ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Hujui kitu wewe nyumbu wa Trump,kajifunze ule utaratibu vizuriYes...Na ndivyo alivyomshinda Hillary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kitu wewe nyumbu wa Trump,kajifunze ule utaratibu vizuriYes...Na ndivyo alivyomshinda Hillary
Unadhani America inawaza kama wewe? Kwamba Democrats hawaelewi Hilo ila wewe Marekani wa Kiteto ndio unaelewa sana au sio? 😂😂😂😂Tambua kuwa America haiwezi kuongozwa na mwanamke
Ni Kauli za kujifariji na kudhani upumbavu waliokaririshwa hapa Tanzania ndio uko huko kwao.Hayo ni maoni binafsi unyanyapaa usiokua na ushahidi wa kujitosheleza
Kama nchi maarufu kama
Wingereza
Ujerumani
Israeli
Zilisha ongozwa na kina mama na wakafanya vizuri ambazo malekani ndizo nchi alizotoka
Huo ni mfumo wa kiarabu usiokubaliana na wanawake
Hao ndio wamarekani wa bongolandUtashinda electrol votes bila kushinda uchaguzi kutoka Kwa wapiga kura wa kawaida?
DuuuhKweli ni AI
GACHAGUA the sixthDuh kumbe iko hivyo aisee,
Sasa unabisha nini wakati Trump alishinda electoral college ila alipitwa kwenye popular votes....Hayo ni maoni binafsi unyanyapaa usiokua na ushahidi wa kujitosheleza
Kama nchi maarufu kama
Wingereza
Ujerumani
Israeli
Zilisha ongozwa na kina mama na wakafanya vizuri ambazo malekani ndizo nchi alizotoka
Huo ni mfumo wa kiarabu usiokubaliana na wanawake
Yani wewe ni Kilaza mpaka nashangaa...Hujui kitu wewe nyumbu wa Trump,kajifunze ule utaratibu vizuri
Utashinda electrol votes bila kushinda popular votes?Yani wewe ni Kilaza mpaka nashangaa...
Trump alishinda electoral college....
Hillary alishinda popular votes....
Ikiwa ina maana Trump alishinda majimba mengi ....ila Hillary alipata kura nyingi za watu....
Unakaa fuvu kubisha usivyojua....Jifunze.
1.Utashinda electrol votes bila kushinda popular votes?
MMarekani wa Kibondo unafeli wapi? 😂😂
Kwa kutumia mfano 1 tuu wa California,utawapata hao 54 bila kushinda Jimbo Hilo?1.
Marekani ina jumla ya Electoral college 538 na ili uwe Raisi unahitaji electoral college 270...
2.
Kila Jimbo la Marekani lina Idadi maalum ya Electoral college....ambapo
Idadi ya Electoral college= Idadi ya senators wa jimbo + Idadi ya wawakilishi katika House of Representatives +Makadirio ya sensa ya watu....
3.
Jimbo la California kwa sasa ndiyo lina Electoral college wengi...54 huku Wyoming likiwa na 3.
4.
i)Kuna majimbo mwenye votes za kumfanya wa kwanza ,atapigiwa kura na electoral college wote.
ii)Kuna majimbo electoral college siyo lazima akupigie kura
5.
Ilimradi umekuwa wa kwanza tu,,,kwa jimbo la California,,,basi unapewa college zote....
Uwe wa kwanza kwa kura 500k na au wa kwanza kwa kura 20M...california itakupa Idadi hiyo hiyo ya college...
6.
Wakati Hillary alishinda majimbo yenye watu wengi kama Pennsylvania na California...mwenzake alijihakikishia anakusanya electoral college za Majimbo mengi...
Trump alivuka threshold ya college 270....lakini alipitwa jura 2Million na Hillary.
Google ujifunze badala ya kuishia kutukana tu humu.
Kamala bado yupo honeymoonSasa kama Majimbo yote makubwa 3 ,Harris anaongoza huyo Babu yenu ataponea wapi? 😂😂😂😂😂
Kwamba Babu Trump hajui kwamba wapiga kura ni Baraza Hadi aweweseke ila wewe Marekani wa Uvinza ndio unajua sana au? 🤣🤣🤣
Endeleeni kujifarijiKamala bado yupo honeymoon
Uko sahihi kabisa; Hilary Clinton alishindaWapiga kura ni Baraza la uchaguzi
ElewaKwa kutumia mfano 1 tuu wa California,utawapata hao 54 bila kushinda Jimbo Hilo?
Unaweweseka Bure,nimekwambia Harris anaongoza majimbo yote muhimu ambayo kama uchaguzi ungefanyika wiki Jana angezoa ushindi wewe unabisha kisa Babu Yako Trump kaishiwa,kete ya umri imegeuka 😂😂
Sio kweli labda hujui mfumo wao.Anaongoza Kwa wapiga kura wa kawaida popular vote ambao hawaamui nani awe Rais zaidi tu ya kupiga kura, hata Hillary Clinton aliongoza kwa kura zaidi ya million 2 dhidi ya Trump lakini hakuwa Rais kwa sababu wajumbe wa baraza la uchaguzi yaani electrol college hawakumtaka yeye na badala yake walimchagua trump