Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesahau kitu kimoja...Watanzania tunachoweza ni siasa tu.
Siasa pia hatuiwezi, tunalazimisha tu. Labda wizi kila nyanja ikiwemo siasa.Watanzania tunachoweza ni siasa tu.
Majungu, chuki, roho ya kwanini, uongo na uchawi kidogo.Kweli kabisa mkuu,hata sijui Tanzania tunaweza nini sasa.
Serikali mchezo pekee ambayo ndio imejitahidi kuwekeza japo na penyewe ni kwa kujivuta vuta ni mpira wa miguu, ama hakika kwa uwekezaji uliyofanywa kwenye football kipindi cha JK kama isingekuwa magumashi,kujuana juana kwingi, siasa michezoni pamoja na upuuzi mwingine mwingi basi leo hii tungekuwa level moja na taifa kama la Ethiopia na hata hii michuano ya olympic mwaka huu bila shaka tungekuwa na timu ikituwakilisha.Nchi ya ajabu Sana, riadha haitakaa iendelee kamwe kabisa, kuna tatizo kwa Viongozi wa huu mchezo kubebana na kuweka watu wasio na sifa badala ya kutafuta vipaji vizuri. Ukiangalia walioenda huko Brazil ni wale wale failure wa miaka yote. Najiuliza hivi hakuna vipaji vipya? Tumeshindwa kabisa kutafuta vipaji vipya? Hao wameenda kutalii tu.
huo tutashinda asubuhi tuwaeke mchezo wa kuiba kura uone
Sasa mzazi kama una akili timamu unaweza kumshaur mwanao awe mwana michezo kwenye nchi ambayo simba leo inaadhimisha miaka 80 bado haina hata swimming pool ya mazoezi.Kila kitu mnailaumu serikali huku wazazi wenyewe hamziheshimu ndoto za watoto wenu katika michezo.....
Kila mzazi anataka mtoto wake awe daktari, mhandisi , karani n.k
..
Hao wanamichezo tutawapata wapi