwa kubuni na kuanzisha kituo hiki.

"Kama tutaendelea na utaratibu kama huu naamini muda si mrefu Tanzania itapata waamuzi wengi wanakaokuwa na hadhi ya kimataifa na watakaochezesha mechi kubwa za kimataifa,"alisema Kanali Kipingu ambaye pia anamiliki shule ya sekondari inayokuza vipaji mbalimbali hususani soka.

Kauli hiyo ya Kipingu pia iliungwa mkono na aliyewahi kuwa mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba, Kasim Dewji ambaye alisema kuwa ikiwa utaratibu wa kuwaendeleza vijana kama hao utaendezwa ni dhahiri nchi itaondokana na malalamiko ambaye yamekuwepo katika matokeo ya mechi mbalimbali yanayotokana na uchezeshaji mbovu wa waamuzi.
 
Cheka, Maugo nani atanuna leo?
Friday, 31 December 2010 20:12

Imani Makongoro

UKUMBI wa PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam leo utawaka moto wakati mabondia wawili wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka na Mada Maugo watakapomaliza ubishi wa nani mkali kati yao katika pambano la uzani wa kati, kg 72.

Mabondia hao wamekuwa wakitunishiana misuli kwa muda mrefu huku kila mmoja akidai atammaliza mpinzani wake katika raundi nane za pamabno hilo.

Pambano hilo limeandaliwa na Kaike Promotions, chini ya mkurugenzi wake Kaike Siraji na linasimamiwa na Oganizeshen ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO).

Katika pamabno hilo lililobeba hisia za mashabiki wengi nchini, Maugo atazidhihirisha kama ametumwa kutoka Mara kwa lengo la kutwaa ubingwa huo huku Cheka akitimiza ahadi yake ya kumkung'uta Maugo kwa Techinical Knock Out (TKO).

Rais wa TPBO, Yassin Abdallah, alisema jana kuwa mabondia hao walipima afya na wote wamegundulika wako safi, hivyo leo hakutakuwa na sababu ya kusimamisha pambano endapo bondia atakuwa akivuja damu.

Mapambano mengine ya utangulizi yatakuwa kati ya Amos Mwamakula vs Obote Ameme, Albert Mbena v Ramadhan Masudu, Cosmas Cheka v Hussein Mbonde, Juma Kihiyo v Idd Mohamed na Deo Njiku v Habibu Pengo.

 
Waamuzi saba kuchezesha pambano la Cheka
Monday, 27 December 2010 09:30

Imani Makongoro
WAAMUZI saba kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania wanatarajiwa kuchezesha pambano la kitaifa kati ya bondia Francis Cheka na Mada Maugo litakalofanyika Jumamosi kwenye Ukumbi wa PTA, Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Pambano hilo la uzani wa kati kg 72, lililopangwa kuwa la raundi nane litasimamiwa na Oganizesheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBO), chini ya rais wake Yassin 'Ustadhi' Abdallah.

Waamuzi hao ni Steven Yuza kutoka Iringa, Mfaume Idanal wa Tanga, Kondo Nassor, Abdallah Mtemba, Omari Yazidu, Ibrahim Kamwe na Bakari Ally 'Champion, wote wa Dar es Salaam.

Waamuzi hao watapatiwa semina ya siku mbili iliyoandaliwa na TPBO itakayoanza leo kwenye Gym ya Japhet Kaseba, Mwananyamala jijini Dar es Salaam kuhusu kufuata kanuni na taratibu za mchezo wa ngumi za kulipwa Duniani .

Afisa Habari wa TPBO, Champion, aliiambia Mwananchi jana kuwa semina hiyo ya siku mbili itatoa fursa kwa waamuzi hao kujifunza kanuni na taratibu za mchezo wa ngumi za kulipwa ili siku ya pambano hilo kusiwe na malalamiko ya kuchakachua matokeo.

"Atakayeshinda siku hiyo ameshinda kihalali na atakayepigwa atapigwa kihalali, kwani kanuni na taratibu za mchezo huo zitafuatwa na waamuzi hao wataingia ulingoni kutoa maamuzi wakiwa wameiva na wako kamili bila upendeleo,"alisema Champion.

Mabondia hao watapima uzito Alhamisi katika ukumbi wa PTA, tayari kwa pambano hilo kubwa nchini.
 
Simba rout Yanga in U-20 Uhai Cup




By The guardian reporter



1st January 2011


email.png

Email



printer.png

Print



comment_bubble.png

Comments




Toto%281%29.jpg

Yanga`s U-20 goalkeeper Kulwa Manzi (L) wins aerial battle as he grabs the ball firmly in his hands to thwart pressure from Simba midfielder Edward Christopher during Uhai Cup tie played at the Karume Memorial Stadium in Dar es Salaam yesterday. Simba by 3-1. (Photo: Khalfan Said)


p { margin-bottom: 0.08in; }
Simba cruised into the Uhai U-20 quarterfinal stage after a convincing 3-1 victory over rivals Young Africans in a Group B match played at the Karume Memorial Stadium in Dar es Salaam yesterday.
Simba have attained six-point mark after two back to back wins in Group B which has other teams of African Lyon and Toto Africa.
Ramadhani Singano opened the floodgates after 17 minutes in a match that was attended by a huge crowd more than the rest of the other ties since the tournament began this week.
Singano was target when he connected home Godson Innocent through pass.
Kevin Charles, who has been promoted into the senior side, scored the second three minutes to half time.
Barely a minute after restart Yanga's striker Mohamed Maruzuku scored the consolation goal.
Singano scored his second and the third goal for his team after 78 minutes when he connected a rebound after Yanga goalkeeper Kulwa Manzi failed to hold firmly an earlier shot by Haruna Athumani.
Simba's under 20 coach Suleiman Matola said his boys played well as he prepares them for the final group stage match against African Lyon on Monday.



SOURCE: THE GUARDIAN
 
Yanga kuzuiwa usajili wachezaji wapya iwapo... Friday, 31 December 2010 20:16

ally%20msigwa.jpg
Ally Msigwa

Clara Alphonce
HATIMAYE Kamati ya Sheria, Katiba na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeiamuru Yanga kumlipa mchezaji wao wa zamani, Ally Msingwa kiasi cha Shilingi 7.2 milioni la sivyo hawataruhusiwa kufanya usajili wowote msimu ujao.

Kamati hiyo ambayo inaongozwa na Alex Mgongolwa ambaye ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea iliyokutana juzi ilitoa maamuzi hayo baada ya kusikiliza hoja za pande mbili.

Msigwa ni mmoja ya wachezaji wanne ambao waliachwa na klabu hiyo msimu huu huku wakiwa bado na mikataba wengine ni kipa Steven Marash,Wisdom Ndhlovu, John Njoroge.

Mgongolwa alisema kuwa kikao cha juzi kilikuwa ni cha kupitia pingamizi za wachezaji wote wanne, lakini wengine hawakuweza kufika kwa kuwa wanataka wapate haki wanawapa muda mwingine wa wa kuja kuwasikiliza kwani wanafahamu kuwa wengine si Watanzania.

Hata hivyo, alisema kuwa mchezaji ambaye aliripoti katika kikao hicho ni Msigwa ambaye alikuwa na madai mawili katika klabu hiyo ambaye alidai kuwa hakutendewa haki na klabu hiyo kukatishwa mkataba huo kinyume cha taratibu, hivyo alidai kutaka kutambuliwa kama mchezaji halali wa Yanga la sivyo alipwe fidia zake zote kwa mujibu wa mkataba.

Alisema baada ya mchezaji huyo kusema hivyo pia waliusikiliza utetezi wa Yanga ambao ulisema kuwa walipomuacha mchezaji huyo katika usajili wao walimshauri aende African Lyon kwa mkopo kwa kuwa waliona hawatamtumia katika kikosi chao, lakini mchezaji huyo alikataa.

Aidha, Mgongolwa alisema kuwa baada ya kusikiliza maelezo ya pande zote mbili na vielelezo vilivyowasilishwa kuhusiana na shauri hilo ambavyo ni mkataba wa kwanza walioingia Novemba 6, ambao ulikuwa ni wa miaka minne na unaisha 2013 marekebisho ya mkataba na madai ya Msigwa, kamati hiyo ilikubali kuwa mkataba huo ulikuwa halali kwani ulisajiliwa na TFF.

Alisema kupitia mkataba huo mchezaji huyo alicheza michezo miwili ya ligi kuu Tanzania bara lakini, hata hivyo kamati iliridhika kuwa mkataba wa marekebisho ambao iliwakilishwa kwao haukuwa umesajiliwa TFF.

Alisema kuwa kamati hiyo iliridhika na mkataba wa kwanza ambao ulikuwa bado una miaka mitatu ya kuitumikia na kuwa umesitishwa bila kufuata utaratibu sahihi kwa mujibu wa mkataba.

Mgongolwa alisema kuwa hivyo kutokana na hayo kamati iliamua Yanga watawajibika kulipa fidia ya mishahara ya miezi yote 36 ambayo ni Shilingi 7,200,000 na kama hawatafanya hivyo klabu hiyo hairuhusiwi kufanya usajili wowote.

Hata hivyo, inadaiwa kuwa kiasi hicho cha fedha walizokisema jana Mgongolwa siyo makubaliano ya mchezaji huyo kwani yeye alitaka alipwe fidia ya Shilingi 35 milioni baada ya milioni 70 alizokuwa anazidai klabu hiyo.

Inadaiwa kuwa mchezaji huyo aliingia mkataba na Yanga wa miaka minne na tayari alikuwa ametumikia mwaka mmoja na mikataba iliyobaki ilikuwa inathamani ya Shilingi 40 milioni ukijumuisha misharaha na usumbufu.

Alisema hata hivyo baada ya kuulizwa na kikao hicho ni fedha gani ya mwisho anayotaka alisema Sh35 milioni na kamati ilikubali na kusema kuwa watajadili.

 
JK: Nitaibeba zaidi michezo

Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 1st January 2011 @ 23:59

RAIS Jakaya Kikwete amewahakikishia wananchi kwamba ataendelea kuunga mkono michezo kwa hali na mali, kwa sababu anataka Watanzania wafurahi.

Rais Kikwete aliyasema hayo juzi katika hotuba yake kwa wananchi kuuaga mwaka 2010 na kukaribisha mwaka mpya wa 2011.

"Kwa upande wa michezo tumefanya vizuri, tumetwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji baada ya miaka 16, mara ya mwisho tulitwaa mwaka 1994, kwa wanawake nao Twiga (Timu ya soka ya Taifa ya Wanawake) ilifika fainali za Afrika, tuwatake wanamichezo wetu waweke malengo… nilishazungumza na TFF nikawapa changamoto…

"Nitakutana pia na Chama cha Riadha, nilishalisema hilo…nawahakikishia tu wananchi kwamba nitaendelea kuunga mkono michezo kwa hali na mali kwa sababu michezo ni furaha na mimi napenda Watanzania wafurahi," alisema.

Timu ya Soka ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro' Stars ilitwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji katika fainali zilizofanyika Desemba 12 kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam baada ya kuifunga Ivory Coast kwa bao 1-0.

Baada ya kutwaa ubingwa huo, Kilimanjaro Stars ilipeleka Kombe hilo Ikulu ambapo Rais Kikwete aliwaahidi zawadi na kuwapa changamoto kwamba wahakikishe kombe hilo linabaki katika michuano ya mwaka huu.

Kwa upande wa Twiga Stars ilishiriki fainali za Kombe la Mataifa Afrika zilizofanyika Afrika Kusini Oktoba mwaka jana.

Tanzania ilishiriki fainali hizo kwa mara ya kwanza tangu ianze kujihusisha katika soka ya wanawake, hata hivyo kutokana na kukosa uzoefu Twiga Stars haikufanya vizuri katika fainali hizo.

Aidha kuhusu Chama cha Riadha, Rais Kikwete aliwahi kusema kuwa amepanga kukutana nao na kumueleza kwanini Tanzania imekuwa haisikiki tena kwenye mchezo huo kama ilivyokuwa enzi za kina Filbert Bayi na Suleiman Nyambui.
 
Yanga kuivaa Z'bar Ocean View

Imeandikwa na Issa Yussuf, Zanzibar; Tarehe: 1st January 2011 @ 23:55

MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi inatarajiwa kuanza leo mjini hapa ambapo Yanga itafungua dimba kwa kumenyana na Zanzibar Ocean View ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan.

Mechi ya Yanga na Zanzibar Ocean View itachezwa saa mbili usiku ikitanguliwa na mechi kati ya timu ya Chuoni ya Zanzibar itakayomenyana na Azam ya Dar es Salaam saa kumi jioni.


Akizungumza na gazeti hili juu ya maandalizi ya michuano hiyo, mmoja wa wajumbe wa kamati ya maandalizi Ali Halil Mirza alisema kila kitu kimekamilika.

"Tunaendelea vizuri na timu zinaendelea kuwasili na tayari tumeshapa Sh milioni 42 kwa ajili ya kuendesha michuano hiyo," alisema.

Yanga inatarajiwa kuondoka leo mapema kuelekea visiwani humo. Mirza alisema michuano hiyo itazinduliwa rasmi na Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Abdilahi Jihadi Hassan na kiingilio kitakuwa Sh 3,000, Sh 2,000 na Sh 1,000.

Timu nane, nne kutoka Zanzibar na nne kutoka Zanzibar zinatarajiwa kushiriki michuano hiyo ambapo kutoka Bara mbali na Yanga nyingine ni bingwa mtetezi Mtibwa Sugar, Simba na Azam.

Michuano hiyo ilianza kupata msisimko baada ya Yanga kuthibitisha ushiriki wake Alhamisi, awali ilikuwa haina jibu la uhakika kama itashiriki ama la kutokana na wachezaji wake kuwa kwenye mgomo wakishinikiza kulipwa fedha zao za usajili.

Hata hivyo, Yanga inaenda Zanzibar bila wachezaji wake Athumani Iddi ‘Chuji' ambaye ni majeruhi akisumbuliwa na nyama ya paja na Shamte Ali aliyefanyiwa upasuaji wa goti.

Kwa mujibu wa ratiba ya michuano hiyo kesho zitachezwa mechi za kundi B ambapo KMKM ya Zanzibar itamenyana na bingwa mtetezi Mtibwa Sugar kabla mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba hawajamenyana na Jamhuri.

Azam itarejea tena uwanjani keshokutwa ambapo itamenyana na mabingwa wa Zanzibar, Zanzibar Ocean View na Yanga ikipambana na Chuoni katika mechi za kundi A.

Mtibwa itashuka tena dibani Jumatano kumenyana na Jamhuri wakati KMKM ikicheza na Simba. Siku inayofuata, Chuoni itacheza na Zanzibar Ocean View na Yanga itacheza na Azam.

Fainali za michuano hiyo zitachezwa Januari 12 ambayo ndio siku ya kille kuadhimisha miaka 47 ya mapinduzi ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein.

Mshindi katika michuano hiyo ataibuka na kitita cha Sh milioni 3, mshindi wa pili atapata Sh milioni 2 na wa tatu Sh milioni moja.
 
THT walivyowasha moto kufunga mwaka Zanzibar
Imeandikwa na Beda Msimbe; Tarehe: 1st January 2011 @ 23:50 Imesomwa na watu: 31; Jumla ya maoni: 0


01_11_x5hm34.jpg

Dansa wa THT wakiwa katika shambulio.





MOJA katika vikolezo vya tamasha dogo la filamu linalofanyika Zanzibar katika Mji Mkongwe ni burudani ya muziki.

Katika siku ya mwanzo ya Tamasha kulikuwapo na makundi ya muziki kutoka Zanzibar na Bara na hakuna shaka kundi la Tanzania House of Talent (THT) liliweza kufanya vyema kama bendi na pia kwa wasanii mmoja mmoja.

Kabla hawajaingia THT kushambulia jukwaa kulikuwa na makundi takribani matatu kutoka Unguja ambapo Six Unit walicheza dansi lililowafanya watu kama siye kujiuliza kama kuna tatizo la kifo cha Michael Jackson.

"Mimi nadhani wanammisi ndio maana wanaigiza miondoko na muziki wake," anasema Aidan mmoja wa wapenzi wa muziki aliyekuwa karibu ambaye nilimuuliza kama anajisikiaje kuona vikundi viwili vikiendesha dansi lililoshabihi miondoko ya Michael Jackson.

Katika siku ya kuingia mwaka mpya na kuaga wa zamani THT ambao wapo kusindikiza tamasha dogo la filamu walionesha kwamba wao wanajua wanachofanya .

Hali hiyo ilitokana na kuwapeleka wananchi katika mwaka mpya kwa miondoko kibao ya muziki iliyowafanya wasimame na kujipachika katika eneo dogo la uwanja wa wazi wa kuonesha sinema ndani ya Ngome Kongwe.

Wakijua namna ya kutawala jukwaa na pia kuwashirikisha wapenzi wa muziki wasanii kama Mataruma, Imani, Pipi, Marlaw, Barnaba, Beka masaspenda na wengine waliwafanya wapenzi wa muziki na sinema waliokuwapo kupisha mwaka baada ya kuangalia sinema za bongo kuwa na wakati wa raha.

Miondoko ya rhumba, sebene la nguvu na kiduku ilifadhaisha wote walioketi kama katika kusikiliza taarabu, na kuwafanya wanyanyuke na kwenda mbele kufanyakazi zaidi ya mbili ya kufurahisha mili yao na pia kupiga picha wasanii.

Hawa wanacheza hawa wanapiga picha, ilikuwa ndio shamrashamra ya kuuaga mwaka 2010 na kuukaribisha mwaka mpya ndani ya Ngome kongwe.

Alikuwa ni mzee wa kiduku Laurence Malima Madole 'Marlaw' aliyewaacha hoi wapenzi wa muziki ambao walimlazimisha kurejea nyimbo zake kadhaa ambazo hazikuwa katika ratiba ya kukuukaribisha mwaka.

Lakini pamoja na mzee wa kiduku kufanya mambo yake, kijana anayeonekana baadaye kuleta fujo kubwa katika muziki Beka Masaspenda alikuwa na wakati laini wa kushirikisha watu katika nyimbo zake ambazo zinaonekana kwenda shule.

Kama ilivyokuwa kawaida miziki ya mateso ya mapenzi ndio iliyowafanya wanawake kujazana kuzunguka jukwaa lililokuwa inatumika kufua muziki wa wana hao wa THT.

Ilikuwa ni laivu bendi ambapo Mwasiti Almasi alizungumzia uvuaji wa pendo kwa kuchoshwa na karaha katika sehemu yake ya shoo ambayo iliwaweka Wazanzibari katika mtego mkubwa wakati alipomtaka Chidi Benz wa Zenj aimbe naye.

Alijitokeza mtu mmoja ambaye alionekana akapela anazimudu na mambo yakaenda sawia.

Sio tu muziki uliokuwa katika hali ya kuwapagawisha watu lakini miondoko ya dansi yenye mchanganyiko wa kazi zinazofanywa na vijana katika mambo mbalimbali ya maisha zilifanya watu wawe katika hali ya kusema ohooo!

Mwisho wa shughuli katika muziki wa usiku alikuwa Juma Mataaluma, ambaye ndiye aliyewaingiza wapenzi wa muziki wa dansi waliokuwapo katika Ngome Kongwe na sebene la kuaga mwaka na kuingia jipya.

Kazi hii ya kuwashirikisha wazenji na wananchi wengine waliokuja kuaga mwaka aliifanya tena katika kuukaribisha mwaka mpya wakati alipowachezesha washiriki kiduku katika miksi ambayo ilimalizia siku kwa wakali wa THT kuingia jukwaani.

Kitu cha muhimu katika onesho la THT ambalo lilikuwa laivu muziki pamoja na kupigwa eneo la wazi haukupoteza ule uhalisia wake huku vyombo vikishabihiana sana na rekodi ambazo zimeshafanyika.
 
Makhrikhri yapagawisha Mara

Imeandikwa na Thomas Dominick, Musoma; Tarehe: 1st January 2011 @ 23:40


WIMBO wa Ke nako Itlhaloganyeng (Masa) wa kundi la muziki kutoka nchini Botwana maarufu Makhrikhri uliwapagawisha wapenzi wa kundi hilo wa Mkoa wa Mara siku ya mkesha wa mwaka mpya waliofurika katika ukumbi wa bwalo la Magereza.

Wimbo huo ulioimbwa ilipotimia saa sita kamili usiku baada ya kuuaga mwaka 2010 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2011 uliwafanya wapenzi wa wanamuziki hao kushindwa kukaa chini na kujikuta wakisimama na kuanza kucheza.

Onesho la kundi hilo ambalo linazunguka katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa lilianza saa tatu usiku hadi saa nane usiku ambapo walipiga nyimbo zao zote kutoka albamu yao ya kwanza hadi albamu yao mpya.

Baadhi ya mashabiki waliofurika ukumbini hapo walipozungumza na mwandishi wa habari hizi walisema kuwa wameridhika na kundi hilo kwa muziki wao wa asili na kuwashauri wasanii wa nchini kuiga nyendo zao kwa kuimba nyimbo za asili ya Mtanzania.

"Kwa kweli nilikuwa nawaona kwenye Televisheni kupitia mikanda yao lakini leo nimejionea mwenyewe, kama tutafuata asili yetu ya Utanzania nasi tutakuwa na makundi mazuri zaidi ya hili na tutajulikana Duniani kote, lakini ule muziki wao wa kuiga kutoka nje hauwezi kukutambulisha kwa kuwa asili yake Bara la Amerika," alisema shabiki aliyejitambulisha kwa jina la Kelvin Benard.

Kundi hilo lilitoa zawadi ya VCD mbili kwa washindi wawili ambao walicheza vizuri muziki wao kwa kufuata mitindo yao ya uchezaji kundi hilo linaendelea na ziara yake katika mikoa ya Shinyanga na Kagera.
 
Filamu za Tanzania zapondwa

Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Zanzibar; Tarehe: 1st January 2011 @ 23:20

TANZANIA ina safari ndefu kutengeneza sinema zinazokidhi kiwango cha kimataifa kama waandaazi hawatabadilika na kufuata kanuni zinazotakiwa.

Rai hiyo ilitolewa na mmoja wa watu waliofika kuangalia sinema katika ukumbi wa wazi wa sinema Ngome Kongwe mjini Zanzibar katika tamasha dogo la ZIFF lililoanza juzi.

ZIFF ni tamasha la kimataifa la Filamu maarufu kama tamasha la nchi za jahazi.

"Huwezi kuwa na sinema katika mwendelezo wa aina hii na udhani kwamba utaweza kupenya katika matamasha ya kimataifa," alisema mtu huyo aliyejitambulisha kama Mahmood.

Alisema kwamba hakufurahishwa namna ambavyo watanzania wanatengeneza sinema zikiwa na namba mbili mpaka tatu ya simulizi moja.

Filamu zilizooneshwa juzi na jana katika ukumbi wa wazi wa Ngome Kongwe ni This is it ya Stephen Kanumba , Huba ya Ahmed Olutu zote hazikumaliza simulizi ambapo ilikatika na kuendelea pati 2.

Katika hali ya kawaida sinema hizo si hasa pati 2 bali mwendelezo wa hadithi ile ile ya mwanzo wakati sinema zenye mwendelezo zinaweza kubeba jina moja lakini simulizi hugeuka kabisa na wakati mwingine hata washiriki.

" Inabidi waangalie sinema za mwendelezo kama sinema za Bourne Identity, manake wana The Bourne Identity, The Bourne Legacy na The Bourne Supremacy .

Filamu inaanza na kumalizika katika CD moja na si kuongeza namba za CD kama tamthilia," alisema.

Tamasha dogo la filamu la ZIFF linashirikisha sinema nane za Divorce, Briefcase, Best wife, This is it, Nani, Huba, Don't Cry na Black Sunday kwa lengo la kusaka sinema ambayo itapewa nafasi ya kwenda kushiriki katika tamasha la Fespaco la Burkina Faso.

Aidha matatizo mengine yaliyojionesha kwenye sinema za juzi ni kukosekana kwa lugha mbadala ya maandishi katika skrini hali ambayo iliwafanya wageni ambao wapo Zanzibar kwa mapumziko kushindwa kufuatilia.

Wageni hao walisema kwamba hali hiyo inakosesha uelewa wa sinema zetu ambao haziko katika simulizi la sinema za Kihindi ambalo huhitaji kujua kihindi kufuatilia vipande vyake.

Kwa mujibu wa meneja wa tamasha la filamu Dan Nyalusi, tamasha hili dogo ni sehemu ya maandalizi ya tamasha kubwa la Julai mwaka huu likitoa mwashawasha wa kwanza wa nini kitarajiwe kutoka kwa waigizaji wa Bongo.

Mwaka jana wakati wa tamasha la 13 sinema za Tanzania zilipewa nafasi ya kuoneshwa na kushindanishwa katika nyanja yao kutokana na sababu kama za sasa za kukosa ubora wa kimataifa.

Hata hivyo, ZIFF iliona haja ya kuweka kategori ili kurejesha Watanzania kupenda kuangalia sanaa ya sinema za hapa nchini ambayo inaanza tena kuchipua baada ya kuwa mahututi katika miaka ya 1980 na 1990.
 

Acheni kunidharau- Mwamuzi mtoto

Imeandikwa na Evance Ng'ingo; Tarehe: 1st January 2011 @ 23:33

WACHEZAJI wa timu za vijana kutoka klabu mbalimbali nchini wanaoshiriki michuano ya Kombe la Uhai wametakiwa kuwa na nidhamu na kuacha tabia ya kutukana waamuzi.

Akizungumza na HABARILEO jana mwamuzi Liston Iari (14) mwanafunzi wa kidato cha pili Sekondari ya Mtoni Relini anayechezesha mechi za michuano hiyo alisema kuwa baadhi ya wachezaji hawana nidhamu na humdharau.

Alisema kuwa akiwa kama mwamuzi anafuata taratibu za mchezo zinavyotaka lakini baadhi ya wachezaji hasa wa timu za Simba, Yanga na Azam huonekana kutaka kufundisha zaidi nini cha kufanya.

Alisema kuwa hata hivyo kutokana na mafunzo wanayofundishwa katika kituo cha michezo cha kambi ya Twalipo wameshaelekezwa namna ya kushughulikia changamoto kama hizo zinapojitokeza.

"Sio wachezaji tu utakuta mara nyingine hata watazamaji huweza kunitukana au hata kunidhihaki kwa kuniita wewe mtoto na kuendelea kutoa maneno machafu, hali hii inaweza kuwakwaza waamuzi," alisema Iari.

Akizungumzia maendeleo ya kituo hicho cha kukuza michezo kwa vijana, mwalimu wa mafunzo kwa waamuzi na wachezaji kituoni hapo Abeli Kitundu aliliambia gazeti hili kuwa waamuzi wanaoendesha ligi hiyo kutoka kituoni kwake wanao uwezo wa hali ya juu.

Alisema kuwa kwa kituo hicho kina wanafunzi 100 huku 35 wakipewa mafunzo maalumu ya ukocha pamoja na soka.

Alisema kuwa waamuzi wote 12 wakiwamo wa kati, na wa pembeni wanaoendesha ligi hiyo ya Kombe la Uhai wametokea kituoni kwake na kuongeza kuwa ameridhishwa na namna ambavyo waamuzi wanavyojitahidi kuongoza michuano hiyo.

"Ni kwamba kuna kila sababu ya kuwasifia waamuzi hawa kwa kuwa wanaonesha kuwa ni kwa kiasi gani wanaweza na hata kama wachezaji wa vituo vyetu nao kuwa wanaweza kufanya vema baadae, kwa sasa tunae msichana mmoja kituoni anaitwa Bahati Mwapesi ambaye anajifunza uamuzi pia," alisema Kitundu.
 

Yanga yazuiwa kusajili

Imeandikwa na Evance Ng'ingo; Tarehe: 31st December 2010 @ 23:59 Imesomwa na watu: 273;

KLABU ya Yanga imezuiliwa kusajili mchezaji yeyote kwa ajili ya Ligi msimu ujao mpaka itakapomlipa haki zake mchezaji Ally Msigwa ambaye ilivunja naye mkataba bila kufuata taratibu.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria, Katiba, Maadili na Hadhi ya wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Alex Mgongolwa alisema uamuzi huo ulifikiwa kwenye kikao cha kamati hiyo kilichokutana juzi na kuwahoji wahusika wa pande zote mbili.

Hata hivyo Mgongolwa alisema maamuzi hayo hayatoathiri wachezaji ambao tayari wamekwishasajiliwa kwa ajili ya dirisha dogo.

"Kila upande ulipewa nafasi ya utetezi ambapo baada ya kusikiliza kila mmoja Kamati iliona kuwa Yanga ilikiuka taratibu za mkataba na hivyo itatakiwa kumlipa Msigwa mshahara wake wa miezi 36 ambao ni Sh milioni 7.2," alisema.

"Katika kikao hicho, Kamati iliridhika na kuufanyia kazi mkataba wa kwanza kati ya Yanga na Msigwa ambao ndio umesajiliwa TFF hivyo haikuwa na haja ya kujadili mkataba wa pili ambao haukuwa unatambulika TFF, kwa hiyo Alisema kuwa Kamati iliridhishwa na mkataba wa kwanza kati ya Msigwa na Yanga uliosajiliwa na bado Msigwa alikuwa na miaka mitatu ya kuutumikia mkataba huo.

"Kamati ilisikiliza maelezo ya pande zote mbili na vielelezo vya pande zote mbili kuhusiana na shauri hilo ambapo mkataba wa kwanza ulionesha kuwa ulisainiwa Novemba 06, mwaka jana mkataba ambao Kamati yangu iliona kuwa haukusajiliwa na TFF hivyo nikaomba ule wa awali," alisema Mgongolwa.

Pia alisema kuwa maamuzi ya kulipwa kwa kiasi hicho cha fedha yalitokana na maombi ya mchezaji huyo aliyetaka kulipwa gharama za miezi iliyobakia katika mkataba wake na sio za kuvunjiwa mkataba.

Aliitofautisha kesi hiyo na ile ya akina Wisdom Ndlovu ambao walipeleka malalamiko katika Umoja wa wacheza soka nchini (Sputanza) wakitaka kulipwa fidia za kuvunjiwa mkataba.
 

Yanga yazuiwa kusajili

Imeandikwa na Evance Ng’ingo; Tarehe: 31st December 2010 @ 23:59 Imesomwa na watu: 273;

KLABU ya Yanga imezuiliwa kusajili mchezaji yeyote kwa ajili ya Ligi msimu ujao mpaka itakapomlipa haki zake mchezaji Ally Msigwa ambaye ilivunja naye mkataba bila kufuata taratibu.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria, Katiba, Maadili na Hadhi ya wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Alex Mgongolwa alisema uamuzi huo ulifikiwa kwenye kikao cha kamati hiyo kilichokutana juzi na kuwahoji wahusika wa pande zote mbili.

Hata hivyo Mgongolwa alisema maamuzi hayo hayatoathiri wachezaji ambao tayari wamekwishasajiliwa kwa ajili ya dirisha dogo.

“Kila upande ulipewa nafasi ya utetezi ambapo baada ya kusikiliza kila mmoja Kamati iliona kuwa Yanga ilikiuka taratibu za mkataba na hivyo itatakiwa kumlipa Msigwa mshahara wake wa miezi 36 ambao ni Sh milioni 7.2,” alisema.

“Katika kikao hicho, Kamati iliridhika na kuufanyia kazi mkataba wa kwanza kati ya Yanga na Msigwa ambao ndio umesajiliwa TFF hivyo haikuwa na haja ya kujadili mkataba wa pili ambao haukuwa unatambulika TFF, kwa hiyo Alisema kuwa Kamati iliridhishwa na mkataba wa kwanza kati ya Msigwa na Yanga uliosajiliwa na bado Msigwa alikuwa na miaka mitatu ya kuutumikia mkataba huo.

“Kamati ilisikiliza maelezo ya pande zote mbili na vielelezo vya pande zote mbili kuhusiana na shauri hilo ambapo mkataba wa kwanza ulionesha kuwa ulisainiwa Novemba 06, mwaka jana mkataba ambao Kamati yangu iliona kuwa haukusajiliwa na TFF hivyo nikaomba ule wa awali,” alisema Mgongolwa.

Pia alisema kuwa maamuzi ya kulipwa kwa kiasi hicho cha fedha yalitokana na maombi ya mchezaji huyo aliyetaka kulipwa gharama za miezi iliyobakia katika mkataba wake na sio za kuvunjiwa mkataba.

Aliitofautisha kesi hiyo na ile ya akina Wisdom Ndlovu ambao walipeleka malalamiko katika Umoja wa wacheza soka nchini (Sputanza) wakitaka kulipwa fidia za kuvunjiwa mkataba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom