Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michezo ya nyoka kwa sasa imekua maarufu saaana, na watu hupenda kuiangalia saaaana hasa michezo ya chatu,
Lakini kwa hii michezo ya kurushiana nyoka hivi imeonekana kuua watu wengi kwa presha kama mtu akifanyiwa hivi bila taarifa au kuwa mzoefu.