Michoro iliyopo katika medali za Olimpiki

Full 8

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
313
Reaction score
271
Nimekua nikitazama medal za olympic miaka mbalimbali nikagundua nyingine huwa zimechorwa mwanamke mwenye mabawa kama tulivyozoea kuona picha za Malaika zinavyoonekana.
Ningependa kujua ni nini maana ya picha hizo? na kwanini mwanamke mwenye mabawa?
 
Niliwai kusoma sehemu nyimbuko ya hii michezo....kuna baadh ya michezo kama kupigana ilikuwa lazima mshindan wako afe ndio uwe pingwa....hivyo kushiki ni kufa na kupona

Sijui kama ilikuwa ni kweli maana kila mtu huwa anaandika kutokana utafiti wake...

Ila kiukweli haya mashindano yana historia chafu sana
 
Kuna siku niliwahi kusikia Azam kwenye mshikemshike viwanjani asili ya hiyo picha ni ya ugiriki
 
Kuna siku niliwahi kusikia Azam kwenye mshikemshike viwanjani asili ya hiyo picha ni ya ugiriki
unaweza ukaelezea kwa undani kidogo mkuu ili tupate picha nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…