Michezo mchafu na unaoua kwa presha

Michezo mchafu na unaoua kwa presha

Ack

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
88
Reaction score
87
Michezo ya nyoka kwa sasa imekua maarufu saaana, na watu hupenda kuiangalia saaaana hasa michezo ya chatu,
Lakini kwa hii michezo ya kurushiana nyoka hivi imeonekana kuua watu wengi kwa presha kama mtu akifanyiwa hivi bila taarifa au kuwa mzoefu.

HIZI PRANKS ZITAUA WATU AISEE
 
Back
Top Bottom