Mkuu siyo kweli kuwa wameomba mechi mbili, wao wameomba moja tu ambayo ndiyo wana dhamana nayo kama timu mwenyeji yaani mechi ya kwanza hiyo ya pili yanga ndo mwenye dhamana ya kuchagua uwanja yanga wangeweza kuchagua chamazi au hata Rwanda huko
Lakini sababu ya msingi ni suala la uchumi wa timu haiwezi kwenda kuweka kambi kwingine (nje ya nchi yao) halafu baadaye tena wasafiri kuja Tanzania so wameona wamalize kabisa hapahapa