BOT inaundwa na sheria ya Bunge.Ana hoja
Na Sisi tuna bahati Waziri wa Fedha Dr Mwigullu alikuwa Mchumi pale BoT
Na Gavana wa BoT alikuwa Paymaster General pale Wizara ya Fedha chini ya Dr Mwigullu Nchemba!
Kupigwa hakuepukiki katika Dunia ya leoBOT inaundwa na sheria ya Bunge.
Tunawezaje kufahamu kama hakuna sarakasi kwenye uchumi wetu?
Benki za biashara hazijawahi kuwa rafiki kwa raia ndo maana kila mara BOT inairatibu riba zinazowekwa na hayo mabenki.
Tunapigwa au ndo utamaduni?
Kuna uwezekano kuwa kuanzishwa kws crptyocurrency ni kutokana na huu mwenendo wa kuumizwa halafu aliyekupiga humuoni.Kupigwa hakuepukiki katika Dunia ya leo
Uchumi wa kweli ni ule unaouishi mitaani kwako siyo huu wa Kwenye makaratasi!
Know the rules kijana. Hawajakukataza mteja wao kuwa shareholder. Na pia kuna option ya fixed account kama unataka gawio la faida ya mikopo wanayotoa.Kuna uwezekano kuwa kuanzishwa kws crptyocurrency ni kutokana na huu mwenendo wa kuumizwa halafu aliyekupiga humuoni.
Mabenki yanakopesha kwa riba lakini pesa wanayokopesha siyo yao. Deposits za wateja. Na kwenye hiyo riba hawawapatii gawio wateja wao zaidi ya wanahisa.
Kuna jambo la kuweka sawa
Majibu ya banker haya anayeamini mshahara wake unatokana na utajjri wa bank anayofanyiakazi.Know the rules kijana. Hawajakukataza mteja wao kuwa shareholder. Na pia kuna option ya fixed account kama unataka gawio la faida ya mikopo wanayotoa.
Huziwezi hizo options mbili basi endelea kupambana na saving account yako. Ukiona makato yanataka kukumaliza, keep your money at home or invest it kwenye bonds or index funds. Simple!
Kuku na bataAna hoja
Na Sisi tuna bahati Waziri wa Fedha Dr Mwigullu alikuwa Mchumi pale BoT
Na Gavana wa BoT alikuwa Paymaster General pale Wizara ya Fedha chini ya Dr Mwigullu Nchemba!
Banks tends to limit what you can take from your very own money. Sababu ni banks are not always liquid enough to pay out pesa yote wateja wake wameweka as in zenyewe pia hufanya biashara na benki nyingine na form nyingine ya assets kama MBS and the likesKuna mambo mengi yamefichika nyuma ya pazia kuhusiana na michakato, takwimu na mwenendo wa uchumi hususani usimamizi wa fedha.
View attachment 2518016
Wataalam wa uchumi mnaoiangalia hii clip hapo juu, je kuna usahihi kwa anachozungumza huyo mzee au ni poligical milleage?
je tuna la kujifunza?
Mshana Jr raraa reree Zitto johnthebaptist Nyani Ngabu Mchambuzi Retired zitto junior Jay4 big CM 1774858
pesa haitaweza kuwa unregulated Kwenye aina ya maisha tuliyonayo.Kuna uwezekano kuwa kuanzishwa kws crptyocurrency ni kutokana na huu mwenendo wa kuumizwa halafu aliyekupiga humuoni.
Mabenki yanakopesha kwa riba lakini pesa wanayokopesha siyo yao. Deposits za wateja. Na kwenye hiyo riba hawawapatii gawio wateja wao zaidi ya wanahisa.
Kuna jambo la kuweka sawa
Hizi sarakasi unazozisema zipo kisheria kabisa na wala hakuna makosa. BOT lazima icontrol fedha na hutumia quantitative easing kama njia ya kuregulate mzunguko wa fedha nchini.BOT inaundwa na sheria ya Bunge.
Tunawezaje kufahamu kama hakuna sarakasi kwenye uchumi wetu?
Benki za biashara hazijawahi kuwa rafiki kwa raia ndo maana kila mara BOT inairatibu riba zinazowekwa na hayo mabenki.
Tunapigwa au ndo utamaduni?
Ukisikiliza vizuri hiyo clip anaongelea hizo sheria zilizopitishwa na wanasiasa ili kusaidia uhalifu wa kisekta.Hizi sarakasi unazozisema zipo kisheria kabisa na wala hakuna makosa. BOT lazima icontrol fedha na hutumia quantitative easing kama njia ya kuregulate mzunguko wa fedha nchini.
The man is against the ethics in banking what he is trying to expose ni legalized Theft in banking systems. It goes beyond sheria.
MkuuHizi sarakasi unazozisema zipo kisheria kabisa na wala hakuna makosa. BOT lazima icontrol fedha na hutumia quantitative easing kama njia ya kuregulate mzunguko wa fedha nchini.
The man is against the ethics in banking what he is trying to expose ni legalized Theft in banking systems. It goes beyond sheria.
Ahsante ssna mkuuHuu ni uhuni ambao umehalalishwa kisheria.
1. Fraction reserve maana yake benki inaweza kuwa na labda bilioni moja lakini sheria inairuhusu kukopesha bilioni kumi. Ikitokea 10% ya watu wameshindwa kulipa madeni yao benki inakuwa kama haina chochote.
2. Akiba tunazoweka benki hazipo huko. Watu wote leo wakisema watoe pesa zao kwa pamoja benki, benki inaanguka.
3. Serikali haiwezi kuishiwa pesa yake. Inachapisha tu wakati wowote ikitaka. Hili linaweza leta mfumuko, ndiyo maana US matajiri walikataa benki kuu kuwa mikononi mwa serikali.
Uchumi wote na mabenki ni ponzi scheme kubwa sana iliyohalalishwa na serikali. Na pesa ni makaratasi ambayo yamehalalishwa na serikali kuwa yana thamani. Ndiyo maana kuna sheria inakubana ukikataa pesa na pia imepambwa na maneno "Fedha halali kwa malipo ya ....." Wote tunaishi kwenye ponzi kubwa sana, na ipo siku itaporomoka.
Hakuna alichoacha hapo! Huku kwetu ukiongea hayo kuliona jua la pili ni majaliwa[emoji24]Kuna mambo mengi yamefichika nyuma ya pazia kuhusiana na michakato, takwimu na mwenendo wa uchumi hususani usimamizi wa fedha.
View attachment 2518016
Wataalam wa uchumi mnaoiangalia hii clip hapo juu, je kuna usahihi kwa anachozungumza huyo mzee au ni poligical milleage?
je tuna la kujifunza?
Mshana Jr raraa reree Zitto johnthebaptist Nyani Ngabu Mchambuzi Retired zitto junior Jay4 big CM 1774858
Aisee....na pia ni watakatifu.Ana hoja
Na Sisi tuna bahati Waziri wa Fedha Dr Mwigullu alikuwa Mchumi pale BoT
Na Gavana wa BoT alikuwa Paymaster General pale Wizara ya Fedha chini ya Dr Mwigullu Nchemba!