thatone
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 365
- 196
Habari wana Jf..naomb kuuliza hivi michezo ya mtandaon kama vile spin huwa inaukweli au ni utapeli? jana nmejaribu kucheza wakanitumia unumbe kwamba nmeshinda lakini badae nikaona kama vile ni utapeli picha hapo inajieleza kipengele hadi kipengele kuna sehemu wanasema ukitaka kutumiwa zawad yako kuna kiasi kadhaa kinahitajika na hapo ndipo niliposhtuka