michezo vs Mikopo kwa wanafunzi

michezo vs Mikopo kwa wanafunzi

Basi sawa mkuu ila washawapiga 5:0 pia wakawachapa 5:1

HIVYO SIZANI KAMA DUNIA YAWEZA SIMAMA SABABU TIMU PEKEE KUTOKA ENGLAND ILIYOMUADHIBU BARCA NA HUKU BARCELONA IKISHINDWA IFUNGA NI NOTINGHAM FOREST
Mkuu tuishie hapo tujenge timu zetu...dunia inabadilika
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkuu tuishie hapo tujenge timu zetu...dunia inabadilika
Asante mkuu tupo pamoja pia nafikiri nawe ni kati ya yule mtanzania mwenye akil[emoji1] [emoji1]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aiseeeee kichwa cha habar tu n kicheko tosha
 
Kuuumbeeeee wendawazimu waliotoroka Mirembe bado wapo mtaaaaaniiiii, Mkuu unahitaji msaada wa haraka kurudi dodoma, yaani vichaa wa siku hizi nwana hata jf wanaijuaaa...KICHAA WEWE UNAFIKIRI FACEBOOK HAPA SHUWAINN
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu nianzie hapo uliposema Chelsea ni mbabe wa Barcelona

LABDA WAWEZA WEKA HEAD TO HEAD

MAANA NAONA KAMA NYIE NDIO MMETAABISHWA SANA NA BARCA
746e443eee3f61d9b64eae92189315a1.jpg

Huyo kiumbe wako wa ajabu kacheza mechi karibu zote hata nusu goal ajapata hii ndio Chelsea inavyowafanya kila Siku head to head x4 chukua hiyo wapelekee jukwaa lenu
 
kipa wenu ni nani kwa sasa?
 
746e443eee3f61d9b64eae92189315a1.jpg

Huyo kiumbe wako wa ajabu kacheza mechi karibu zote hata nusu goal ajapata hii ndio Chelsea inavyowafanya kila Siku head to head x4 chukua hiyo wapelekee jukwaa lenu
Asante mkuu.heheh
 
Kuuumbeeeee wendawazimu waliotoroka Mirembe bado wapo mtaaaaaniiiii, Mkuu unahitaji msaada wa haraka kurudi dodoma, yaani vichaa wa siku hizi nwana hata jf wanaijuaaa...KICHAA WEWE UNAFIKIRI FACEBOOK HAPA SHUWAINN
Mkuu mm sio ndali chako, usitoe povu bureee..
Hayo ya ukichaa yametoka wapi..
Uliona sifa kuzaa ee
 
Back
Top Bottom