Michongo ya elimut

Michongo ya elimut

mabutu1835

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
909
Reaction score
1,425
Kumekuwa na kelele kila kona namna ambavyo vyuo na Taasisi za elimu ya juu nchini vinavyosumbua wale wanaojiunga ili kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya shahada ya uzamili (Master degree) na uzamivu (PhD).

Ninaomba tuweke tupeane connections (michongo) ikiwemo scholarship links na vyuo vyenye gharama sawa na hapa Tanzania.

Ili kuwasaidia wenye Nia kuweza kuchangamkia na msaada ili kufanikisha lengo. Tusisahau turudi nyumbani na tuombe kazi katika vyuo hivyo vyenye wakuda ili kuleta mabadiliko.

Mungu atusaidie
 
Back
Top Bottom