wewe ndiyo haujui mfumo huo jinsi unavyofanya kazi....
electoral college ndiyo hutoa mshindi......
mtu anaweza kuwa na popular votes nyingi kuliko mwenzie na akashindwa.....Ingia na google matokeo ya Trump dhidi ya Hillary kwa hivyo vipengele vyote viwili.