Wakuu habari za asubuhi, Leo Kuna Mechi za maamuzi kwa team nyingi eidha kwenda Caf champions league au Caf confederation, na wengine eidha kusalia kwenye league au kucheza play off au kushuka daraja.
Je JKT ataweza ku-maintain asicheze play off?
Je Mashujaa naye atamaintain?
Je Kagera atajinasua kwenye play off?
Je Geita ataingia kwenye play off au atashuka mazima?
Je Tabora atacheza play off au atashuka mazima??
thobias kifaru ligalambwike hatutasikia tena mbwembwe na tambo zake tena kwenye ligi kuu. Aende tu ligi daraja la kwanza akachangamshe na huko hadi atakapopanda tena