LEX STEELE
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 224
- 110
This is one of our biggest problem watanzania, kupenda kutafuniwa kila kitu. Yani wewe una kampuni yako na unataka decision ya kufanya au kutofanya biashara huko uje kuiamulia hapa. Why dont you go there uka research mwenyewe if you are serious?

Reseach huwa inafanywa kwa namna au njia mbalimbali na mojawapo ni kuuliza kwa watu wenye taarifa unayoihitaji. Kwa hata akienda huko si atauliza watu na/wa taasisi mbali mbali? We kama huna hizo taarofa waache walionazo waziweke hapa.This is one of our biggest problem watanzania, kupenda kutafuniwa kila kitu. Yani wewe una kampuni yako na unataka decision ya kufanya au kutofanya biashara huko uje kuiamulia hapa. Why dont you go there uka research mwenyewe if you are serious?
NAKUSHAURI USIENDE HUKO. hao jamaa si watu wa kufanya nao biashara maana wanajua rushwa na wanadai mkishenzi. Hivi sasa baraza lao la mawaziri limo katika heka heka za kulaumiwa kwa UFISADI. halafu hawa jamaa hawazoeleki kama ilivyo kwa sisi kwa sisi au mataifa mengine. wewe tizama tuu smiling ya raisi wao! mimi huwa nawaoneaga huruma na kuwaunga mkono ukombozi wao na kuwaombea mema tuu lakini dili si watu wa kufanya nao.Nijuavyo hawana pesa ya maana labda hizo pesa za post reconstruction wanazopewa na nchi wahisani na vijisenti vya hayo mafuta ya kila kukicha kuzima na kufungua mabomba
sasa je kama mimi nina makampuni ya nje ambayo yako tayari kuingia pale kutakuwa na nafasi ya biashara au vipi?
walipaji wakubwa ni nani? decision making serikalini kwao imekaaje? wanahitaji nini zaidi pale? je rushwa vipi maana mie bila kutoa rushwa huwa hata sijiskiii naona kama vile tayari iko kwenye DNA yangu maana ukishakuwa Mtanzania rushwa should be your middle name.
haya mnao jua michongo ya huko kwa akina Garanga mtujuze.
Reseach huwa inafanywa kwa namna au njia mbalimbali na mojawapo ni kuuliza kwa watu wenye taarifa unayoihitaji. Kwa hata akienda huko si atauliza watu na/wa taasisi mbali mbali? We kama huna hizo taarofa waache walionazo waziweke hapa.
Kenya Commercial bank ina matawi 19 South SudanWakenya wameshawahi huko. Pia wameshafungua na benki.
Well said...Kalageshe-Kana ka Nsungu Umwelu