massimu jr
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 542
- 595
Mkuu tuishie hapo tujenge timu zetu...dunia inabadilikaBasi sawa mkuu ila washawapiga 5:0 pia wakawachapa 5:1
HIVYO SIZANI KAMA DUNIA YAWEZA SIMAMA SABABU TIMU PEKEE KUTOKA ENGLAND ILIYOMUADHIBU BARCA NA HUKU BARCELONA IKISHINDWA IFUNGA NI NOTINGHAM FOREST
Asante mkuu tupo pamoja pia nafikiri nawe ni kati ya yule mtanzania mwenye akil[emoji1] [emoji1]Mkuu tuishie hapo tujenge timu zetu...dunia inabadilika
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu nianzie hapo uliposema Chelsea ni mbabe wa Barcelona
LABDA WAWEZA WEKA HEAD TO HEAD
MAANA NAONA KAMA NYIE NDIO MMETAABISHWA SANA NA BARCA
kipa wenu ni nani kwa sasa?
Huyo kiumbe wako wa ajabu kacheza mechi karibu zote hata nusu goal ajapata hii ndio Chelsea inavyowafanya kila Siku head to head x4 chukua hiyo wapelekee jukwaa lenu
Mkuu mm sio ndali chako, usitoe povu bureee..Kuuumbeeeee wendawazimu waliotoroka Mirembe bado wapo mtaaaaaniiiii, Mkuu unahitaji msaada wa haraka kurudi dodoma, yaani vichaa wa siku hizi nwana hata jf wanaijuaaa...KICHAA WEWE UNAFIKIRI FACEBOOK HAPA SHUWAINN