Michigan: Donald Trump ameshikwa na Kiwewe Kufuata Mafuriko ya Watu Waliofika Kumlaki Harris, Adai ni picha za AI

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Aisee bwana Trump ametoa Kali ya mwaka na Mpya kufuatia kudai kwamba picha zilizosambazwa na kampeni ya Harris ikionesha maelfu ya watu waliofika uwanja wa ndege Kumlaki na kumpokea eti ni za Uongo na zimetengenezwa na AI.

Bwana Trump ambae ni Babu anaewania kuchaguliwa Rais amepigwa na Kiwewe hicho na kuingiwa na hofu huku akiendelea kupoteza uungwaji mkono kufuatia kura za maoni zinazochapishwa zikionesha amepitwa na Bi.Harris.

Wafuasi wa Trump wamekuwa wakijifariji Kwa madai kwamba eti hata wakati akichuana na Hilary ,kura za maoni zilikuwa Juu ila alishinda.
===

1723475666555.png
Donald Trump has falsely claimed a crowd which gathered to see Vice President Kamala Harris speak in Michigan last week “didn’t exist” and an image showing it was AI generated.

The picture in question shows a large crowd at the Democratic presidential nominee's rally in Detroit.
Mr Trump, the Republican taking on the vice-president in November's election, said on his Truth Social platform that it was a fake and there was “nobody” there waiting for her.

However, in multiple other images and videos, some taken by people present but also by TV news teams and agency photographers, you can see a large crowd of people at the event held at Detroit Metropolitan airport.

My Take
Babu Trump amepatwa na Kiwewe Cha hofu ya Kushindwa plus uzee ,soon mtamkuta hospital anaugulia pressure.

Ni mda wa kumrudisha Trump kulea Wajukuu,umri ule wanamuhitaji zaidi kuliko Wamarekani wanavyomhitaji.

Kazi Iendelee
 
Sasa kama Majimbo yote makubwa 3 ,Harris anaongoza huyo Babu yenu ataponea wapi? 😂😂😂😂😂

Kwamba Babu Trump hajui kwamba wapiga kura ni Baraza Hadi aweweseke ila wewe Marekani wa Uvinza ndio unajua sana au? 🤣🤣🤣
Anaongoza Kwa wapiga kura wa kawaida popular vote ambao hawaamui nani awe Rais zaidi tu ya kupiga kura, hata Hillary Clinton aliongoza kwa kura zaidi ya million 2 dhidi ya Trump lakini hakuwa Rais kwa sababu wajumbe wa baraza la uchaguzi yaani electrol college hawakumtaka yeye na badala yake walimchagua trump
 
Aisee bwana Trump ametoa Kali ya mwaka na Mpya kufuatia kudai kwamba picha zilizosambazwa na kampeni ya Harris ikionesha maelfu ya watu waliofika uwanja wa ndege Kumlaki na kumpokea eti ni za Uongo na zimetengenezwa na AI.

Bwana Trump ambae ni Babu anaewania kuchaguliwa Rais amepogwa na Kiwewe hicho na kuingiwa na hofu huku akiendelea kupoteza uungwaji mkono kufuatia kura za maoni zinazochapishwa zikionesha anapiteza uungwaji mkono.

Wafuasi wa Trump wamekuwa wakijifariji Kwa madai kwamba eti hata wakati akichuana na Hilary ,kura za maoni zilikuwa Juu ila alishindwa.

View: https://twitter.com/BBCWorld/status/1823000043843936743?t=sYjResfaqHcM1uaaRBF5Xw&s=19

My Take
Babu Trump amepatwa na Kiwewe Cha hofu ya Kushindwa plus uzee ,soon mtamkuta hospital anaugulia pressure.

Ni mda wa kumrudisha Trump kulea Wajukuu,umri ule wanamuhitaji zaidi kuliko Wamarekani wanavyomhitaji.

Kazi Iendelee

Unaleta story za Jiwe Uchafuzi Mkuu wa 2020
 
Anaongoza Kwa wapiga kura wa kawaida popular vote ambao hawaamui nani awe Rais zaidi tu ya kupiga kura, hata Hillary Clinton aliongoza kwa kura zaidi ya million 2 dhidi ya Trump lakini hakuwa Rais kwa sababu wajumbe wa baraza la uchaguzi yaani electrol college hawakumtaka yeye na badala yake walimchagua trump
Utashinda electrol votes bila kushinda uchaguzi kutoka Kwa wapiga kura wa kawaida?
 
Anaongoza Kwa wapiga kura wa kawaida popular vote ambao hawaamui nani awe Rais zaidi tu ya kupiga kura, hata Hillary Clinton aliongoza kwa kura zaidi ya million 2 dhidi ya Trump lakini hakuwa Rais kwa sababu wajumbe wa baraza la uchaguzi yaani electrol college hawakumtaka yeye na badala yake walimchagua trump
Unajua namna hizo popular vote zinavyopatikana? Ukijua hilo huwezi kupuuza umaarufu wa Harris unaokuwa kwa kasi.

Kukusaidia tu, mwaka 2016 Trump alimshinda Hillary japokuwa Hillary alikuwa na kura nyingi, 2020 Trump alishindwa na Biden ambaye alikuwa na kura nyingi.

Kwa kifupi sana, kila mgombea anataka kuwa na kura nyingi ili kujihakikishia ushindi.
 
Kura hizo haziamui nani awe Rais Bali zinasalia kuwa ni maoni ya wapiga kura wa Marekani

Wenye nchi yao wameweka huo mfumo kudhibiti kura za mihemuko na kuepusha nchi yao kusambaratika
Hapana.
Unachokiandika sio halisi.
Kila kura ya mmarekani ina thamani kubwa mnoo ya kuamua nani awe rais wa USA.

Kwa kifupi tu, Electoral votes ni kura zinazopigwa kimajimbo, na majimbo hutofautiana katika kutoa hizo electoral votes. Kwa mfano mgombea anapotaka electoral votes za jimbo la Florida (nadhani ni 29 votes) inabidi kwanza ashinde kwa wingi wa kura za wamarekani katika hilo jimbo, yaani hata wapiga kura wakiwa milioni 5 kwenye jimbo moja, ukimzidi mwenzako hata kwa tofauti ya kura moja tu basi hapo utatangazwa mshindi na kujihakikishia moja kwa moja kuchukua zote 29 votes.

Sasa mgombea mjanja hujihakikishia ushindi kwenye majimbo muhimu ili kuvuna electoral votes za kutosha kutangazwa mshindi. Na kwa USA, mgombea anahitaji electoral votes 270 ili kutangazwa mshindi.
 
Hiki ndicho wengi hawakijui kwamba lazima ushinde Jimbo ndio uwapate hao electoral ,hakuna Cha percentage
 
Unajua namna hizo popular vote zinavyopatikana? Ukijua hilo huwezi kupuuza umaarufu wa Harris unaokuwa kwa kasi.

Kukusaidia tu, mwaka 2016 Trump alimshinda Hillary japokuwa Hillary alikuwa na kura nyingi, 2020 Trump alishindwa na Biden ambaye alikuwa na kura nyingi.

Kwa kifupi sana, kila mgombea anataka kuwa na kura nyingi ili kujihakikishia ushindi.
Kilichompata Trump Kwa Biden ndicho kilimpata Hilary Kwa Trump.

Lazima ushinde majimbo muhimu ndio ushinde electrol votes wa kutosha.

Ukishindwa majimbo mengi hata kama yatakuwa na watu wengi Kwa kuwa ni mengi lakini mwenzako akashinda majimbo muhimu yenye electrol votes wengi lazima awe Rais na wewe ubakie unalalama tuu.

This time ndio maana hapo Juu umeona kwamba Harris anaongoza majimbo muhimu yenye electrol votes wengi hivyo aki mentain Hadi matokeo basi hapo Trump Chali Cha mende 😂😂
 
Kura hizo haziamui nani awe Rais Bali zinasalia kuwa ni maoni ya wapiga kura wa Marekani

Wenye nchi yao wameweka huo mfumo kudhibiti kura za mihemuko na kuepusha nchi yao kusambaratika
Utashinda electrol votes wengi bila kushinda kura za kawaida kwenye majimbo muhimu? "swing states"?
 
Sasa kama Majimbo yote makubwa 3 ,Harris anaongoza huyo Babu yenu ataponea wapi? 😂😂😂😂😂

Kwamba Babu Trump hajui kwamba wapiga kura ni Baraza Hadi aweweseke ila wewe Marekani wa Uvinza ndio unajua sana au? 🤣🤣🤣
Hata Hilali klintoni alikutana na mazingaombwe .....tulia
 
Sasa kama Majimbo yote makubwa 3 ,Harris anaongoza huyo Babu yenu ataponea wapi? 😂😂😂😂😂

Kwamba Babu Trump hajui kwamba wapiga kura ni Baraza Hadi aweweseke ila wewe Marekani wa Uvinza ndio unajua sana au? 🤣🤣🤣
Tambua kuwa America haiwezi kuongozwa na mwanamke
 
Yes...Na ndivyo alivyomshinda Hillary
Hayo ni maoni binafsi unyanyapaa usiokua na ushahidi wa kujitosheleza
Kama nchi maarufu kama
Wingereza
Ujerumani
Israeli
Zilisha ongozwa na kina mama na wakafanya vizuri ambazo malekani ndizo nchi alizotoka
Huo ni mfumo wa kiarabu usiokubaliana na wanawake
 
Back
Top Bottom