Hili niliwahi kulisema miaka mingi iliyopita.Kwa sasa kinachofanyika upande wa serikali ni kutengeneza mazingira ya kuwa na bargaining power kwenye kile kinachopangwa kuitwa muafaka/maridhiano/suluhu ya kitaifa.
Moja ya karata itakayowekwa mezani ni suala la serikali kuwaachia huru watuhumiwa wote wa uhaini hewa waliokamatwa kwenye maandamano ya MO29. Serikali itakubali.
Eti baada ya hapo watu waseme mama ana moyo wa huruma na nyenyenye nyinginezo. Niffer ametolewa kama chambo ili kuipa kesi mvuto.
Hili haliwezi kurejesha uhai wa ndugu, jamaa na rafiki zetu mliowauwa kwa makusudi. Hatutawasamehe kamwe, damu mliyomwaga italipwa kwa damu pia.
Imenubidi niirejee hii (sehemu ya) hotuba yake JPM, tena na tena."Watanzania sio wajinga" - JPM
Anataka kuvunja rekodi kwenye kila kitu, ushindi 98%, elimu form four failure, ujinga kiwango cha lami. Nani kama mama??!!Huyu rais haramu akili kisoda ndo tatzo
Walizoe kuita nchi hii kichwa cha mwendawazimu, kila mtu anaweza kujifunzia kunyoa..hivi ni nchi ya aina gani inakuwa na kesi 4 za uhaini kwa wakati mmoja?
Yajayo yanafurahisha
Miaka mitano chini ya form four failure tutaona mengi sanaDuh mwaka mzito huu
PsyopsNchi nzima leo zimefunguliwa kesi za uhaini lengo kututoa kwenye mjadala wa mauaji na utekaji
Dalili zipo waziMwisho wa hawa mashetani umekaribia
Failed state..hivi ni nchi ya aina gani inakuwa na kesi 4 za uhaini kwa wakati mmoja?
"Wanafahamu na wanajua ku-analzye mambo"Imenubidi niirejee hii (sehemu ya) hotuba yake JPM, tena na tena.
Anzia sekunde ya 19.
View attachment 3498760