Michezo ya Liverpool na Arsenal kama Fainali.

Michezo ya Liverpool na Arsenal kama Fainali.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Mpaka sasa mapumziko Arsenal 2 Everton 0 na Liverpool 1 Mid o.

wote wanaitafuta nafasi nne.

Matokeo ya mwisho yatatupa jawabu mwakani nani atacheza jummane na jumatano na yule wa Alhamisi.
 
Walikuwa wapi siku zote hadi waje kukumbuka shuka asubuhi yote hii..
 
Arsenal haijawahi kushiriki Europa ligi na yy anatamani sense huko Mara moja Kwa lengo LA kwenda kuangalia ligi hiyo iko VP!
 
Back
Top Bottom