Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Kenya wametuponza....wako slow sana....; mwezi august alhaly wako clabu bingwa Dunia..na misri wapo chan .wataathirika sana
Wamekikataa kwakuwa kina nyasi bandiaKiwanja cha Amani Zanzibar hakijamaliza hata mwaka Toka kitengenezwe, Motsepe na kamati zake walivyokuja kukikagua wakasema hakifai, sasa hivi wametoa makapeti Yao ya nyasi bandia kiwanja Kiko wazi unabaki unaniuliza Kwan mkandarasi aliyejenga Ina maana alitumia vigezo vya ZFF ama FIFA?
Nashangaa watu wanalaumu Kenya walati hata Tanzania hatukuwa tayari. Uwanja wa Amani niliukataa ulivyofunguliwa tu kwenye ile Mapinduzi Cup ya kwanza nikasema lile kapeti ni low quality.Kiwanja cha Amani Zanzibar hakijamaliza hata mwaka Toka kitengenezwe, Motsepe na kamati zake walivyokuja kukikagua wakasema hakifai, sasa hivi wametoa makapeti Yao ya nyasi bandia kiwanja Kiko wazi unabaki unaniuliza Kwan mkandarasi aliyejenga Ina maana alitumia vigezo vya ZFF ama FIFA?
Mlikua mmepotelea kwenye mizinga ya Tabora?Yanga tushajipata ligi irudi tu
Ee saivi wale tuliowapiga 5 wajindae tenaMlikua mmepotelea kwenye mizinga ya Tabora?