MICHEZO YA MTANDAONI KUNA UKWELI WOWOTE?

thatone

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2019
Posts
365
Reaction score
196
Habari wana Jf..naomb kuuliza hivi michezo ya mtandaon kama vile spin huwa inaukweli au ni utapeli? jana nmejaribu kucheza wakanitumia unumbe kwamba nmeshinda lakini badae nikaona kama vile ni utapeli picha hapo inajieleza kipengele hadi kipengele kuna sehemu wanasema ukitaka kutumiwa zawad yako kuna kiasi kadhaa kinahitajika na hapo ndipo niliposhtuka
 
Hiyo utakayotuma ya "kutolea" ndio utapeli wenyewe..
 
Mkuu umesha tumika bila kujua, nikwamba kuna matangazo ya propeller uliyaona hayo yamemsaidia aliyetengeneza hiyo site kupata fedha. Kama hapa JF si tunajadiliana ila kuna matangazo yale ya banners yale yanamsaidia Max kupata pesa baada ya wewe kuyaona. Si lazima uibiwe ila unaweza kutumika tu.
 
Ooh kumbe
 
walikutumia unumbe?,unumbe huo ulikuwa unasemaje,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…