Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku niliwahi kusikia Azam kwenye mshikemshike viwanjani asili ya hiyo picha ni ya ugirikiNimekua nikitazama medal za olympic miaka mbalimbali nikagundua nyingine huwa zimechorwa mwanamke mwenye mabawa kama tulivyozoea kuona picha za Malaika zinavyoonekana.
Ningependa kujua ni nini maana ya picha hizo? na kwanini mwanamke mwenye mabawa?
![]()
![]()
![]()