Michezo ya leo NBC premier league, timu zipi zitaenda CAF champions league au CAF confederation

Michezo ya leo NBC premier league, timu zipi zitaenda CAF champions league au CAF confederation

Extrovert24

Senior Member
Joined
Jun 23, 2022
Posts
144
Reaction score
211
Wakuu habari za asubuhi, Leo Kuna Mechi za maamuzi kwa team nyingi eidha kwenda Caf champions league au Caf confederation, na wengine eidha kusalia kwenye league au kucheza play off au kushuka daraja.

Je JKT ataweza ku-maintain asicheze play off?
Je Mashujaa naye atamaintain?
Je Kagera atajinasua kwenye play off?
Je Geita ataingia kwenye play off au atashuka mazima?
Je Tabora atacheza play off au atashuka mazima??

Screenshot_20240528-090621.jpg
 
azam anafungika mpe gg
Yanga anataka magoli mengi ya azizi mpe 3+
kama.mtibsa a acheza mpe afungwe
Jkt mpe ov 1.5
ngojanikalale
 
RIP MTIBWA KAMAMPLYOFF UMECHEZQ ZA KUTOSHA UBEBEKI NENDA UKO UKAJIREKEBISHE. NA KIFARU WENU MRUDI NA ADABU
thobias kifaru ligalambwike hatutasikia tena mbwembwe na tambo zake tena kwenye ligi kuu. Aende tu ligi daraja la kwanza akachangamshe na huko hadi atakapopanda tena
 
thobias kifaru ligalambwike hatutasikia tena mbwembwe na tambo zake tena kwenye ligi kuu. Aende tu ligi daraja la kwanza akachangamshe na huko hadi atakapopanda tena
Jamaa ntammisi sana kelelezake
 
thobias kifaru ligalambwike hatutasikia tena mbwembwe na tambo zake tena kwenye ligi kuu. Aende tu ligi daraja la kwanza akachangamshe na huko hadi atakapopanda tena
Timu inashuka yeye hashuki kama masau bwire tu
 
Back
Top Bottom