Michuano ya CAF haina tija, we umeona wapi timu inaomba mechi zao zote zichezwe Tanzania?

Michuano ya CAF haina tija, we umeona wapi timu inaomba mechi zao zote zichezwe Tanzania?

Nimecheka sana kusikia eti Zalan wwmeomba kucheza gemu zao zote hapa bongo, mchezo wa kwanza ukipigwa chamazi...
Mbona kama una maumivu! Hayo mambo yapo sana tu. Na hakuna jipya hapo. Hata Somalia juzi kati tu hapa ilicheza michezo yake miwili na Taifa Stars kwa Mkapa.
 
ni vile South Sudan ni nchi kamili na huyo ndo bingwa wa huko ila kiukweli iyo timu aina hadhi ya kushiriki caf.
super cup inakuja kuchuja timu za ndondo.
Iyo super cup unayoisema wameikataa Europe wanatuletea sisi alafu jinsi tulivyo mazwazwa tunaikimbilia
 
Mkuu siyo kweli kuwa wameomba mechi mbili, wao wameomba moja tu ambayo ndiyo wana dhamana nayo kama timu mwenyeji yaani mechi ya kwanza hiyo ya pili yanga ndo mwenye dhamana ya kuchagua uwanja yanga wangeweza kuchagua chamazi au hata Rwanda huko
Lakini sababu ya msingi ni suala la uchumi wa timu haiwezi kwenda kuweka kambi kwingine (nje ya nchi yao) halafu baadaye tena wasafiri kuja Tanzania so wameona wamalize kabisa hapahapa
 
Wameomba mechi yao moja wacheze Tanzania nasio mechi zao mbili wacheze bongo.mechi yao ni moja
 
Back
Top Bottom