Michigan: Donald Trump ameshikwa na Kiwewe Kufuata Mafuriko ya Watu Waliofika Kumlaki Harris, Adai ni picha za AI

Tambua kuwa America haiwezi kuongozwa na mwanamke
Unadhani America inawaza kama wewe? Kwamba Democrats hawaelewi Hilo ila wewe Marekani wa Kiteto ndio unaelewa sana au sio? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni Kauli za kujifariji na kudhani upumbavu waliokaririshwa hapa Tanzania ndio uko huko kwao.

Kwamba Democrats waliosimamisha wagombea wanawake Kwa mara ya 2 hii hawaelewi Hilo ila hao mbumbumbu wa Tanzania na pro Trump ndio wanaelewa sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tofauti ya Kamala na Samia ni kwamba,hakuna loophole kwa Kamala kama ilivyokuwa kwa Samia,maana najua kabisa kamwe CCM wasingempa Samia kijiti cha kugombea uraisi
Democrats wamempa Kamala maana no way out,lakini uchaguzi wa November mapema2 Trump atakuwa ikulu kupanda mafile kwenye ofisi yake mpya
 
Sasa unabisha nini wakati Trump alishinda electoral college ila alipitwa kwenye popular votes....
 
Hujui kitu wewe nyumbu wa Trump,kajifunze ule utaratibu vizuri
Yani wewe ni Kilaza mpaka nashangaa...
Trump alishinda electoral college....
Hillary alishinda popular votes....

Ikiwa ina maana Trump alishinda majimba mengi ....ila Hillary alipata kura nyingi za watu....

Unakaa fuvu kubisha usivyojua....Jifunze.
 
Yani wewe ni Kilaza mpaka nashangaa...
Trump alishinda electoral college....
Hillary alishinda popular votes....

Ikiwa ina maana Trump alishinda majimba mengi ....ila Hillary alipata kura nyingi za watu....

Unakaa fuvu kubisha usivyojua....Jifunze.
Utashinda electrol votes bila kushinda popular votes?

MMarekani wa Kibondo unafeli wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utashinda electrol votes bila kushinda popular votes?

MMarekani wa Kibondo unafeli wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚
1.
Marekani ina jumla ya Electoral college 538 na ili uwe Raisi unahitaji electoral college 270...

2.
Kila Jimbo la Marekani lina Idadi maalum ya Electoral college....ambapo
Idadi ya Electoral college= Idadi ya senators wa jimbo + Idadi ya wawakilishi katika House of Representatives +Makadirio ya sensa ya watu....

3.
Jimbo la California kwa sasa ndiyo lina Electoral college wengi...54 huku Wyoming likiwa na 3.

4.
i)Kuna majimbo mwenye votes za kumfanya wa kwanza ,atapigiwa kura na electoral college wote.
ii)Kuna majimbo electoral college siyo lazima akupigie kura

5.
Ilimradi umekuwa wa kwanza tu,,,kwa jimbo la California,,,basi unapewa college zote....
Uwe wa kwanza kwa kura 500k na au wa kwanza kwa kura 20M...california itakupa Idadi hiyo hiyo ya college...

6.
Wakati Hillary alishinda majimbo yenye watu wengi kama Pennsylvania na California...mwenzake alijihakikishia anakusanya electoral college za Majimbo mengi...
Trump alivuka threshold ya college 270....lakini alipitwa jura 2Million na Hillary.


Google ujifunze badala ya kuishia kutukana tu humu.
 
Kwa kutumia mfano 1 tuu wa California,utawapata hao 54 bila kushinda Jimbo Hilo?

Unaweweseka Bure,nimekwambia Harris anaongoza majimbo yote muhimu ambayo kama uchaguzi ungefanyika wiki Jana angezoa ushindi wewe unabisha kisa Babu Yako Trump kaishiwa,kete ya umri imegeuka πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kamala bado yupo honeymoon
 
Elewa
Ukishinda kwa kura 500k utapewa college 54....na ukishinda kwa kura 2M utapewa college hizo hizo 54....
Sasa Clinton alishinda majimbo machache lakini yana idadi kubwa ya watu ie.California,New York ,Pennsylvania....

Lakini Idadi ya watu hiyo kubwa haija saidia kitu kwani idadi college alizopata ni fixed haziku ongezeka....
 
Sio kweli labda hujui mfumo wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…