N nadinemumu Member Joined Jun 25, 2009 Posts 13 Reaction score 0 Apr 15, 2013 #1 Tangu mwezi uliyopita kumekuwa na michuano ya #foosball ambayo zimekuwa zikichezwa kwenye baa mbali mbali. WaTanzania wenzangu sijui mnaifikiriaje mchezo huu ambayo imeletwa kwenu na bia ya Heineken.
Tangu mwezi uliyopita kumekuwa na michuano ya #foosball ambayo zimekuwa zikichezwa kwenye baa mbali mbali. WaTanzania wenzangu sijui mnaifikiriaje mchezo huu ambayo imeletwa kwenu na bia ya Heineken.