michezo vs Mikopo kwa wanafunzi

michezo vs Mikopo kwa wanafunzi

baest

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
273
Reaction score
168
Hivi Serikali ikibet ikimpa bayern, Madrid, Barcelona, juve, psg, dortmund halafu ikiweka billion 6 si madogo watapat mikopo.

Ni timu za uhakika kwenye magroup..kama imeshindikana why tusitumie njia hii...
 
1476959255004.jpg
 
Hahahha! Nimecheka sana Mkuu.
 
Haha mkuu ..toa mbadala basi in context na michezo

Mbadala upi mkuu au huu

Madrid : ligi yake ya nyumbani kabla ya mechi iliyotoka kasuluhu mechi mbili mfululizo

Dortmund : Mechi mbili za ligi kuu
zilizopita hajashinda hata moja

Bayern : Huyu naye mechi mbili zilizopita huko Bundesliga hajashinda hata moja

PSG: huyu ana nafuu ila inategemea anakutana na nani sababu hadi sasa ligi ikiisha leo hawez chukua ubingwa wa LIGUE 1

FC BARCELONA HAWA PEKEE NDIO WANAWEZA WAKASHINDA KUTOKANA NA UWEPO WA HIKI KIUMBE CHA AJABU
1476959883473.jpg

HADI HAPO UTAJUA KUWA ULICHOKIONGEA SI SAHIHI NA HAPO NDIPO NINAPOHITIMISHA KUWA HUENDA KUNA UKWEL KATIKA HII HABAR YA GAZETI HILI
1476959999713.jpg
 
Mbadala upi mkuu au huu

Madrid : ligi yake ya nyumbani kabla ya mechi iliyotoka kasuluhu mechi mbili mfululizo

Dortmund : Mechi mbili za ligi kuu
zilizopita hajashinda hata moja

Bayern : Huyu naye mechi mbili zilizopita huko Bundesliga hajashinda hata moja

PSG: huyu ana nafuu ila inategemea anakutana na nani sababu hadi sasa ligi ikiisha leo hawez chukua ubingwa wa LIGUE 1

FC BARCELONA HAWA PEKEE NDIO WANAWEZA WAKASHINDA KUTOKANA NA UWEPO WA HIKI KIUMBE CHA AJABUView attachment 421389

HADI HAPO UTAJUA KUWA ULICHOKIONGEA SI SAHIHI NA HAPO NDIPO NINAPOHITIMISHA KUWA HUENDA KUNA UKWEL KATIKA HII HABAR YA GAZETI HILI
View attachment 421391
Hahaha uko sahihi lakini labda niweke wazi, nilikusudia uefa league..
Na nikuhakikishie mimi ni mmojawapo wa watanzania wachache kulingana na gazeti..
Nipo kati ya MTU mmja sio wanne [emoji23]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sawa mkuu na unashabikia timu gani ili nijue kama uko kwenye kundi la wachache
 
Haha Mimi mtaliano mkuu sipo huko, mbabe "dizaini" wa barca
Conte lol..hope ushanijua na kuamini mm ni MTU mmja
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Upo Chelsea mkuu
 
Mkuu hakika na ww sio kati ya wanne
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkuu hakika na ww sio kati ya wanne
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu nianzie hapo uliposema Chelsea ni mbabe wa Barcelona

LABDA WAWEZA WEKA HEAD TO HEAD

MAANA NAONA KAMA NYIE NDIO MMETAABISHWA SANA NA BARCA
 
"Mbabe dizaini" ilimaanisha huwa mechi ngumu..dunia huwa inasimama kwa dakika 90, hata yeye wanajua, sio kama man city na arsenal lol
 
Basi sawa mkuu ila washawapiga 5:0 pia wakawachapa 5:1

HIVYO SIZANI KAMA DUNIA YAWEZA SIMAMA SABABU TIMU PEKEE KUTOKA ENGLAND ILIYOMUADHIBU BARCA NA HUKU BARCELONA IKISHINDWA IFUNGA NI NOTINGHAM FOREST
 
Back
Top Bottom