Michezo: Serikali imezuia Mashabiki wa JKT Tanzania fc kuingia uwanjani kwa mechi zote zilizosalia kweye uwanja wa Jamhuri

Mashabiki gani hao? Hahaha hizi timu ndogo mashabiki wake ni wa Simba na Yanga. Iwapo itacheza na Simba basi mashabiki wa Yanga wanashangilia wao and vice versa!
 
Ila Hapo Yanga Ndiyo Walioleta Shida
Hatua Kubwa Sana Kuwazuia Mashabiki Wa JKT
Kwenye Mechi Zijazo
 
Hawa mikia ndiyo wanakuwaga na shida mara Wang'oe viti na ndiyo hao walileta fujo uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…