Michongo ya Southern Sudan

Michongo ya Southern Sudan

LEX STEELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
224
Reaction score
110
Nijuavyo hawana pesa ya maana labda hizo pesa za post reconstruction wanazopewa na nchi wahisani na vijisenti vya hayo mafuta ya kila kukicha kuzima na kufungua mabomba

sasa je kama mimi nina makampuni ya nje ambayo yako tayari kuingia pale kutakuwa na nafasi ya biashara au vipi?

walipaji wakubwa ni nani? decision making serikalini kwao imekaaje? wanahitaji nini zaidi pale? je rushwa vipi maana mie bila kutoa rushwa huwa hata sijiskiii naona kama vile tayari iko kwenye DNA yangu maana ukishakuwa Mtanzania rushwa should be your middle name.

haya mnao jua michongo ya huko kwa akina Garanga mtujuze.
 
This is one of our biggest problem watanzania, kupenda kutafuniwa kila kitu. Yani wewe una kampuni yako na unataka decision ya kufanya au kutofanya biashara huko uje kuiamulia hapa. Why dont you go there uka research mwenyewe if you are serious?
 
Well said...Kalageshe-Kana ka Nsungu Umwelu
 
This is one of our biggest problem watanzania, kupenda kutafuniwa kila kitu. Yani wewe una kampuni yako na unataka decision ya kufanya au kutofanya biashara huko uje kuiamulia hapa. Why dont you go there uka research mwenyewe if you are serious?

Na hii ni mojawapo ya resource kwanini asiitumie? Au wewe research unajua hadi uzame kwenye ma statistics ukae na excel sheets 50?
 
This is one of our biggest problem watanzania, kupenda kutafuniwa kila kitu. Yani wewe una kampuni yako na unataka decision ya kufanya au kutofanya biashara huko uje kuiamulia hapa. Why dont you go there uka research mwenyewe if you are serious?

Ndugu yangu bongo tuliharibiwa na kufanya biashara kiholela, wakati ule masomo ya biashara yalionekana yakibepari tukahimizwa tusoem sana siasa!! Athari zake tumekuwa watu wa kupiga maneno maneno tu bila vitendo!!! Tumekuwa wavivu wa kufikiri, kisa ma-tuition hayo, maana tumesoma kwa tuition tu, vitabu kusoma ni kesi, mwisho wa siku kila kitu tunataka kama walivyokuwa wanasolve ma past paper kwenye tuition!!!

Aaaaarh, nchi yangu bana!!!:A S angry:
 
huu uzi una hoja ya msingi, majibu yake yatawanufaisha wengi huenda kuna ambao wana taarifa tayari kuhusu uwekezaji south sudan wanaweza kushare na sisi. ki ukweli kuna fursa nyingi kwani hii ni nchi inayojijenga baada ya kutengana na sudan. ukifika juba almost hotel na restaurant zote maarufu ni waethiopia na waeritrea ndiyo wamiliki na waendeshaji. watanzania tupo wapi? No wonder Juba international airport ipo busy kuliko JNIA
 
Wakenya wameshawahi huko. Pia wameshafungua na benki.
 
This is one of our biggest problem watanzania, kupenda kutafuniwa kila kitu. Yani wewe una kampuni yako na unataka decision ya kufanya au kutofanya biashara huko uje kuiamulia hapa. Why dont you go there uka research mwenyewe if you are serious?
Reseach huwa inafanywa kwa namna au njia mbalimbali na mojawapo ni kuuliza kwa watu wenye taarifa unayoihitaji. Kwa hata akienda huko si atauliza watu na/wa taasisi mbali mbali? We kama huna hizo taarofa waache walionazo waziweke hapa.
 
Nijuavyo hawana pesa ya maana labda hizo pesa za post reconstruction wanazopewa na nchi wahisani na vijisenti vya hayo mafuta ya kila kukicha kuzima na kufungua mabomba

sasa je kama mimi nina makampuni ya nje ambayo yako tayari kuingia pale kutakuwa na nafasi ya biashara au vipi?

walipaji wakubwa ni nani? decision making serikalini kwao imekaaje? wanahitaji nini zaidi pale? je rushwa vipi maana mie bila kutoa rushwa huwa hata sijiskiii naona kama vile tayari iko kwenye DNA yangu maana ukishakuwa Mtanzania rushwa should be your middle name.

haya mnao jua michongo ya huko kwa akina Garanga mtujuze.
NAKUSHAURI USIENDE HUKO. hao jamaa si watu wa kufanya nao biashara maana wanajua rushwa na wanadai mkishenzi. Hivi sasa baraza lao la mawaziri limo katika heka heka za kulaumiwa kwa UFISADI. halafu hawa jamaa hawazoeleki kama ilivyo kwa sisi kwa sisi au mataifa mengine. wewe tizama tuu smiling ya raisi wao! mimi huwa nawaoneaga huruma na kuwaunga mkono ukombozi wao na kuwaombea mema tuu lakini dili si watu wa kufanya nao.
 
Reseach huwa inafanywa kwa namna au njia mbalimbali na mojawapo ni kuuliza kwa watu wenye taarifa unayoihitaji. Kwa hata akienda huko si atauliza watu na/wa taasisi mbali mbali? We kama huna hizo taarofa waache walionazo waziweke hapa.

Watu wenye taarifa unayoihitaji watakua hukohuko tu, hapo dar tu kwenyewe ukitaka kufanya biashara ya maana huwezi ku rely kwenye kuuliza watu manake hutapata data za maana. Watu wanapanda ndege kwenda China na Hongkong kuangalia tu vitu itakua hapo Sudani? Ukifanya biashara bongo kwa maneno ya kusikia lazima ukate mtaji ndugu.
 
Back
Top Bottom