HahahahahahaMchezo wetu sisi ni mmoja tu!!! Na hakuna duniani anaetushida!!!! Waweke uwanja wa vitanda uone!!!! Hata washirik watakua wengi na watajilipia mpaka nauli!!! Na medali haazita tosha!!!!
Sasa mzazi anamuhamasishaje mtoto wakati viwanja vya michezo hamna open space zimeuzwa na kujengwa maghorofa na nyumba za stareheKila kitu mnailaumu serikali huku wazazi wenyewe hamziheshimu ndoto za watoto wenu katika michezo.....
Kila mzazi anataka mtoto wake awe daktari, mhandisi , karani n.k
..
Hao wanamichezo tutawapata wapi
Viwanda vyenyewe vikao wapiMichezo si kipaumbele kwetu...kipaumbele ni viwanda...acha kulalamika....fanya kazi kijana
Huyo mchezo wa vitanda ukoje? Naomba ufafanuzi tafadhariMchezo wetu sisi ni mmoja tu!!! Na hakuna duniani anaetushida!!!! Waweke uwanja wa vitanda uone!!!! Hata washirik watakua wengi na watajilipia mpaka nauli!!! Na medali haazita tosha!!!!
Penye nia pana njia lakini ukweli utabakia palepale....Sasa mzazi anamuhamasishaje mtoto wakati viwanja vya michezo hamna open space zimeuzwa na kujengwa maghorofa na nyumba za starehe
Juzi michezo ya olimpiki imeanza rasmi,tumeshuhuhudia nchi nyingi zikiwatuma wanamichezo wengi,lakin sisi Tanzania tumewakilishwa wachezaji wachache,kuna michezo mingi ambayo tunatakiwa kujiandaa na kushinda,mfano kulenga shaba,kurusha mikuki,kisahani,hata mieleka,ni aibu km watanzania kushindwa kuwakilishwa ktk michezo na wanamichezo mbalimbali huko RIO.
Hata siasa ingewepo kwenye Olimpic tusingeweza ku-qualify kushiriki, angalia siasa zetu zilivyo ni za majungu, kulindana, uadui baina ya vyama na mtu mmoja mmoja, kutishana kwa nguvu ya dola, teuzi zenyewe ni za utata, kauli za mtu 1 ndio zinaongoza Taifa badala ya Katiba.Watanzania tunachoweza ni siasa tu.
Kweli kabisa mkuu,hata sijui Tanzania tunaweza nini sasa.Hata siasa ingewepo kwenye Olimpic tusingeweza ku-qualify kushiriki, angalia siasa zetu zilivyo ni za majungu, kulindana, uadui baina ya vyama na mtu mmoja mmoja, kutishana kwa nguvu ya dola, teuzi zenyewe ni za utata, kauli za mtu 1 ndio zinaongoza Taifa badala ya Katiba.
Viwanda tulishachemka tokea enzi!Michezo si kipaumbele kwetu...kipaumbele ni viwanda...acha kulalamika....fanya kazi kijana
Duh, unawajua mandingo tribe?,Mchezo wetu sisi ni mmoja tu!!! Na hakuna duniani anaetushida!!!! Waweke uwanja wa vitanda uone!!!! Hata washirik watakua wengi na watajilipia mpaka nauli!!! Na medali haazita tosha!!!!
Yetu ngono bwana ,kuogelea,sijui mikuki na visahani havituhusu
Mchezo wetu sisi ni mmoja tu!!! Na hakuna duniani anaetushida!!!! Waweke uwanja wa vitanda uone!!!! Hata washirik watakua wengi na watajilipia mpaka nauli!!! Na medali haazita tosha!!!!